Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania.

Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm.

Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.

View attachment 2880803
Kwani kadi ya CCM bei gani? Lipia kadi ya wamiliki wa hiyo sehemu kisha endelea na biashara basi, siku ukihama kijiwe warudishie kadi yao. Ugomvi wa nini na wajinga???
 
Kwani kadi ya CCM bei gani? Lipia kadi ya wamiliki wa hiyo sehemu kisha endelea na biashara basi, siku ukihama kijiwe warudishie kadi yao. Ugomvi wa nini na wajinga???
Mbegu ya ubaguzi ikimea hatutazikana, wala harusi hatutaaalikana
 
Kwani kadi ya CCM bei gani? Lipia kadi ya wamiliki wa hiyo sehemu kisha endelea na biashara basi, siku ukihama kijiwe warudishie kadi yao. Ugomvi wa nini na wajinga???
Bado upo bado kwenye line hiyo hiyo ya Baraka
 
Bado upo bado kwenye line hiyo hiyo ya Baraka
Naomba niseme, linapokuja suala la maslahi mbinu zozote nitafanya ikiwa ni pamoja na kuchukua kadi yako ili wanangu wapate rizki. Mwaka mmoja nilichukua kadi ili nipate mbolea kijijini kwa wakati niwahi mvua, sbb niliona nikianza ligi pengine hata shamba nikanyang`anywa, ila nilichowafanyia baada ya mavuno hawatakaa wasahau.
 
Chadema mnapenda sana kulia lia, sasa kama eneo lilitolewa kwa ajili ya vijana wa CCM, iweje vijana wa vyama vingine wawepo? Vigezo na Masharti lazima vizingatiwe.
 
Kama ni dada yako tunakuomba kamfundishe kuwa Tanzania hatujazoea kubaguana
Dawa ni kumbagua tu
Show za bendi zake waende ccm tu

Huu ujumbe ntamfikishia
Hata hawa wasanii wanaowabeza na
Kuwasema wapinzani dawa ni kuwasusia tu

Ova
 
Back
Top Bottom