kivurumula
Member
- Jun 1, 2022
- 45
- 47
Hahaha ngoja waje wakusodoe unawaitaje wenzako n watoto wa haramu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitu/privileges gani mtoto aliyezaliwa ndoani anavyo na ni privileges gani huyo mtoto unayesema kazaliwa nje ya ndoa hana?Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Huo uwanaharam ni wewe umesema sio Mungu ambaye alisema tuje duniani tuongezeke tunaongezeka vipi bila kujamiiiiana??Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Hawakuwa nazo na Hadi Leo sinaNa wenyewe walikuwa na ndoa za kimila mkuu
Lugha gongana [emoji23][emoji23]KITANDA HAKIJAWAHI ZAA HATA SIKU MOJA. MIMI NINA VITANDA TOKA MIAKA YA 90 MPAKA LEO HAKUNA AMBACHO KIMEZAA...
Sisi tumefundishwa mitume walikuwa binadamu kama sisi, ninyi mmefundishwa mitume wenu walikuwa ni viumbe wa aina gani?Apo ndo tunaposhindwana na wakristo kwa kuwasingizia maovu mitume ya Mungu mara walevi,wazinzi
Ivi kweli kabisa huo ukristo unakufundisheni huu uongo?
Ety mtume wa Mungu anazini mara alewe embu fikirieni mara mbili mbili basi
Nakuona ushuzi mtoa post kwa hiki ki statementMlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Kuna la ukweli fulani Mkuu!!Haramu ikojeView attachment 2487952
Sasa wasingezaliwa wangejuaje kuwa hakuzaliwa,,,,, mambo mengine yamejaa utapeli tu na nayaona kabisa hayana maan
Sasa wasingezaliwa wangejuaje kuwa hakuzaliwa,,,,, mambo mengine yamejaa utapeli tu na nayaona kabisa hayana maan
Kwa waislam hawezi kuwa mrithi wa mali za babaye.Ni vitu/privileges gani mtoto aliyezaliwa ndoani anavyo na ni privileges gani huyo mtoto unayesema kazaliwa nje ya ndoa hana?
Na mfano halisi ni Suleiman , alizaliwa kwa mama wa kuiba yaani mamake Suleiman aliachishwa kuwa mke wa Uria (ndoa ilivunjwa) kwa lazima ya mfalme Daud ila hiyo ndoa yenye uharamu ikamzaa mtu tajiri na mwenye hekima zaidi katika uzao wote wa dunia tangu ilipoumbwaWatoto wengi wa nje ya ndoa ndio waliofanikiwa/wanaofanikiwa.
Mwanaharamu menyewe!
Sawa nakungoja , unioneshe wapi wameitwa ni wana haramuQoran inawapinga sana ngoja nikupe pia vifungu vya biblia
Tusaidie maana ya neno haram kijana maana ishu za kurithi hazidhihirishi uharamu wowote zaid ya kuwa ndiyo utaratibu wa Mungu tu nitakupa mfano:-Kwa waislam hawezi kuwa mrithi wa mali za babaye.
Kwa wakristo angalia nchi kama England ukizaliwa na bava mfalme we ni bastard sio prince,huwezi kurithi hata ufalme,ofcoz kama baba yako ni tajiri ikatokea akafa ndio utajua umuhimu wake ila kwa masikini hakuna shida
Zanzibar wanafatilia sana sheria za ndoa yani mtoto akizaliwa nje ya ndoa anaishi bira furaha na anakosa upendo kutoka kwa kwenye familia ya Baba yake mzazi, yani utakuta kwenye familia anaweza kupendwa mtoto yatima kuliko mtoto wa nje ya ndoa, Kuna rafiki yangu aliniambia yeye ni mtoto wa nje ya ndoa kuna kipindi alienda kumsalimia Baba yake alipofika nyumbani kwa Baba yake huyo baba yake akamkataza kumuita Baba ila amuite mzee Juma kwasababu huyu Baba yake ana mke na ataki mke wake ajue kama alizaa nje ya ndoa, Kwakifupi Wazanzibari wana piga vita sana kuzaa nje ya ndoa na mtoto wa nje ya ndoa hana thamani kabisa kwenye familia ya Baba yani wakijua kijana wakiume kazaa nje ya ndoa huyo mtoto ataishi na kulelewa upande wa Mama tu.Mwana wa haramu maana yake walio zaa ndiyo wamefanya haramu na mwana haramu maana yake yule aliye zaliwa ndiyo haramu
Wao wamefundishwa eti mitume hawakosei cha ajabu Mohammad alitajwa ndani ya Quran kuwa ana dhambiSisi tumefundishwa mitume walikuwa binadamu kama sisi, ninyi mmefundishwa mitume wenu walikuwa ni viumbe wa aina gani?
Ndoa ni nini?Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu