Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
Naombeni namba ya asha chap
Nataka nimchukulie zamana
 
Asha kafanya shumbilio la aibu .
Asha hawezi kubaka . Au tuseme kisheria mwanamke hawezi kubaka maana ili tuseme mtu kabaka lazma kuwe na vitu viwili
Kukosekana kwa ridhaa
uume kuingia kwenye uke wa mwanamke
na wanamke akinilewesha kwa drugs na akalengesha uke wake kwang bila ridjaa yangu, hapo imekaaje?
 
heee! kivipi tena?
na vipi mwanamke akiniteka na kunilazimisha nmfaki bila ridhaa yangu.
hapo yena vipi?
Makosa mawili hapo.
Utekaji nyara
Na
Ufanyaji au ufanyishwaji wa mapenzi pasipo na ridhaa kwa mwanaume au mwanamke ila mashine haikuingia ndani yote ni shambulio la aibu
 
Makosa mawili hapo.
Utekaji nyara
Na
Ufanyaji au ufanyishwaji wa mapenzi pasipo na ridhaa kwa mwanaume au mwanamke ila mashine haikuingia ndani yote ni shambulio la aibu
na mashine ikiingia ndani yote ikoje?
Kuumbuka: hapa mwanaume ndo kafanyiwa hili tendo.
 
nahisi wazazi wa kijana wana bifu na Asha. Na walipata fununu kwamba kijana wao anatoka na Asha wasie mpenda pale mtaani, na kwahivyo wamemkazia kijana wao aseme alilazimishwa kunyanduana na Asha, hali ya kua huenda kijana mwenyewe alimuelewa Asha na akaomba show kwa Asha, na bila hiyana Asha akamtunuku kijana 🐒

so,
Asha anateswa na namna sheria ilivyo tu, huenda hata show yenyewe haikua ya kitoto na huyo kijana 🐒🐒

hata hivyo,
ni vizuri kujizuia na kujizatiti vilivyo hasa katika kudhibiti hisia, hususani tunapokabiliwa na changamoto ya upwiru.
unaweza kupata fedheha au kuangukia mikononi mwa sheria ukaharibu uhuru wa maisha yako daima 🐒
 
Back
Top Bottom