Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Asha kafanya shumbilio la aibu .hata mimi nimeshangaa.
wanasheria wanahitajika hapa ili waweke sawa hili
Asha hawezi kubaka . Au tuseme kisheria mwanamke hawezi kubaka maana ili tuseme mtu kabaka lazma kuwe na vitu viwili
Kukosekana kwa ridhaa
uume kuingia kwenye uke wa mwanamke