Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Mod unga huu Uzi,Upo mwingine una title asili ya najina ya maeneo.
 
Kuelekea dareda kuna sehem inaitwa Logia. Hi inatokana na Low Gear, ikiwa ni tahadhari kwa madereva kubadilisha gia kwa sababu barabara hapo ina mwinuko mkali.
Kweli Mkuu, hii sehemu nilishapita.....Kuna wachaga wapo pale wanapaita Lojyani.
 
Ni sawa lakini kwenye huo uzi unaeleza chanzo cha majina, chanzo chaweza kuwa chochote kile mf. SINGIDA limetokana na mapambo yaliyoitwa Masingidani......Lakini kwenye huu uzi nilitaka kujua majina ya maeneo yaliyotokana na maneno ya Kingereza specifically.
Hayo,masingidani ndio yakoje?
 
Back
Top Bottom