Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Mambo ni mengi aisee
Ushamsahau Yule Bwege wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni mengi aisee
Zamani kulikua na vitu vya thamani ni sawa na pesa......na sasa kuna pesa na vitu vya thamani.Tofautisha ufukara wa wanawake na hulka ya wanawake.
Ni umasikini unaopelekea Wanawake kushoboka na wanaume wenye Pesa. Na sio tamaa ya Mwili.
Hapa tunazungumzia Ile Hali mwanamke amemuona mwanaume alafu akajikuta tamaa imepanda.
Haya tuambie kabla ya pesa kuja ilikuwaje?
Tayari 😂😂Ushamsahau Yule Bwege wako
Zamani kulikua na vitu vya thamani ni sawa na pesa......na sasa kuna pesa na vitu vya thamani.
Kwani we unamzungumzia mwanamke yupi kati ya hawa yule alofundwa kwao jinsi ya kua mwanamke au alokua akiiga sifa za mama ake?
Nakujibu wakati huu ni hyo aina ya mwanamke wa pili na ndo huyo unaemzungumzia we ambaee anakupenda na hauna kitu ni huyo namba moja na huyo namba moja atakua ana miaka kuanzia 16-18......
Tofauti na hivo huyo anaesema anakuelewa sio kukuelewa huko unakozania ni labda ameona na kujua Kuna kitu atapata kutoka kwako na si rahisi kama hivo labd kwa kuongea inaweza kua rahis
Tayari 😂😂
Potifa na Yusuph ni majirani za kina nani?.........mwisho wa siku kila mtu abaki aamini kile anachoamini.....Niambie kilichomfanya Mke wa Potifa amtamani Yusufu ni kitu gani?
Siku zote mtu hutamani kitu asichokuwa nacho.
Wanawake matajiri kamwe hawezi kuvutiwa na wanaume kisa Pesa. Au Mali.
Na kinachowavutia wanawake Kwa Wanaume wenye pesa sio wanaume hao Bali pesa zao.
Hata wanaume wapo wanaovutiwa na Wanawake wenye pesa lakini ni hizo pesa sio hao wanawake.
😂😂😂Nilikuambia ukiwa na mimi lazima umesahau😊😊🏃🏃
😂😂😂Nilikuambia ukiwa na mimi lazima umesahau😊😊🏃🏃
Mda ni mchacheMambo ni mengi aisee
KwakweliMda ni mchache
Potifa na Yusuph ni majirani za kina nani?.........mwisho wa siku kila mtu abaki aamini kile anachoamini.....
Lkn hcho ulichoandika Leo nmekipinga asilimia mia
HehehehehehKwema Wakuu!
Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume?
Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%.
Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo, wanatamani Kama ilivyo Kwa Wanaume.
Hivyo weka akilini kuwa kama wewe jinsi ukipita ukimuona Mdada mrembo ukamtamani, basi ndivyo hivyohivyo wanawake wakikutana na wanaume wazuri/handsome boy njiani huwatamani tena sio kidogo.
Wanawake wanatamani
i. Wanaume wazuri wa Sura
ii. Wenye ndevu zilizochongwa vizuri iwe za mashavuni au kidevuni na walionyoa minyoo mizuri kichwani ya kuvutia. Sio unyoe kama mwanafunzi
iii.wanaume warefu kiasi
Iv. Wanaume wenye vifua vilivyopangika, kisiwe kikubwa Sana.
v. Wenye sauti nzito wanaojua kuipangilia
vi. Wanaume watanashati , wasafi na mavazi mazuri.
Vii. Wanawake wanatamani wanaume wacheshi lakini wasio na mazoea ya hovyo na wanawake.
Yaani uwe na ukauzu flani lakini usizidishe.
Sio umekutana naye tuu unaanza shobo au unarusharusha macho kuangalia warembo wengine.
VIII. Wanawake wanatamani mpaka wengine kulowanisha chupi wakiona sehemu ya flaizi/zipu ya suruali ya mwanaume ikiwa imetuna na uume kujichora.
Zingatia wanawake hata kama hawatakuambia lakini wanapenda Mashine kubwa ikipungua iwe saizi ya Kati.
Ix. Wanawake wanatamani wanaume wenye pesa lakini sio kingono kama Mwanaume huyo Hana mvuto, uwe na kigari, sehemu nzuri ya kuishi, unajipenda au unamaisha Fulani ya ubizebize.
Wanawake ni ngumu kutamani mwanaume ambaye amekaa kijiweni.
Wanakasumba mbaya na wanaume wa vijiweni.
Labda awe anakujua, lakini ni ngumu Sana utokee kijiweni umsimamishe pisikali ikakubali.
Jambo moja unalopaswa ulielewe kuhusu Wanawake ni viumbe walioumbwa kujificha, stara, wao ni aibu na kujidhalilisha kuonyesha tamaa Yao waziwazi.
Zingatia pia Wanawake hupoteza kujiamini moja Kwa moja wanapokutana na wanaume wa Aina mbili;
1. mwanaume Mzuri
2. Mwanaume mwenye Pesa
Kikawaida mwanamke huwa submissive Kwa hizo chata mbili. Yaani hujiona Duni.
Achana na hawa vijana wa Sinza wanaojifanya wazuri, kuna kujifanya mzuri na kuwa mzuri.
Wanawake wanaelewa nazungumzia nini.
Jambo moja ambalo linafanya ionekane Wanawake hawatamani ni kutokana na kuwa Wanaume wazuri ni wachache Sana katika mzungu wetu.
Wengi wetu tuna Sura ngumu na hatujakidhi vigezo vya kuwatamanisha wanawake.
Mifano ya kwenye Biblia ya wanawake waliotamani wanaume, tunaiona Kwa Mke wa Potifa na Handsome boy Aitwaye YUSUFU.
Watu wa mitindo na fasheni wanajua saikolojia ya binadamu. Sio ajabu hata nguo nyingi za siku hizi za vijana zinadizainiwa mahususi kuwatamanisha kinadada.
Mathalani zile suruali kama za mazoezi, vibukta au Baadhi ya flana ambazo ni nyepesi mahususi kuvaa Kwa wanaume wanaofanya Gym.
Pia watu wa Gym wanajua ni mazoezi gani mwanaume akifanya anakuwa na mwili WA kutamanisha wadada.
Pia watengeneza Mafuta na marashi hujua ni mchanganyiko gani wa Kemikali wakiutumia kutengenezea baadhi ya perfumes zinawafanya wanawake wajikute kwenye tamaa.
Yaani mtoto wa kike akikaa karibu yako akihisi harufu ya marashi moja Kwa moja homoni na ashki ya ngono zinapanda.
Note: mwanaume haupaswi kutaka au kutamani kutamaniwa na wanawake Kwa mambo yasiyo ya kiume.
Fanya kazi.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
😂😂Heheheheheh
Sisi wenye sura za fundi Maiko tunakomenti wapi
Too much maneno.....mashiko 0Kupingwa ndio kunaleta mjadala watu wanapata Elimu.
Pesa haimfanyi mwanamke awe na tamaa Kwa mwanaume hasa tamaa ya kimwili.
Ndio maana wengi walioolewa Kwa sababu ya pesa hupoteza hami ya tendo la ndoa.
Hapa tunaenda na Tafiti sio suala la mtu kuamini au kutokuamini.
Imani inaweza kukufanya uamini hakuna mji unaoitwa DAR ES SALAAM. Haya hiyo ni imani
Too much maneno.....mashiko 0
Ngoja nitafute nkipata ntakuja kukupa taarifaSiku ukipata hela utaelewa kuwa umasikini wako ndio ulikufanya utamani wanaume wenye pesa.
Hayo mengine hayana maana
Ngoja nitafute nkipata ntakuja kukupa taarifa
Mbona tulisha kubaliana hapa kua hawa viumbe hawaeleweki.
Hapa tutajadili na mwisho wa siku tutatoka kapa maana hata na wao hawaelewi ip ni ipi.
Nishawahi zimikiwa na mwanamke mmoja akawa anatuma wa tu na jumbe mbali mbali za mahaba na simu kila saa ,zawadi plus kufuatwa fuatwa kila mara ila nikimuulza kama ka fall anakataa
Nb; niliamua kumzoom makusudi nione atamalizaje.