Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Basi na wao pia wachukue kama changamoto waboreshe maisha yao.
Kama tunapenda tako basi wakipige plastic surgery waongeze tako.
Kama wanalalamika kuwa tunagegeda mbususu sana basi nao wachezee de libolo nyingi pia.
Kama aie ni bahili basi wao wazisake hizo hela
Oa utulie acha utukutu
 
h
Njoo tubanane hapahapa mkuu kuna ka nafasi hapa!
Hili jibu ma nazazi yamelipendaaaa duuu! ukichanganya na kapicha mwee! sijui wamerogewa chini hawa??nilikuwa naona maafanbe walivyokuwa wana shobokea makuruta wa kike loooo! haifi ile! hata kuku, mbwa, nyau yaani
 
Kwema Wakuu!

Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume?
Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%.
Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo, wanatamani Kama ilivyo Kwa Wanaume.

Hivyo weka akilini kuwa kama wewe jinsi ukipita ukimuona Mdada mrembo ukamtamani, basi ndivyo hivyohivyo wanawake wakikutana na wanaume wazuri/handsome boy njiani huwatamani tena sio kidogo.
Wanawake wanatamani

i. Wanaume wazuri wa Sura
ii. Wenye ndevu zilizochongwa vizuri iwe za mashavuni au kidevuni na walionyoa minyoo mizuri kichwani ya kuvutia. Sio unyoe kama mwanafunzi
iii.wanaume warefu kiasi
Iv. Wanaume wenye vifua vilivyopangika, kisiwe kikubwa Sana.
v. Wenye sauti nzito wanaojua kuipangilia
vi. Wanaume watanashati , wasafi na mavazi mazuri.
Vii. Wanawake wanatamani wanaume wacheshi lakini wasio na mazoea ya hovyo na wanawake.
Yaani uwe na ukauzu flani lakini usizidishe.
Sio umekutana naye tuu unaanza shobo au unarusharusha macho kuangalia warembo wengine.

VIII. Wanawake wanatamani mpaka wengine kulowanisha chupi wakiona sehemu ya flaizi/zipu ya suruali ya mwanaume ikiwa imetuna na uume kujichora.
Zingatia wanawake hata kama hawatakuambia lakini wanapenda Mashine kubwa ikipungua iwe saizi ya Kati.

Ix. Wanawake wanatamani wanaume wenye pesa lakini sio kingono kama Mwanaume huyo Hana mvuto, uwe na kigari, sehemu nzuri ya kuishi, unajipenda au unamaisha Fulani ya ubizebize.
Wanawake ni ngumu kutamani mwanaume ambaye amekaa kijiweni.
Wanakasumba mbaya na wanaume wa vijiweni.
Labda awe anakujua, lakini ni ngumu Sana utokee kijiweni umsimamishe pisikali ikakubali.

Jambo moja unalopaswa ulielewe kuhusu Wanawake ni viumbe walioumbwa kujificha, stara, wao ni aibu na kujidhalilisha kuonyesha tamaa Yao waziwazi.

Zingatia pia Wanawake hupoteza kujiamini moja Kwa moja wanapokutana na wanaume wa Aina mbili;

1. mwanaume Mzuri
2. Mwanaume mwenye Pesa

Kikawaida mwanamke huwa submissive Kwa hizo chata mbili. Yaani hujiona Duni.
Achana na hawa vijana wa Sinza wanaojifanya wazuri, kuna kujifanya mzuri na kuwa mzuri.
Wanawake wanaelewa nazungumzia nini.

Jambo moja ambalo linafanya ionekane Wanawake hawatamani ni kutokana na kuwa Wanaume wazuri ni wachache Sana katika mzungu wetu.
Wengi wetu tuna Sura ngumu na hatujakidhi vigezo vya kuwatamanisha wanawake.

Mifano ya kwenye Biblia ya wanawake waliotamani wanaume, tunaiona Kwa Mke wa Potifa na Handsome boy Aitwaye YUSUFU.

Watu wa mitindo na fasheni wanajua saikolojia ya binadamu. Sio ajabu hata nguo nyingi za siku hizi za vijana zinadizainiwa mahususi kuwatamanisha kinadada.
Mathalani zile suruali kama za mazoezi, vibukta au Baadhi ya flana ambazo ni nyepesi mahususi kuvaa Kwa wanaume wanaofanya Gym.

Pia watu wa Gym wanajua ni mazoezi gani mwanaume akifanya anakuwa na mwili WA kutamanisha wadada.

Pia watengeneza Mafuta na marashi hujua ni mchanganyiko gani wa Kemikali wakiutumia kutengenezea baadhi ya perfumes zinawafanya wanawake wajikute kwenye tamaa.
Yaani mtoto wa kike akikaa karibu yako akihisi harufu ya marashi moja Kwa moja homoni na ashki ya ngono zinapanda.

Note: mwanaume haupaswi kutaka au kutamani kutamaniwa na wanawake Kwa mambo yasiyo ya kiume.
Fanya kazi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa kuwa mtunzi wa hii makala ni mwanaume basi sita amini.. HOW DO YOU KNOW WHAT WOMEN WANT WHEN YOU'RE NOT A WOMAN ?
 
Athanteee yule mtoto wa mama mkwe kweli siku nilikutana nae kikazi moyo ulistuka ila ndo hivyo dah yule kaka majuu sana he is smart he speaks nice anyway!!!! Kazi ya macho ni kuona kweli ukimuona mtu face to face ndo majibu unapata. Anywayyyyyyyy
Hongerah kwa kuopolewa naye.
 
Kuna siku nilikuwa nalimalima hapa nyumbani kuizunguka nyumba yangu, ni sehemu ambayo Haina mishe mishe sana yaani ni mtu Mmoja mmoja tu ndiyo anapita,

Basi baada ya jua kuwa limekolea nikaamua kutoa shati nikabaki na singlend si najiamini hakuna wapita njia wengi, nikaendelea na shughuli zangu nikivutavuta majani, akapita mwanamke mmoja si mrembo sana ila ana shepu na tunafahamiana.

Basi kanisalimia huku akinipigisha stori za hapa na pale ila Mimi nikawa bize na kazi huku tunaongea, ila nilishangaa mbona ananipigisha stori kwani hachelewi aendako?
basi kwa kuwa namba yangu anayo mida ya jioni akanitumia sms inayosomeka hivi.

"Nakutia hatiani umeniumiza sana muda ule, halafu sijui upoje hata hukunielewa baba wewe, siyo kwa hiyo minywele yako kifuani khaaaah,
Kama nimekukosea nisamehe sana maana nimeshindwa kuvumilia mwenzio sema mindevu yako mibayaaa unyowe bhanaaa"

Ujumbe huu ulinistua sana nikagundua kweli wanawake ni dhaifu tu kama sisi na wanatamani hasa .Nikakumbuka hata mke wangu huwa hapendi niwe na singlend bila shati
Hongerah Mkuu. Sasa ulimkula kimasikhara au hii tuiache kwanza.
 
Hili mbona Liko wazi.

Wanawake wanatamani sana wanaume.

Kuna wakati nawao wanamuona mwanaume Fulani ana thamani sana mpaka na wao wanamuogopa ..yaan Mwanaume akimtongoza mwanamke, mwanamke anakua nawasiwasi 'au ananijaribu...mbona yeye anafaaa Wanawake wazuri zaidi".


Kuna huyu alikuja kwangu kuniletea Kadi ya Mchango wa Harusi

Sasa nikimkaeibisha sebulen wakati huo nikiwa nanyoosha nguo zangu

Kumbe nayeye ananichora tuu 👇
View attachment 2370755
Aisee. Ninahisi ninahitaji kufanyia kazi suala la six packs.
 
Sawa acha tubuni tozo nyingine ili akil mbovu mbovu kama hiz ziwakae sawa vijana ..Mnawaza waza ngonoooo tu mara kunyegeshana mara kulowanishana..

Ngoja tu.
 
Back
Top Bottom