Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

unabalehe una miaka 12 unaoa una miaka 30, ukae miaka 18 usitombe mpaka uoe una akili wewe hizo dini zenu zinawafundisha ujinga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Daaah nimecheka sanaa. Wazaramo wansemaga we kuweza ndiyo hii sasa
 
Kuoa ukiwa na miaka 30 ni kujitakia maana hakuna aliye kukataza kuoa ukiwa chini ya miaka 30 ,uzinzi ni uovu kama uovu mwingine na umesababisha maafa ndani ya jamii.

basi tufanye bosi wewe umeoa ukiwa na miaka 20, maanake unatakiwa ukae miaka 8 mpaka uanze kuzagamua ili upate huyo mtoto wa kwenye ndoa, kwa akili yako unaona ni jambo rahisi
 
"......kinyume na mipango ya Mungu..."

☝️☝️☝️ Hapo juu ni Mungu gani unamuabudu ambaye mipango yake inapinduliwa na Kiumbe alichokiumba ?

hawa watu ni wapumbavu nafikiri, kila siku wanasema mipango ya mungu kwamba kila linalotokea ni mungu kapanga kwa hiyo hata ukizaliwa na changudoa ndo ilivyopangwa were huna hiari, inawezekana hata wale wanaopigana mabomu Ukraine ni mipango ya mungu na hakuna wa kubadilisha
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Awakupenda kuzaliwa haramu lakini.
 
Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
😂😂😂
 
Hamna mtoto haramu,we mwenyewe uamue kuwafanya haramu
Kikubwa binadamu tuache kuzaa zaa hovyo bila mpango
Shida ya wafia dini kuna mambo huwa hawatumii akili ya kawaida
 
hawa watu ni wapumbavu nafikiri, kila siku wanasema mipango ya mungu kwamba kila linalotokea ni mungu kapanga kwa hiyo hata ukizaliwa na changudoa ndo ilivyopangwa were huna hiari, inawezekana hata wale wanaopigana mabomu Ukraine ni mipango ya mungu na hakuna wa kubadilisha
True ! Wanashindwa kujua kwamba kupewa tu akili, maamuzi na ufahamu ni ili mambo mengine upange mwenyewe Mungu anayoyapanga binadamu hatuwezi kuyajua .

Naona wanatafuta sehemu ya kutupia lawama zao hakuna jengine
 
basi tufanye bosi wewe umeoa ukiwa na miaka 20, maanake unatakiwa ukae miaka 8 mpaka uanze kuzagamua ili upate huyo mtoto wa kwenye ndoa, kwa akili yako unaona ni jambo rahisi
Kwa hiyo ww ulianza kufanya ngono ukiwa na miaka 12? Basi kumbe ndo maana akili zako zimekaa kingono ngono.
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
assume kila mwanaume aoe na abaki na mkewe kuna wanawake wengi sana wangekosa watoto
 
Back
Top Bottom