Shikono Avant Senior Member Joined Nov 23, 2019 Posts 123 Reaction score 129 Jun 25, 2022 Thread starter #81 Vishu Mtata said: Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu. Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.?? Click to expand... Kweli kabisa sasahiv mambo yamebadilika hamna kushangaana cha msingi ni kufanya unachoweza tuu sio kumuangalia fulan atasema nini maana hata hao unawaona watasema kitu hawana msaada kabisa
Vishu Mtata said: Yaani dunia ya sasa bado unaangalia jamii itakuonaje? Au hujui hata wewe ni jamii ndgu yangu. Unaoa kwaajili ya jamii au kwa ajili yako mkuu.?? Click to expand... Kweli kabisa sasahiv mambo yamebadilika hamna kushangaana cha msingi ni kufanya unachoweza tuu sio kumuangalia fulan atasema nini maana hata hao unawaona watasema kitu hawana msaada kabisa
Shikono Avant Senior Member Joined Nov 23, 2019 Posts 123 Reaction score 129 Jun 25, 2022 Thread starter #82 Nazi Ignition said: Ukiwa na mafanikio umri umeenda halafu huna familia Jamii inakuondaje? Click to expand... Sio muda wa kuangalia jamii, jamii ya sasa ipo kwakutaka wewe uanguke wao wapate cha kusema na kufurah,
Nazi Ignition said: Ukiwa na mafanikio umri umeenda halafu huna familia Jamii inakuondaje? Click to expand... Sio muda wa kuangalia jamii, jamii ya sasa ipo kwakutaka wewe uanguke wao wapate cha kusema na kufurah,
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jun 26, 2022 #83 Shikono Avant said: Bado hawajaanza kuvuna vizur hayajachanganyia mpaka sasa gunia 60,000 kwamaana kilo moja 570 Click to expand... Safi sana jokes with infos
Shikono Avant said: Bado hawajaanza kuvuna vizur hayajachanganyia mpaka sasa gunia 60,000 kwamaana kilo moja 570 Click to expand... Safi sana jokes with infos
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jun 26, 2022 #84 Nazi Ignition said: M Mke naoa kwa ajili yangu ila ntaishi na kwenye jamii, Point yangu Ni kwamba kuoa/kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima. Ukiwa na mafanikio ila huna mke heshima utayoipata ni ndogo. Click to expand... Mkuu uwe na pesa halafu usipate heshima, ni heshima gani unayoongelea ndgu yangu?? Hiyo ni miaka ya zamani ndgu na labda kwa vijijini ila mijini hamnaga hiyo kitu aisee.
Nazi Ignition said: M Mke naoa kwa ajili yangu ila ntaishi na kwenye jamii, Point yangu Ni kwamba kuoa/kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima. Ukiwa na mafanikio ila huna mke heshima utayoipata ni ndogo. Click to expand... Mkuu uwe na pesa halafu usipate heshima, ni heshima gani unayoongelea ndgu yangu?? Hiyo ni miaka ya zamani ndgu na labda kwa vijijini ila mijini hamnaga hiyo kitu aisee.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jun 26, 2022 #85 Shikono Avant said: Yaah Ajira au kitu chochote cha kukuingizia kipato nacho ni shida, inshort dependent Click to expand... Wewe yesu mpaka leo yupo kwa baba yake...unataka presha za bure tuu
Shikono Avant said: Yaah Ajira au kitu chochote cha kukuingizia kipato nacho ni shida, inshort dependent Click to expand... Wewe yesu mpaka leo yupo kwa baba yake...unataka presha za bure tuu
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Jun 26, 2022 #86 Nazi Ignition said: Anamaanisha hana mke, hana mbele Wala nyuma kimaendeleo. Click to expand... Alafu ana degree
Nazi Ignition said: Anamaanisha hana mke, hana mbele Wala nyuma kimaendeleo. Click to expand... Alafu ana degree
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Jun 26, 2022 #87 Behaviourist said: Mimi nina 55, vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe. Click to expand... [emoji3][emoji3]
Behaviourist said: Mimi nina 55, vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe. Click to expand... [emoji3][emoji3]