Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Eh tunatamani kama nyie na tunawachezea kama mpira na nyie .
Na baada ya mchezo mchafu ukipiga hupokelewi hata na text hujibiwi .
So nyie tu mnatuchezea hata sisi ni maplay girl tukiamua
 
Eh tunatamani kama nyie na tunawachezea kama mpira na nyie .
Na baada ya mchezo mchafu ukipiga hupokelewi hata na text hujibiwi .
So nyie tu mnatuchezea hata sisi ni maplay girl tukiamua

😊😊
Acha vitisho.
Mtu mzima hatishiwi nyau.

Labda mchezee watoto wanaobalehe.
Mwanamke kama hakupendi tunajua tuu.

Ila ninyi ni ngumu kujua mwanaume anayewapenda. Wengi wenu mnachanganya tamaa zetu na Upendo wetu. Mnashindwa kuelewe
 
Acha uongo
 
Kumbe mnajua kuwa muonekano ndio unamvutia mtuu lakini mnanikandia hapa hoo mzabzab naangalia tako sana. Sasa sii ndio kinachonivutia.
Umbwa wewe ningeshangaa usingetokea🤣🤣🤣
 
Ila wao wanavyotuandama wanaume suruali mara vibamia kwani sis haituumi unadhani
Inategemea kama una sifa hizo unaumia nini?
Huko ni kusifiwa jinsi ulivyo.
Kibamia ni sifa
Ubahili ni sifa
Mwanaume suruali pia ni sifa.
Chukua kama changamoto kuboresha maisha yako
 
Inategemea kama una sifa hizo unaumia nini?
Huko ni kusifiwa jinsi ulivyo.
Kibamia ni sifa
Ubahili ni sifa
Mwanaume suruali pia ni sifa.
Chukua kama changamoto kuboresha maisha yako
Basi na wao pia wachukue kama changamoto waboreshe maisha yao.
Kama tunapenda tako basi wakipige plastic surgery waongeze tako.
Kama wanalalamika kuwa tunagegeda mbususu sana basi nao wachezee de libolo nyingi pia.
Kama aie ni bahili basi wao wazisake hizo hela
 
Back
Top Bottom