Shikono Avant
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 123
- 129
- Thread starter
- #81
Kweli kabisa sasahiv mambo yamebadilika hamna kushangaana cha msingi ni kufanya unachoweza tuu sio kumuangalia fulan atasema nini maana hata hao unawaona watasema kitu hawana msaada kabisaYaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu.
Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.??