Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,584
Kufanya mapenzi Kuna utaratibu gani. Kwani nyege hutafutwa au hujiletaKila kitu unacho kiona duniani kimewekewa utaratibu wa kukifanya na sio kufanya hovyohovyo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya mapenzi Kuna utaratibu gani. Kwani nyege hutafutwa au hujiletaKila kitu unacho kiona duniani kimewekewa utaratibu wa kukifanya na sio kufanya hovyohovyo tu.
Uhalali wa dini au wa asili ya maumbile ya binadamu. Kwanini Huwa unakojoa kitandani. Je Huwa unakojoa nini.Kitu chochote kilichopatikana kwa njia abazo sio za halali hua ni haramu.
Fact🤣Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
Kama hakuna utaratibu mbona huendi kufanya hayo mapenzi hadharani mbele za watu kama wanyama badala yake unaenda kujificha vyumbani?Kufanya mapenzi Kuna utaratibu gani. Kwani nyege hutafutwa au hujileta
Kwa hiyo ww ulianza kufanya ngono ukiwa na miaka 12? Basi kumbe ndo maana akili zako zimekaa kingono ngono.
We unasali wapi mkuuKwa mujibu wa Historia inaonesha Wenzetu Waarabu walipokuwa wakifanya biashara ya Utumwa Karne ya 7 hadi 8 pamoja na matokeo mengine ndiyo walisambaza Dini ya Kiislamu na Uislamu kwa Ujumla.
Kabla ya hapo MaBabu zetu waliweza Kuoa na kuwa na familia Kwa mujibu wa tamaduni zao.
Walipokuja Wamisionari, pamoja na kufanya shughuli zao za kutafuta Maliasili na Utajiri wa Bara letu la Afrika waliweza kuanzisha na kueneza Dini ya Kikristo.
Kabla ya hapo Babu zetu walikuwa na Ndoa zao ziwe za Kimila au nini.
Kwa muktadha huo, Kama kuwa Watoto wa Nje ya Ndoa, Basi Afrika yote tumezaliwa Nje ya Ndoa akiwemo Mtoa Mada.
Wacha ku complicate maisha kwa Tamaduni ulizoletewa na Waarabu na Wazungu.
Jiulize kwanini hatuna Mtume mweusi Kati ya hao Wawili tunaowaabudu iwe upande huu au upande Ule?
😂😂😂hata wasipofanikiwa...bado it is non of his business... Na bado tunazaa...ajiue basWatoto wengi wa nje ya ndoa ndio waliofanikiwa/wanaofanikiwa.
Mwanaharamu menyewe!
Ahaa haya banaWe jamaa!
Umevuka mipaka!
Unamaanisha Nani kazaliwat nje ya ndoa!!?
Yaani yupi!?
Hii spana ni ya nani hasa!!?
Mbona kama naijua!we Jamaa Wewe!!
Kwamba Mtoto haramu yupo KWA ofisi ipi!?nakiona tu! Haya poa!
Sawa ngoja nione!!
DiamondMungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
Mimi nasali kwa huyo mtume wa Kizungu.We unasali wapi mkuu