Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Sikumbuki vema, ila nadhani hoja ilikuwa kupenda na sio kutamani. Hata hivyo hayo uliyoandika yana uhalisia kwa wale waliojazwa fikra potofu, lakini kiukweli kabisa, mwanamke hayuko hivyo ulivyosema. Hayo uliyosema ni matokeo ya feminism na sexual revolution.

You know little about women.
Alichokiandika Threader( Robert) ni kweli tupu na ni hakika.
 
You know little about women.
Alichokiandika Threader( Robert) ni kweli tupu na ni hakika.
Basi huna ulijuslo ndugu. Hicho kilichoandikwa ni modern view lakini ukweli (nature) asili ya mwanamke ni tofauti kabisa. Sijaandika mengi ila kadri muda unavyokwenda utajifunza kwa nini mwanamke na mwanamume ni tofauti, hata katika namna wanavyoyatazama mambo. Hiyo hoja ni kwa effeminate male, lakini kwa wanaume na wanawake halisi hakuna ukweli hapo.

Hoja ndogo fikirishi kwako: unadhani ni kwa nini zamani za watu wanajitambua mwanamke angeweza kuukataa leo lakini akaja kukukubali miezi sita baadaye ukikomaa naye? Achana na hii free sexual market iliyokupitosheni hata mnaandika hoja zisizo na mashiko, nijibu hapo kama unajua lolote.

Au ungeweza kumchambua mwanamke ambaye wala hajakuwazia, yet mkaja kuishi kwa raha na upendo?
 
Mwanamke attention yake ya kwanza ni kwenye vitu ulivyonavyo na sio umbile
Ndio maana ili kumpata mwanamke kama kitu hapo ukipata chance mdanganye kuwa unacho, atakuamini, Ukiwa na kitu hata kama umeazima watakuamini they don't need any proof.

Ndio ulivyodanganywa,

Mtu mmekutana Club au Chuoni au kanisani ataangaliaje vitu ulivyokuwa navyo?

Hapa tunazungumzia tamaa ya wanawake Kwa Wanaume.
 
Yes akifiti vile vigezo vya moyo basi unatamani hata kumuandikia barua.ila ndo hivyo mtoto wa kike staha.

Tatizo wanaume wengi wanafikiri wanawake sio binadamu hapo ndipo wanapokwama.
Kisa ninyi mmeumbwa ku-pretend Kama silaha ya Stara/kujistiri.

Wanawake niliowafanyia utafiti wengi walionyesha kutamani wanaume tena Ile tamaa ya ngono kabisa
 
Athanteee yule mtoto wa mama mkwe kweli siku nilikutana nae kikazi moyo ulistuka ila ndo hivyo dah yule kaka majuu sana he is smart he speaks nice anyway!!!! Kazi ya macho ni kuona kweli ukimuona mtu face to face ndo majibu unapata. Anywayyyyyyyy


😀😀😀

Lakini najua ungeulizwa na mtu ungebisha na kusema wala huvutiwi naye wala hana la maana huyo mtoto wa Mamamkwe.

Wanawake mmebobea Kwenye unafiki
 
Wanaume tukitamani huwa tunadhihirisha hisia zetu ila wanawake huwa wanalowanisha vyupi tu. Hata kama una mke ni mara chache sana mkeo akasema waziwazi kuwa anatamani ufanye nae tendo muda huo, atakuonesha ishara ishara ru ambazo ww kama mwanaume unatakiwa uilewe code ina maanisha nn.

Mwanamke akikutamani huwa anapenda sana mkutanishe macho yenu kisha yeye huwahi kuyaondoa kwa aibu, wanapenda kuchekacheka au kujichekesha kwa wanaume wanaowatamani, kung'ata kucha,kulamba lips, kushikashika nywele huku chupi zikiwa zimechafuka kwa ute flani mwepesi.


😀😀😀
 
Kuna siku nilikuwa nalimalima hapa nyumbani kuizunguka nyumba yangu, ni sehemu ambayo Haina mishe mishe sana yaani ni mtu Mmoja mmoja tu ndiyo anapita,

Basi baada ya jua kuwa limekolea nikaamua kutoa shati nikabaki na singlend si najiamini hakuna wapita njia wengi, nikaendelea na shughuli zangu nikivutavuta majani, akapita mwanamke mmoja si mrembo sana ila ana shepu na tunafahamiana.

Basi kanisalimia huku akinipigisha stori za hapa na pale ila Mimi nikawa bize na kazi huku tunaongea, ila nilishangaa mbona ananipigisha stori kwani hachelewi aendako?
basi kwa kuwa namba yangu anayo mida ya jioni akanitumia sms inayosomeka hivi.

"Nakutia hatiani umeniumiza sana muda ule, halafu sijui upoje hata hukunielewa baba wewe, siyo kwa hiyo minywele yako kifuani khaaaah,
Kama nimekukosea nisamehe sana maana nimeshindwa kuvumilia mwenzio sema mindevu yako mibayaaa unyowe bhanaaa"

Ujumbe huu ulinistua sana nikagundua kweli wanawake ni dhaifu tu kama sisi na wanatamani hasa .Nikakumbuka hata mke wangu huwa hapendi niwe na singlend bila shati

Wapo hivyo.
Wametoka kwenye ubavu wetu.
Sema wanapendezea wakiwa na aibu
 
Back
Top Bottom