Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

Asenga hapo ndio kamaliza. Anaona ametoa mchango wa maana sana kusaidia jimbo lake na taifa kupiga hatua.

Wahuni wamejazana hapo kupongeza ukatili uliofanyika na kumpongeza aliyetoa amri ya kuua maelfu kwa maelfu ya raia.
 
Eatumiwe hata misile za gamboshi kama za mrusi tumeshindwa
 
Kwa mtu yeyote alietimamu asifungue hiyo link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…