Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Religion is a tool for division
Na waliweza aisee!

Imagine Kuna mtu mnaweza hadi kugombana eti kisa hilo jambo la Imani.

Ukiangalia Imani yenyewe tumeletewa na Waarabu na Wazungu.

Bora tungeendelea na Imani zetu za Kusali kwenye Mapango na kwenye Miti Mikubwa tu 🤪
 
kwa hiyo ndo umemaliza hapo kunijibu, amakweli ukifuatilia hizi dini unakuwa kama zuzu, muda wote unatakiwa uwe ndani ya box ukitoka unakuwa kama kimaro
Mtoto awe wa kiume au wa kike anaye anza kujihusisha na ngono kwa umri huo ni kielelezo kuwa anatoka familia ya hovyo.
 
Na waliweza aisee!

Imagine Kuna mtu mnaweza hadi kugombana eti kisa hilo jambo la Imani.

Ukiangalia Imani yenyewe tumeletewa na Waarabu na Wazungu.

Bora tungeendelea na Imani zetu za Kusali kwenye Mapango na kwenye Miti Mikubwa tu 🤪
Walituweza kweli
 
Walituweza kweli
Wacha tuendelee kuwa waaminifu kwa Mungu wetu tunaye muamini.

Wazungu walituweza Sana hasa pale waliposema eti Mtu akikupiga shavu la Kulia mgeuzie na la Kushoto.

Walitufundisha tuwe wanyenyekevu ili wao waendelee kupora Mali zetu na kututawala.

Shida ikaja walipokutana na Watemi Isike/Mkwawa/Kinjikitile n.k ambao wao hawakuwa na Dino yao, hayo maeneo walichapika balaa 🤪
 
Kwa mujibu wa Historia inaonesha Wenzetu Waarabu walipokuwa wakifanya biashara ya Utumwa Karne ya 7 hadi 8 pamoja na matokeo mengine ndiyo walisambaza Dini ya Kiislamu na Uislamu kwa Ujumla.

Kabla ya hapo MaBabu zetu waliweza Kuoa na kuwa na familia Kwa mujibu wa tamaduni zao.

Walipokuja Wamisionari, pamoja na kufanya shughuli zao za kutafuta Maliasili na Utajiri wa Bara letu la Afrika waliweza kuanzisha na kueneza Dini ya Kikristo.

Kabla ya hapo Babu zetu walikuwa na Ndoa zao ziwe za Kimila au nini.

Kwa muktadha huo, Kama kuwa Watoto wa Nje ya Ndoa, Basi Afrika yote tumezaliwa Nje ya Ndoa akiwemo Mtoa Mada.

Wacha ku complicate maisha kwa Tamaduni ulizoletewa na Waarabu na Wazungu.

Jiulize kwanini hatuna Mtume mweusi Kati ya hao Wawili tunaowaabudu iwe upande huu au upande Ule?
Kwa kukusahohisha kidogo Mzungu na Mwarabu wote walifanya biashara ya utumwa.

Kule Wamisionari walihusika kubaliki maslave master na huku masheikh walihusika kuwa bega kwa bega na slave Master au wenyewe kuwa slave master.

Kitanda hakizai haramu ila kitanda hakijawahi zaa.

Mtoto wa nje ya Ndoa ni mwanaharamu
Tuseme ndio mtoto ambaye baba yake alikuwa Mwana haramu ila yeye akazaliwa ndani ya Ndoa ni halali au haramu?

Ila vitu haramu ndio vitamu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtoto kazaliwa nje ya ndoa badae katokea kapata mafuzo ya dini Kawa sheikh au mchungaji ivi huyu tumiataje sheikh haramu au mchungaji haramu
Mtoto wa nje ya ndoa hawezi kuwa imamu wa kuswalisha msikitini
 
Kwa kukusahohisha kidogo Mzungu na Mwarabu wote walifanya biashara ya utumwa.

Kule Wamisionari walihusika kubaliki maslave master na huku masheikh walihusika kuwa bega kwa bega na slave Master au wenyewe kuwa slave master.

Kitanda hakizai haramu ila kitanda hakijawahi zaa.

Mtoto wa nje ya Ndoa ni mwanaharamu
Tuseme ndio mtoto ambaye baba yake alikuwa Mwana haramu ila yeye akazaliwa ndani ya Ndoa ni halali au haramu?

Ila vitu haramu ndio vitamu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kabla hizo dini za Wazungu na waarabu Kuja Afrika Hilo neno Mtoto haramu halikuwepo kabisa.

Kwani Mfalme Suleimani wale wake zake 700 alifungishwa ndoa na mchungaji/ sheikh gani?
 
Kabla hizo dini za Wazungu na waarabu Kuja Afrika Hilo neno Mtoto haramu halikuwepo kabisa.

Kwani Mfalme Suleimani wale wake zake 700 alifungishwa ndoa na mchungaji/ sheikh gani?
Swali gumu sana
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Kuna tofauti ya maneno haya
1)wana wa haramu na
2)wana haramu
Sasa sijui wewe unamaanisha neno lipi maana ni kama tofauri iliyopo baina ya muislamu na muisiharamu
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu

akiwa tajiri una muitaje
 
Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
Eti mazingira ya dhambi😂😂😂hizo dini zenu Zina mambo
 
Back
Top Bottom