Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #121
HILO NDIYO SWALI LA MSINGI.Huyu sasa naona kachanganyikiwa.. Kwahiyo hata kwenye biashara zake wasio wa ccm wasiende?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HILO NDIYO SWALI LA MSINGI.Huyu sasa naona kachanganyikiwa.. Kwahiyo hata kwenye biashara zake wasio wa ccm wasiende?
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unaonekana hauna furaha?kabisa
Kwani kadi ya CCM bei gani? Lipia kadi ya wamiliki wa hiyo sehemu kisha endelea na biashara basi, siku ukihama kijiwe warudishie kadi yao. Ugomvi wa nini na wajinga???Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.
Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.
Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
View attachment 2880803
Mbegu ya ubaguzi ikimea hatutazikana, wala harusi hatutaaalikanaKwani kadi ya CCM bei gani? Lipia kadi ya wamiliki wa hiyo sehemu kisha endelea na biashara basi, siku ukihama kijiwe warudishie kadi yao. Ugomvi wa nini na wajinga???
Hapo kwa huyo Mama sio ubaguzi, ni ujinga na njaa ndo vinamsumbuaMbegu ya ubaguzi ikimea hatutazikana, wala harusi hatutaaalikana
Kwa macheni hapo Magomeni hata wanapopata uongozi tunashangaa mimi huyo kauli yeyote atakayoongea sintashangaa maana nimemuona hapo sio kuwa nasimuliwa...Asante sana kwa kutufumbua macho mzee[emoji1787][emoji1787]
Naomba niseme, linapokuja suala la maslahi mbinu zozote nitafanya ikiwa ni pamoja na kuchukua kadi yako ili wanangu wapate rizki. Mwaka mmoja nilichukua kadi ili nipate mbolea kijijini kwa wakati niwahi mvua, sbb niliona nikianza ligi pengine hata shamba nikanyang`anywa, ila nilichowafanyia baada ya mavuno hawatakaa wasahau.Bado upo bado kwenye line hiyo hiyo ya Baraka
Nikuulize swali kidogo, hivi unadhani wote wanaovaa zile nguo huwa ni wa mlengo ule??Bado upo bado kwenye line hiyo hiyo ya Baraka
KabisaBusara za mlevi.
Ni upumbavu na ujingaHuu siyo uhuru bali ni kupanda mbegu za ubaguzi kama kipindi kile cha cuf na ccm kule Pemba chabkutokuzikana
Dawa ni kumbagua tuKama ni dada yako tunakuomba kamfundishe kuwa Tanzania hatujazoea kubaguana
Apia wa Mungu wako...hahahah