Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Yupo sahihi kwa mtazamo wa ndani huwezi ukabeba jezi za CCM ukaenda kukaa Ufipa Street pale ukahisi watakuelewaje? Si watakuona wewe mwanga mchawi umekuja kuwawangia katika eneo lao?
Wewe na Asha akili zenu sawa
 
[emoji23] [emoji23] Dada una vituko!

Kuna kipindi mliqnzisha kampeni ya kususia laini za voda sijui mkaishia wapi?
 
Yuko sahihi, umewahi kuona kwenye mkutano wa simba wametandika bendera ya Yanga? Mwanachadema unafuata nini kwenye eneo la ccm kama sio ujinga.
 
Ugonjwa ukichanganya na njaa..
Kwahiyo akatafuta mtu amrecord ili aonekane na mamlaka kwamba ni mfia chama?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Nadhani wewe ndio umemuelewa mleta mada kuliko hao wengine walio dandia treni kwa mbele.
Hivi kweli unaweza kumkuta Kaduguda au Raphael Chegeni anafanya ujinga wa aina hiyo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ha
Toa takataka....too taka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…