Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Kama nyie mnavyotamani wanawake tofauti tofauti nasi ni hivohivo tunatamani wanaume tofauti sema ndo hivo unajizuia tu,
NOTE,mwanamke akikutaka anakupata tu
Ulisikia wapi mwanamke akimtaka mwanaume yeyote anampata my dear pole pole pole
Pole pole pole pole tena pole
Mbona mi nishachomoa wengi tu siwezi kukojoa kila shimo [emoji317][emoji848]

That principle doesn't apply to every man watu wana selection zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji2962]
 
Hongera kidume,mpaka uwe na msimamo bila msimamo utaokotwa tu
 
Kama nyie mnavyotamani wanawake tofauti tofauti nasi ni hivohivo tunatamani wanaume tofauti sema ndo hivo unajizuia tu,
NOTE,mwanamke akikutaka anakupata tu

Kuna mwanmke najua kabisa ni mdangaji ila ana power flan hivi ya kuvutia, niko napambana na mimi mwenyewe kumkwepa
 
Ex wangu huyo namtamani hatari ni handsome man mtanashati ananukia na vipesa vyake vya kununulia Subaru Forester ila ndio hivyoooo ni Exxx
wanasemaga ma ex wanaoachana bila ugomvi 90% hurudiana na wakirudiana break ni Ndoa.
 

Mimi huwa naangalia eneo la zipu,moja ya tabia yangu mbaya sana[emoji2314]
 
Kama nyie mnavyotamani wanawake tofauti tofauti nasi ni hivohivo tunatamani wanaume tofauti sema ndo hivo unajizuia tu,
NOTE,mwanamke akikutaka anakupata tu
Hapna hawezi kupata kama nyanya sokoni hoja yako imekwama
 
Kunatofauti kubwa kati ya mwanamume kumwona mwanamke na kumtamani vs mwanamke kumwona mwanamume na kumtamani. Tofauti ni kwamba tamaa ya mwanamume ni kwa kuona na tamaa ya mwanamke ni kwa kushikwashikwa, kupapaswa kimahesabu na kutomaswa tomaswa!! Mwanamume anatamani hadi panasimama, ila mwanamke hawezi kuona hadi utelezi utoke, ila akilini mwake atatamani kuwa naye sehemu!! macho ya mwanamke yanamuunganisha na akili na imaginations lakini haileti utelezi!! Kwa mwanamume asipojizuia anaweza kujikuta ametamani hadi kero yake inakuwa dhahiri kwa wengine!!
Ila sasa huyo ambaye mwanamke alimwona na kumtamani, kama ikatokea akampata, hapo akiguswa kidogo tu ni utelezi huko chini hadi basi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…