Asha kafanya shumbilio la aibu .hata mimi nimeshangaa.
wanasheria wanahitajika hapa ili waweke sawa hili
Naombeni namba ya asha chapMahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jangβandu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
na wanamke akinilewesha kwa drugs na akalengesha uke wake kwang bila ridjaa yangu, hapo imekaaje?Asha kafanya shumbilio la aibu .
Asha hawezi kubaka . Au tuseme kisheria mwanamke hawezi kubaka maana ili tuseme mtu kabaka lazma kuwe na vitu viwili
Kukosekana kwa ridhaa
uume kuingia kwenye uke wa mwanamke
Shambulio la aibuna wanamke akinilewesha kwa drugs na akalengesha uke wake kwang bila ridjaa yangu, hapo imekaaje?
Kisheria mwanamke hawezi kumbaka mwanaume ilaKubakwa na mwanamke raha nyie
Asha amebaka.Asha kazingua kwanini kabaka mjukuu wake!!?
Atakuwa na changamoto ya afya ya akili, ni ngumu sana mwanamke kutenda kitu km hiko.
heee! kivipi tena?Shambulio la aibu
Makosa mawili hapo.heee! kivipi tena?
na vipi mwanamke akiniteka na kunilazimisha nmfaki bila ridhaa yangu.
hapo yena vipi?
Ni kubwa kwasababu si kijana wako alofanyiwa hicho kitendoMaisha?! hiyo adhabu mbona kubwa sana?
Kijana wangu kufunzwa kukaza ni jambo la faraja sana kuliko kujiumiza kwenye Punyeto.Ni kubwa kwasababu si kijana wako alofanyiwa hicho kitendo
LAiti angekuwa wako sijui ungekuwa na hali gani
Pole ya nini ameharibu mtoto wa mwenzie mapema ivo akapambane na manyapala walio na ugwadu hukohukoPole sana Asha.....
15 kinadinda fresh anapekechea kiarageBora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
na mashine ikiingia ndani yote ikoje?Makosa mawili hapo.
Utekaji nyara
Na
Ufanyaji au ufanyishwaji wa mapenzi pasipo na ridhaa kwa mwanaume au mwanamke ila mashine haikuingia ndani yote ni shambulio la aibu