FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwanza tuanze na chanzo cha neno 'Dar - es - salaam'
ukishajua yatakusaidia nini?Eti anayejua nini chanzo cha maeneo haya mpaka kuitwa majina haya?
jifunze kuuliza vitu vya msingi
Napendekeza ubadilishe Id ujiite Mr Maulizo.
jifunze kuuliza vitu vya msingi
Huyo anaweza kukuuliza hata jina lake ni nani? Hopeless
mkuu changia acha kuhoji hoji
hivi kwa nini unajiita jina la lukelo sakafu ?
Kwa asilimia kubwa ni makosa ya matamshi kutokana na lugha pia uwepo wa miti ama vitu kadhaa!Msasani - Musa Hassan , Kariako - Carrier corps, Tabata - Utapata (mhindi) ,Ubungo - Mibungo mingi,Mabibo - Miti ya mibibo