Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

[emoji28][emoji28][emoji28]baba mkwe kauzu sana.
 
My advice,
Aisee Kama unaona umefikisha umri wa 40+ na huja- achieve chote maishani Basi nakushauri uanze kutafuta ufalme wa mbinguni mapema hi maana inaonekana huku kwingine umeshafeli mazima hutoboi Tena.
 
My advice,
Aisee Kama unaona umefikisha umri wa 40+ na huja- achieve chote maishani Basi nakushauri uanze kutafuta ufalme wa mbinguni mapema hi maana inaonekana huku kwingine umeshafeli mazima hutoboi Tena.
Daaah
 
Nipo 40+ ila siwezi KUKIRI sina mbele wala nyuma maadam nina afya I'll keep on fighting.
Nina changamoto zangu na nyumba sina ila NAPAMBANA!!

Ntakuwa napitia uzi huu kujua unaendeaje but I will take no part of it.

I WILL NEVER BACK DOWN!!!!!
Ndiyo πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Huyo ni wewe mkuu, mi sijao ila nna focus na malengo yangu hayayumbi kwa sababu za ujana.

Nadhani wewe uliajiriwa ukiwa bado hujapitia shurba za kitaa, kwa tuliozipitia hata usipooa akili inakua stable tu wala huhitaji kushurutishwa na ndoa kwanza ndo uwe na focus.
 
Basi Tanzania yote ni ya hovyo maana kizazi kilicho kazini saivi ni hicho ulichotaja.

Hii mitandao ya kijamii imejazwa na watu wa hicho kizazi.
Sidhani kama huu utafiti una ukweli mkuu. Kwa maana hiyo huenda hii jf asilimia 95 ni ya watu wa hovyo coz wengi wamezaliwa hapo katikati.
 
Kweli binadam tumepotea mbaya, na hatujui dhamani yetu na hatujui tupo duniani kwa kazi gani, yaani binadam wa leo anapandishwa dhamani na gari nyumba, pesa, kazi nzuri, anasahau kwamba dhamani yake ni kubwa kuliko hayo matakataka tu
Huruhusiwi kuita takataka mpaka uwe navyo
 
Umegusa penyewe.
 
Ukiwa na mafanikio umri umeenda halafu huna familia Jamii inakuondaje?
Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu.

Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.??
 
M
Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu.

Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.??
Mke naoa kwa ajili yangu ila ntaishi na kwenye jamii, Point yangu Ni kwamba kuoa/kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima.

Ukiwa na mafanikio ila huna mke heshima utayoipata ni ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…