Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

Ngoja niitafute kiwanja maana hizi nyumba za kupanga ni shida
Nalog off Z
 
Life start at 40 , mwaka huu kama unafunga 40, then usiwaze .

All in all, kuna mtu pengine asikuelewe lakini mifumo ya dunia ya tatu inavunja moyo,vijana wengi wapo tu...Africa ni shida, unajitahidi wee lakini na kurogana kupo humo humo, trust me watu wa karibu wanaharibu sana.

Inauma sana.
 
watu pia wanachangia mambo kuwa magumu hasa wagen wanaokuja nyumban, huwa najifungia tu ndan maana maneno yao ni balaa
na nukuu "wew baba ndo unafanya watoto wetu wasipende shule"
 
Wanavokuona hivo ndio wanafurahi, usidhani wanakuonea huruma.
 
Kweli binadam tumepotea mbaya, na hatujui dhamani yetu na hatujui tupo duniani kwa kazi gani, yaani binadam wa leo anapandishwa dhamani na gari nyumba, pesa, kazi nzuri, anasahau kwamba dhamani yake ni kubwa kuliko hayo matakataka tu
 
Back
Top Bottom