Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
 
Bado nawaza baba kaoa na nje anadandia wake za watu, kavunja ahadi aliyoweka mbele za Mungu ndoa imevunjwa kwa kukiuka masharti. Je wazaliwa toka kwa wazazi hao wawili tunawaitaje?
 
Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
 
Back
Top Bottom