Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wailesi =wireless (Temeke)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wailesi =wireless (Temeke). Zamani palikuwa na kituo cha mawasiliano ambayo wakati huo yalikuwa "wireless".
Ni la zamani sana?Wailesi =wireless (Temeke)
Baada ya vita vya pili.Ni la zamani sana?
Kweli wabongo si watu wa mchezo mchezo aisee.KAWE- Cow way ... Ilikuwa ni njia ya kupitishia ng'ombe waliokuwa wanapelekwa machinjion
Dah yaani linaleta mantiki kabisa Mkuu.....hii lugha ilikuja kwa meli aisee.Keep on zero lilizaa Kiponzero kule Irinda maeneo ya Ifunda
Kweli Mkuu, hii sehemu nilishapita.....Kuna wachaga wapo pale wanapaita Lojyani.Kuelekea dareda kuna sehem inaitwa Logia. Hi inatokana na Low Gear, ikiwa ni tahadhari kwa madereva kubadilisha gia kwa sababu barabara hapo ina mwinuko mkali.
Ebu share huo uzi, maana sijawahi kuona.Mod unga huu Uzi,Upo mwingine una title asili ya najina ya maeneo.
Mkuu hebu tupe ufafanuzi kidogo.Banderas = bendera
Asili na Maana ya majina ya sehemu mbalimbali TanzaniaEbu share huo uzi, maana sijawahi kuona.
Ni sawa lakini kwenye huo uzi unaeleza chanzo cha majina, chanzo chaweza kuwa chochote kile mf. SINGIDA limetokana na mapambo yaliyoitwa Masingidani......Lakini kwenye huu uzi nilitaka kujua majina ya maeneo yaliyotokana na maneno ya Kingereza specifically.
Hayo,masingidani ndio yakoje?Ni sawa lakini kwenye huo uzi unaeleza chanzo cha majina, chanzo chaweza kuwa chochote kile mf. SINGIDA limetokana na mapambo yaliyoitwa Masingidani......Lakini kwenye huu uzi nilitaka kujua majina ya maeneo yaliyotokana na maneno ya Kingereza specifically.
Kwa kweli sijawahi kuyaona lakini kuna watu waliwahi kuniambia ni madude ya urembo yaliyopatikana karibu na Bwawa Singidani.Hayo,masingidani ndio yakoje?
Au itakuwa ni shells ya samaki wa ziwani?Kwa kweli sijawahi kuyaona lakini kuna watu waliwahi kuniambia ni madude ya urembo yaliyopatikana karibu na Bwawa Singidani.