Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Sie wafupi, wenye ndevu zisizo na ushirikiano, wenye vitambi, vifua vimejaa na manyonyo...HATUNA CHETU HAPA!!
 
Watu wamedanganywa sana na mambo ya Haki za Wanawake.
Wanaweke wamejificha chini ya Haki za Wanawake ili kuughilibi ulimwengu unaoelekea kupoteza uelekeo na kuangamia. Chanzo Cha anguko la Mwanadam ni Mwanamke na pia mwisho wa Nyakati na uharibifu mkubwa chanzo chake ni Mwanamke.

Ukweli ni kwamba Wanawake wanatamaa kuliko wanaume.
Kwa kuzingatia hayo ndio maana jamii zote na Mila zote Duniani zilimwekea Mwanamke SHERIA ngumu na Kali ili kumfanya aogope kutimiza tamaa zake bila utaratibu.
Mwanamke akisha vunja ungo Mwili wake unawaka tamaa sana hasa kipindi Cha kukomaa Kwa yai la uzazi.

Hebu tujiulize ni Kwa Nini Mwanamke anatamani kila kitu Kizuri kiwe chake ?
Hata mavazi Mwanamke anaweza kuvaa kila aina ya hereni ,mikufu ,shanga ,nguo na kila aina ya pambo zuri lakini Bado anathamani akiona Mwenzake kavaa Zaidi . Hii inaonyesha kuwa Mwanamke ameumbwa akiwa na tamaa kubwa zaidi ya mwanaume.

Mwanaume anaweza kuwa ni nguo mbili tatu na asiwe na tatizo . Wapo wanaume wenye tamaa lakini ni wachache na wengi Wana hulka za kike kike kutokana na malezi. Mwanaume aliyelelewa na kuwa karibu na akina dada na mama anakua na tamaa na mara nyingi wanakua ndio malaya Malaya. Lakini mwanaume na wasanii sanii na wanaobadili badili Wanawake kama nguo. Ni wale wanaopenda mwenokano wa kuvutia wengine wanavaa hereni ,wanachora tatuu, wanasuka nywele n.k.
Jambo la ajabu ni kwamba jamii imeaminishwa kuwa wanaume wanatamaa kuliko Wanawake jambo ambalo sio kweli . Ukweli ni kwamba walicho nacho Wanawake ni aibu na uwezo wa kuficha mambo yao yasijukikane Kwa wepesi. Wanaume hawana Siri wakiwa sehemu akipita Mwanamke ni rahisi kusema kuwa huyo nimeshatembea naye hata kama ni mke wa mtu tofauti na Wanawake hawawezi kujitangaza wataruka mita mia mpaka wakamatwe live.

Kwenye Bibili Kuna visa viwili vya Mwanaume Mtanashati kutegwa na Malkia na Pia Mwanamke kutegwa na Mfalme.
Hawa ni Yusuf Kwa Malkia mke wa Faraoh Mke wa Uria Kwa mfalme Daudi.
Hivi visa viwili vinatuonyesha jinsi wanaume wanavyoweza kukimbia zinaa na kushinda mitego ya zinaa tofauti na Wanawake.
Yusuf alikataa kutembea na malkia na akatupwa gerezani.
Lakini mke wa Uria alishindwa kukataa na akatembea na Mfalme Daud mpaka akapata uja uzito na kupanga njama za kumbambikia Uria mimba. Na Uria alipotoka vitani Bado akahimili kuwa imara bila kukimbilia kulala na mkewe Kwa mhemko wa kingono. Alikataa kwenda kulala nyumbani wakati Kuna vita.
Hapo mke wa Uria alipanga njama Tena na mchepuko wake ambaye ni mfalme Daudi namna ya kuepukana na Ile aibu ni kimuua Uria . Hapo ni wazi kuwa kwenye suala la mapenzi Wanawake hawana macho Wala maono ya mbele zaidi ya kuangalia tamaa inayokua mbele yao ama ya pesa,uzuri na umaarufu.

Hata kwenye maeneo ya vyuo na makazini unakuta ni wanaume wachache TU ndio wanawachanganya Wanawake Kwa mzunguko lakini wanaume wengi unakuta wapo bize na masomo yao na wanawakwepa sana Wanawake ambao ni wanafunzi wenzao. Tofauti na wanafunzi wa kike ambao wantembea mpaka na wakufunzi na Bado mitaani Kwa watu maarufu na wanafunzi wenzao wa kiume ambao ni wachache Sana ila wenye tabia za kupenda starehe na anasa.

Kiujumla Waafrika tumevamia Mila za Kizungu ambazo zitaangamiza ndoa Kwa haraka sana mana wazungu na Waarabu Mila zao Wana taratibu zao na wanaziwekea SHERIA . Kwa wazungu Mwanamke na mwanaume wanafuatiliana nyendo zao Kwa karibu na pia hakuna kubambikiziana Mimba na kusingiziana watoto jambo linalowafanya wanandoa kuwa makini hasa kwenye suala la mapenzi. Wakichokana wanavunja mkataba sio kuchepuka kama huku Afrika ambapo Wanawake wako huru. Matokeo yake Wanawake wa Afrika wengi wanazaa nje ya Ndoa na hata suala la DNA linakua ni kama mgogoro kulisimamia huku Afrika .
 
Kweli
Mimi navutiwa kwanza na muonekano. Hayo mengine baadae.
Kabisa, muonekano kwanza. Kitu cha pili ubongo uko Vip. Maana anaweza akawa na muonekano mzuri halafu ubongoni kumejaa tope utajutraaa mwanamke.
Pesa na gari vinatafutwa lakini ubongo hautafutwi
 
Mbele kabisa kushoto dirishani[emoji144]
Toa ushuhuda alisema ni kweli sio kweli, maana watu tuna note book tunakopi, sasa tusiingie chaka tukala sap fanyeni kukomfim wadada tujue kweli au la
 
Sikumbuki vema, ila nadhani hoja ilikuwa kupenda na sio kutamani. Hata hivyo hayo uliyoandika yana uhalisia kwa wale waliojazwa fikra potofu, lakini kiukweli kabisa, mwanamke hayuko hivyo ulivyosema. Hayo uliyosema ni matokeo ya feminism na sexual revolution.
Lete vitu Nyerere,
Andaa uzi kabisa kuelezea hiyo kitu kiundani

Uzi uwe na jina :
feminism na sexual revolution.
 
Back
Top Bottom