Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa dini ipi kaka? Kihindu ,kiislamu, kibudha, kikrsto au kiyahudi au dini zetu za kibantu! Msomi unakua wazi umesema hivyo kwa mujibu wa mtazamo wa dini gani?Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Nimekumbuka mbali sana.
Tushakuja kaka baba zetu,baba wadogo na mashangazi walituita haramu ila tulipoanza kupiga hela siku hizi wanatuita mtoto wangu kipenzi🤣🤣🤣🤣🤣😋Ngoja waje
Kuoa ukiwa na miaka 30 ni kujitakia maana hakuna aliye kukataza kuoa ukiwa chini ya miaka 30 ,uzinzi ni uovu kama uovu mwingine na umesababisha maafa ndani ya jamii.unabalehe una miaka 12 unaoa una miaka 30, ukae miaka 18 usitombe mpaka uoe una akili wewe hizo dini zenu zinawafundisha ujinga
😂😂😂😂😂Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
"......kinyume na mipango ya Mungu..."Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Bastard 🤣🤣🤣Akina John Snow
Kila kitu unacho kiona duniani kimewekewa utaratibu wa kukifanya na sio kufanya hovyohovyo tu.Dini zingine ni upotoshaji tu. Viunge vya uzazi kazi yake kuleta viumbe Duniani. Bila kufanya mapenzi hakuna mtoto . Na mtoto ni mimi na wewe. Habari ya ndoa ni vitu vya kutunga tu. Hakuna mtoto haramu ila dini ndiyo haramu Kwa sababu zinaenda kinyume na Hali halisi ya mwanadamu. Jiulize Kwanini mwanamke ana kawaida ya kupata siku take 28. Au kwanini mwanaume anatoa mbegu sana.
Mleta mada hajaweka wazi kusema kwake Uanaharamu amebase kidini au kwa kuangalia jambo gani! kwenye Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni waharamu na hana haki hata ya kurithi mali ya huyo Baba yake.Mtoto sio haramu ila kapatikana njia ya haramu ..Kwa nn utoe hukumu mapema mno? Hakuna aliyependa kuwa ivyo inatokea tu kwa uzembe wa wazazi..
Wengi kati ya hao unaowaita haramu kibongobongo Wana mafanikio makubwa sana na ni wapambanaji.
Kitu chochote kilichopatikana kwa njia abazo sio za halali hua ni haramu.Dini zingine ni upotoshaji tu. Viunge vya uzazi kazi yake kuleta viumbe Duniani. Bila kufanya mapenzi hakuna mtoto . Na mtoto ni mimi na wewe. Habari ya ndoa ni vitu vya kutunga tu. Hakuna mtoto haramu ila dini ndiyo haramu Kwa sababu zinaenda kinyume na Hali halisi ya mwanadamu. Jiulize Kwanini mwanamke ana kawaida ya kupata siku take 28. Au kwanini mwanaume anatoa mbegu sana.