butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Oya 🤣🤣🤣🤣🤣Uiwaze mi nina 60 nipo home baba ananitatutia kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya 🤣🤣🤣🤣🤣Uiwaze mi nina 60 nipo home baba ananitatutia kazi
[emoji28][emoji28][emoji28]baba mkwe kauzu sana.Mimi nilichukua jiko nikajua nikipata mke labda makali ya maisha yatapungua, nikamchukua nikamuweka nyumban, Mama alinipa chumba kimoja sasa changamoto baba mkwe alikuwa anataka nimpe pesa kama sina hela niende nikamlimie mashamba yake zilikuwa heka 4
basi nilikomaa kulima mpk nikamaliza, lakin mikono yote iliota sugu balaa na nyumban bado wanahitaj kitu, nikaona isiwe kes nikamrudisha mtoto wa watu kwao mpk pale mambo yatakapo kaa sawa
but mapambano yanaendelea ......
Karibu sana sana uje tujadili haya maisha tunafanyaje ili tufike kulee tunaokutakaNaomba uwe mwenyeji wangu huko some days later....nipenyezee contacts inbox
Namba nishakutumia Ndugu tuwasilianeKaribu sana sana uje tujadili haya maisha tunafanyaje ili tufike kulee tunaokutaka
Ni noma sana 😀😀🤣[emoji28][emoji28][emoji28]baba mkwe kauzu sana.
Mjengo wa maana, kausafiri hata kama kawe kama kale ka Mr Bean, watoto, mkeKwani mtu wa miaka 40 anapaswa kumiliki nini na nini?
Mimi nina 55, vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
Tupo wengi mkuu
DaaahMy advice,
Aisee Kama unaona umefikisha umri wa 40+ na huja- achieve chote maishani Basi nakushauri uanze kutafuta ufalme wa mbinguni mapema hi maana inaonekana huku kwingine umeshafeli mazima hutoboi Tena.
Ndiyo 💪💪Nipo 40+ ila siwezi KUKIRI sina mbele wala nyuma maadam nina afya I'll keep on fighting.
Nina changamoto zangu na nyumba sina ila NAPAMBANA!!
Ntakuwa napitia uzi huu kujua unaendeaje but I will take no part of it.
I WILL NEVER BACK DOWN!!!!!
🤝🏻🤝🏻🤝🏻Ndiyo 💪💪
Huyo ni wewe mkuu, mi sijao ila nna focus na malengo yangu hayayumbi kwa sababu za ujana.Japo mimi sio mzee ila naweza nikashauri kitu...
Niliajiriwa nikiwa na miaka 25, japo kipato Ni kidogo ila kinatosha kuanzia,
Miaka mitatu ya kwanza kwenye ajira sikufanya chochote Cha maendeleo zaidi ya kufuja hela.
Nikiwana miaka 28 Nilioa ghafla(sababu zilizonifanya nioe ni sio classified ila zinatakiwa ziwe kwenye uzi wake) nilipata wife material sikuwa nimejipanga kuoa na Wala mambo yangu hayakuwa poa.
Baada ya kuoa safari ya mafanikio ndo ikaanza saivi Niko na miaka 30 nina mke na mtoto japo hela nyingi Sina ila kwenye safari ya mafanikio kwenye Kona na drift napita na speed 120.
Hivyo wazee oeni ufala utawapungua na itawasaidia kuwa na focus.
Basi Tanzania yote ni ya hovyo maana kizazi kilicho kazini saivi ni hicho ulichotaja.Ila hili taifa, kizazi cha kuanzai miaka ya 1979 hadi maika ya 2000 mwanzoni ni kizazi ambacho kinaongoza kwa kupotezewa direction na Serikali ya CCM.
Maana asilimia kubwa hawana kazi au ajira rasmi wanaishi kwa madili ya mjini,michongo ya kupeana na misaada so hii ina maanisha ni kizazi ambacho hakitakuwa na mafao ya uzeeni ya kiinua mgongo.
Asilimia kubwa hawajaoa na kuolewa wanaishi mahusiano ya kusindikizana na kuachiana njiani na kila wakitoka uhusiano m'moja kwenda mwingine partner mpya anakuwa hasara kuliko aliyetangulia so no future in relationships ni kupoteza muda kama kujifurahisha na kuwa katika risks ya kuambukizana magonjwa na kutoa mimba hovyo.
Asilimia kubwa wamezaa bila ndoa na wamezaa na watu ambao hawapo nao tena kifamilia so hii inamaanisha no proper family bali ni kuishi tu king'ombe ng'ombe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kizazi ambacho hakijielewi kililetwa duniani kufanya nini kwa asilimia kubwa wapo wapo tu kwenye siasa hawawajibiki, kwenye jamii hawapo, kwenye imani sifuri yaani basi tu wapo wapo bora twende.
So dah..... MUNGU atusaidie sana hiki kizazi maana tuyaishi maisha yetu kama watoto wa kafara.
Huruhusiwi kuita takataka mpaka uwe navyoKweli binadam tumepotea mbaya, na hatujui dhamani yetu na hatujui tupo duniani kwa kazi gani, yaani binadam wa leo anapandishwa dhamani na gari nyumba, pesa, kazi nzuri, anasahau kwamba dhamani yake ni kubwa kuliko hayo matakataka tu
Umegusa penyewe.Ila hili taifa, kizazi cha kuanzai miaka ya 1979 hadi maika ya 2000 mwanzoni ni kizazi ambacho kinaongoza kwa kupotezewa direction na Serikali ya CCM.
Maana asilimia kubwa hawana kazi au ajira rasmi wanaishi kwa madili ya mjini,michongo ya kupeana na misaada so hii ina maanisha ni kizazi ambacho hakitakuwa na mafao ya uzeeni ya kiinua mgongo.
Asilimia kubwa hawajaoa na kuolewa wanaishi mahusiano ya kusindikizana na kuachiana njiani na kila wakitoka uhusiano m'moja kwenda mwingine partner mpya anakuwa hasara kuliko aliyetangulia so no future in relationships ni kupoteza muda kama kujifurahisha na kuwa katika risks ya kuambukizana magonjwa na kutoa mimba hovyo.
Asilimia kubwa wamezaa bila ndoa na wamezaa na watu ambao hawapo nao tena kifamilia so hii inamaanisha no proper family bali ni kuishi tu king'ombe ng'ombe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kizazi ambacho hakijielewi kililetwa duniani kufanya nini kwa asilimia kubwa wapo wapo tu kwenye siasa hawawajibiki, kwenye jamii hawapo, kwenye imani sifuri yaani basi tu wapo wapo bora twende.
So dah..... MUNGU atusaidie sana hiki kizazi maana tuyaishi maisha yetu kama watoto wa kafara.
Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu.Ukiwa na mafanikio umri umeenda halafu huna familia Jamii inakuondaje?
Mke naoa kwa ajili yangu ila ntaishi na kwenye jamii, Point yangu Ni kwamba kuoa/kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima.Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu.
Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.??