ILALA = Ni kutokana na sauti za misikitini wakati huo -- Lai la la aila (sijui ni hivyo?)
SHAURIMOYO = Ilitokana na ujambazi uliokuwepo maeneo ya mitaa hiyo wakati huo. Watu wakawa wanasema inabidi uushauri moyo wako kabla ya kukatiza eneo hilo.
Kariakoo ni Carier Cops
Kistaarabu wakuu hatusemi Umesema uwongo tunasema sio kweli,ambayo haimuzi sana.
Upanga -lilikuwa pori na majambazi yenye mapanga yalikuwa yanajificha huko.
imenichekesha hii, kama nawaona vile wachaga walivyokuwa wanaipronounceKiboriloni - Kibo Road
iringa pia kuna MKIMBIZI, jina lilitokana na mama aliyekuwa anauza gongo akafukuzwa , ndio akahamia hiko mkimbizi so watu walikuwa wanasema twende kwa mkimbizi , kwa mkimbizi, mpk leo panaitwa mkimbizihaha haa mbavu zangu dah.. sijui ni ukweli, sijui ni uingo.. mi sijui, lol
niko hoi hapa hahaha ha a anicheke mieKawe - Cow way
Bibosho - Kibo show
Hapana ni CAREER CALL makuli waikuwa wanakutana hapo kusubiri ujira wa kutwa ambapo waliitwa kwa majina
Yani we nziri sijui ulitumwa! Umeiba idea yangu live! Nilipanga kuja na topic kama hii nikianzia na jina Tabata. Pale enzi hizo palikuwa hapana jina ila eneo hilo aliishi mwarabu akifuga ng'ombe wa maziwa. Sasa wateja walipoenda pale kufuata maziwa waliuliza, mzee maziwa nitapata. Mwarabu alijibu, maziwa TABATA! Ikazoeleka na watu wakawa wakisema naenda Tabata!
KEKO MAGURUMBASI mzee wa kingoni aliyeitwa Magurumbasi aliishi eneo hilo na mabaki ya familia yake wapo hadi leo.Alikuwa akifuga mbuzi ambao walikuwa hawana mchungaji wala zizi(walizurura toka keko,chang'ombe hadi kariakoo)lakini hakuna aliyewaiba ama kuwadhuru.Mchamba Wima
Mferejimaringo
Kibanda Maiti
Mwembe Tayari
Mwembe Togwa
Mwembe Chai(ulikuwapo na nilwahi kunywa chai hapo)
Keko MACHUNGWA
Keko TOROLI
Keko MAGURUMBASI