mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wakati mwingine ni mawazo yenu tu ambayo hayana uhalisia wowote! Wanawake ndo wako desperate!! wanahaha ile mbaya!! kutoboa toboa suruali kwenye mapaja!! kuvaa vimini vinavyoishia katikati ya magoti na kiuno, etc!! tamaa kwa wanawake ni kubwa sana!! Japo kwa asili waliumbiwa aibu, lakini wamefanikiwa kuiweka pembeni!! Ukifanya kosa ukasimamisha gari usiku mitaa ya Ohio, utakalokutana nalo utasimulia maisha yako yote!! ngoja niishie hapo