On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 532
- 469
Amelowa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele kabisa kushoto dirishani[emoji144]
Hahahaaa... ile picha nilichekaaaaKama mama Samia huko London akielekea msibanibani kwa " kwini"😂
Mbele kabisa kushoto dirishani[emoji144]
Ukweli mtupu. More respect kwa mwanamke anayekukubali mapema kuliko anayekupiga mizinga tuu na mbususu hatoimnaogopaga kujirahisisha, ila ujue mwanamke ambae hatusumbuagi tunamuheshimu kuliko yule anaekula pesa alafu anateleza... siku akipatikana ndio anatolewaga hasira sasa
Mzeya garden love lako limemlowesha kyupi mrembo 🤣🤣🤣🤣Kuna siku nilikuwa nalimalima hapa nyumbani kuizunguka nyumba yangu, ni sehemu ambayo Haina mishe mishe sana yaani ni mtu Mmoja mmoja tu ndiyo anapita,
Basi baada ya jua kuwa limekolea nikaamua kutoa shati nikabaki na singlend si najiamini hakuna wapita njia wengi, nikaendelea na shughuli zangu nikivutavuta majani, akapita mwanamke mmoja si mrembo sana ila ana shepu na tunafahamiana.
Basi kanisalimia huku akinipigisha stori za hapa na pale ila Mimi nikawa bize na kazi huku tunaongea, ila nilishangaa mbona ananipigisha stori kwani hachelewi aendako?
basi kwa kuwa namba yangu anayo mida ya jioni akanitumia sms inayosomeka hivi.
"Nakutia hatiani umeniumiza sana muda ule, halafu sijui upoje hata hukunielewa baba wewe, siyo kwa hiyo minywele yako kifuani khaaaah,
Kama nimekukosea nisamehe sana maana nimeshindwa kuvumilia mwenzio sema mindevu yako mibayaaa unyowe bhanaaa"
Ujumbe huu ulinistua sana nikagundua kweli wanawake ni dhaifu tu kama sisi na wanatamani hasa .Nikakumbuka hata mke wangu huwa hapendi niwe na singlend bila shati
Mwanamke hapendi kuwa na mwanamke mwenzake, ukizidisha mambo Fulani unakuwa huna tofauti na mwanamke.Ninajitahidi kununua vinguo,nina ndefu nazinyoa vzr,mrefu kidogo, nasukuma gari za wana lakini mbona sipati hao wanawake sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Dada kauzu wewe😂,haya nakuja
Huyu bado hajajiunga na Vicoba.Kuna siku nilikuwa nalimalima hapa nyumbani kuizunguka nyumba yangu, ni sehemu ambayo Haina mishe mishe sana yaani ni mtu Mmoja mmoja tu ndiyo anapita,
Basi baada ya jua kuwa limekolea nikaamua kutoa shati nikabaki na singlend si najiamini hakuna wapita njia wengi, nikaendelea na shughuli zangu nikivutavuta majani, akapita mwanamke mmoja si mrembo sana ila ana shepu na tunafahamiana.
Basi kanisalimia huku akinipigisha stori za hapa na pale ila Mimi nikawa bize na kazi huku tunaongea, ila nilishangaa mbona ananipigisha stori kwani hachelewi aendako?
basi kwa kuwa namba yangu anayo mida ya jioni akanitumia sms inayosomeka hivi.
"Nakutia hatiani umeniumiza sana muda ule, halafu sijui upoje hata hukunielewa baba wewe, siyo kwa hiyo minywele yako kifuani khaaaah,
Kama nimekukosea nisamehe sana maana nimeshindwa kuvumilia mwenzio sema mindevu yako mibayaaa unyowe bhanaaa"
Ujumbe huu ulinistua sana nikagundua kweli wanawake ni dhaifu tu kama sisi na wanatamani hasa .Nikakumbuka hata mke wangu huwa hapendi niwe na singlend bila shati
Shoga la kiume linalojiuza.jamii forums haliwezi kuanzisha uzi kama huoMbona hujaanzisha uzi wa KE mnavyotamani ME?
Nina mashaka na wewe!
Shoga la kiume linalojiuza.jamii forums haliwezi kuanzisha uzi kama huo
Sasa unashindwaje kutumia feminine side yako kumvuta kidume jamaniHuu ni ukweli,, huwa tunatamanigi Ila kumfata muhusika sasa na kumuelezea ni sheeeda. Ndo nikimuelewa mtu na akanifata, huwa silembi fasta tuu nakubali,[emoji1][emoji1][emoji1]
Vipi pesa unayo?Ninajitahidi kununua vinguo, nina ndefu nazinyoa vizuri, mrefu kidogo, nasukuma gari za wana lakini mbona sipati hao wanawake sasa.
Hii ndo point funga kazi. Mengine ni mbwembwe tu.Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume hasa wale wenye noti zao