Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Yes, alikuwa mwarabu na nilimpenda nikamwambia akadai hata nayeye tukaamua kulalana so nikaenda kwao wakataka niwe muislim so ikashindikana kwetu hawataki niwe muislam wao wataki nioewe na mtoto wao mahakamani
Kwahiyo kwenu ndio waliamua hatma ya maisha yako na sio wewe? comment yako inaonekana wewe ulikua tayari kubadili dini ila tatizo likawa "Kwenu"
 
Kwahiyo kwenu ndio waliamua hatma ya maisha yako na sio wewe? comment yako inaonekana wewe ulikua tayari kubadili dini ila tatizo likawa "Kwenu"
Ukipenda sawa ila isiharibu dini Yako kuslim nikitu ingine ili hali mie ni mtoto wa mtumishi wakanisa ila walahi nampenda sana mkuu yaani nimemsahau ila dah ilikuwa inshu ingine
 
Ukipenda sawa ila isiharibu dini Yako kuslim nikitu ingine ili hali mie ni mtoto wa mtumishi wakanisa ila walahi nampenda sana mkuu yaani nimemsahau ila dah ilikuwa inshu ingine
Bado hujajibu swali langu,

Wewe binafsi ulikua tayari kubadili dini? Coz umesema kwenu ndio hawakua tayari,hujasema kua wewe ndio hukua tayari.
 
Mwanamke attention yake ya kwanza ni kwenye vitu ulivyonavyo na sio umbile
Ndio maana ili kumpata mwanamke kama kitu hapo ukipata chance mdanganye kuwa unacho, atakuamini, Ukiwa na kitu hata kama umeazima watakuamini they don't need any proof.
Wewe ni mwanamke????

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yes, alikuwa mwarabu na nilimpenda nikamwambia akadai hata nayeye tukaamua kulalana so nikaenda kwao wakataka niwe muislim so ikashindikana kwetu hawataki niwe muislim wao wataki nioewe na mtoto wao mahakamani
Mkalalana, au sio!
 
Utasikia tu yule kaka ni my crush, hapo ujue kashamtamani. Msimu wa kombe la dunia wanawake wengi wao walivutiwa na Mbape ndio ujue ht wao kweli wanatamaa
 
Kwema Wakuu!

Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume?
Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%.
Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo, wanatamani Kama ilivyo Kwa Wanaume.

Hivyo weka akilini kuwa kama wewe jinsi ukipita ukimuona Mdada mrembo ukamtamani, basi ndivyo hivyohivyo wanawake wakikutana na wanaume wazuri/handsome boy njiani huwatamani tena sio kidogo.
Wanawake wanatamani

i. Wanaume wazuri wa Sura
ii. Wenye ndevu zilizochongwa vizuri iwe za mashavuni au kidevuni na walionyoa minyoo mizuri kichwani ya kuvutia. Sio unyoe kama mwanafunzi
iii.wanaume warefu kiasi
Iv. Wanaume wenye vifua vilivyopangika, kisiwe kikubwa Sana.
v. Wenye sauti nzito wanaojua kuipangilia
vi. Wanaume watanashati , wasafi na mavazi mazuri.
Vii. Wanawake wanatamani wanaume wacheshi lakini wasio na mazoea ya hovyo na wanawake.
Yaani uwe na ukauzu flani lakini usizidishe.
Sio umekutana naye tuu unaanza shobo au unarusharusha macho kuangalia warembo wengine.

VIII. Wanawake wanatamani mpaka wengine kulowanisha chupi wakiona sehemu ya flaizi/zipu ya suruali ya mwanaume ikiwa imetuna na uume kujichora.
Zingatia wanawake hata kama hawatakuambia lakini wanapenda Mashine kubwa ikipungua iwe saizi ya Kati.

Ix. Wanawake wanatamani wanaume wenye pesa lakini sio kingono kama Mwanaume huyo Hana mvuto, uwe na kigari, sehemu nzuri ya kuishi, unajipenda au unamaisha Fulani ya ubizebize.
Wanawake ni ngumu kutamani mwanaume ambaye amekaa kijiweni.
Wanakasumba mbaya na wanaume wa vijiweni.
Labda awe anakujua, lakini ni ngumu Sana utokee kijiweni umsimamishe pisikali ikakubali.

Jambo moja unalopaswa ulielewe kuhusu Wanawake ni viumbe walioumbwa kujificha, stara, wao ni aibu na kujidhalilisha kuonyesha tamaa Yao waziwazi.

Zingatia pia Wanawake hupoteza kujiamini moja Kwa moja wanapokutana na wanaume wa Aina mbili;

1. mwanaume Mzuri
2. Mwanaume mwenye Pesa

Kikawaida mwanamke huwa submissive Kwa hizo chata mbili. Yaani hujiona Duni.
Achana na hawa vijana wa Sinza wanaojifanya wazuri, kuna kujifanya mzuri na kuwa mzuri.
Wanawake wanaelewa nazungumzia nini.

Jambo moja ambalo linafanya ionekane Wanawake hawatamani ni kutokana na kuwa Wanaume wazuri ni wachache Sana katika mzungu wetu.
Wengi wetu tuna Sura ngumu na hatujakidhi vigezo vya kuwatamanisha wanawake.

Mifano ya kwenye Biblia ya wanawake waliotamani wanaume, tunaiona Kwa Mke wa Potifa na Handsome boy Aitwaye YUSUFU.

Watu wa mitindo na fasheni wanajua saikolojia ya binadamu. Sio ajabu hata nguo nyingi za siku hizi za vijana zinadizainiwa mahususi kuwatamanisha kinadada.
Mathalani zile suruali kama za mazoezi, vibukta au Baadhi ya flana ambazo ni nyepesi mahususi kuvaa Kwa wanaume wanaofanya Gym.

Pia watu wa Gym wanajua ni mazoezi gani mwanaume akifanya anakuwa na mwili WA kutamanisha wadada.

Pia watengeneza Mafuta na marashi hujua ni mchanganyiko gani wa Kemikali wakiutumia kutengenezea baadhi ya perfumes zinawafanya wanawake wajikute kwenye tamaa.
Yaani mtoto wa kike akikaa karibu yako akihisi harufu ya marashi moja Kwa moja homoni na ashki ya ngono zinapanda.

Note: mwanaume haupaswi kutaka au kutamani kutamaniwa na wanawake Kwa mambo yasiyo ya kiume.
Fanya kazi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mwanaume awe mweusi, mrefu kiasi, anachomekea yan kava official, kavaa saa kali, alafu ananukia, aiseee lazima nimwangalia mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom