Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Tabata ni kiswahili cha kiarabu(hawana matamshi ya U na P kwa kusema UTAPATA.Kwa asilimia kubwa ni makosa ya matamshi kutokana na lugha pia uwepo wa miti ama vitu kadhaa!Msasani - Musa Hassan , Kariako - Carrier corps, Tabata - Utapata (mhindi) ,Ubungo - Mibungo mingi,Mabibo - Miti ya mibibo
Manzese,magogoni,masaki,mbezi,chanika,chamazi,kijito nyama,Kariakoo,bunju,Tegeta n.k:what::what::what::what:Jiji la Dar ni kubwa sana na lina maeneo mengi sana yenye majina tofauti tofauti, Je! Nini kilipelekea mpaka haya maeneo yakapewa majina kama MABIBO, MBAGALA, TEMEKE, UBUNGO, ILALA, KARIAKOO, SINZA, MASAKI, KIGAMBONI, MSASANI, TAZARA, TABATA, TEGETA, BUNJU, MOROCO NK. Ni kwa nini haya maeneo yalipewa hayo majina, mwenye historia nzuri ya jiji hili atujuze.
Huyo anaweza kukuuliza hata jina lake ni nani? Hopeless
Jiji la Dar ni kubwa sana na lina maeneo mengi sana yenye majina tofauti tofauti, Je! Nini kilipelekea mpaka haya maeneo yakapewa majina kama MABIBO, MBAGALA, TEMEKE, UBUNGO, ILALA, KARIAKOO, SINZA, MASAKI, KIGAMBONI, MSASANI, TAZARA, TABATA, TEGETA, BUNJU, MOROCO NK. Ni kwa nini haya maeneo yalipewa hayo majina, mwenye historia nzuri ya jiji hili atujuze.
Kawe - Cow way