Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

Asenga hapo ndio kamaliza. Anaona ametoa mchango wa maana sana kusaidia jimbo lake na taifa kupiga hatua.

Wahuni wamejazana hapo kupongeza ukatili uliofanyika na kumpongeza aliyetoa amri ya kuua maelfu kwa maelfu ya raia.
 
Kwa mtu yeyote alietimamu asifungue hiyo link
 
Back
Top Bottom