Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

Hilo halimaanishi lolote kwa sababu watu wamehamahama sana.

Na hayo makabila ni mambo social tu kwa sababu hayapimwi kwa DNA.
Unajipa uhalali wa majibu unayotaka wewe kwenye ubongo wako wakati haujui lolote kuhusu makabila ya watu hao wala familia zao wala koo zao wala maeneo wanayoishi ***** wewe
 
Watu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.

Wewe unaongeleaje mambo makubwa kama kabila ikiwa watu kibao hata kuthibitisha baba tu kimbembe?

Ndiyo maana nikakuuliza hilo kabila linapimwa kwa DNA? Hujajibu.

Kabila is a social thing, tunaambiwa kitanda hakizai haramu, ukizaliwa nyumba ya baba Mgogo, utaitwa Mgogi, hata kama baba yako wa kibaiolojia Mhaya.

Wenyewe wanasema katika ndoa zenu kuna watoto wetu.

Huelewi wapi kuwa hobari ya kabila haina muhuri wala kipimo ni kitu social tu?
 
Watu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.

Wewe unaongeleaje mambo makubwa kama kabila?

Ndiyo maana nikakuuliza hilo kabila linapimwa kwa DNA? Hujajibu.
wanawake kibao wa wapi? Mkapa na Harmonizer wanatoka maeneo tofauti kabisa kuanzia kijiografia na kila kitu ewe *****
 
Mkapa na Harmonize wanatoka maeneo tofauti kabisa kijiografia kwani wao ni miti useme wameota hapo hapo hawatembei, familia zao hazijatembea?

Hata hiyo miti mbegu inaweza kuchukuliwa sehemu moja ikapandwa sehemu tofauti.

Yani huelewi kuwa watu wana historia ya kuhamahama Wabantu wametokea modern day Nigeria huko wamefika mpaka huku Africa Mashariki wakaenda mpaka Kusini?

Ulikimbia shule hujui kuwa watu wanahamahama? Unaona mtu akizaliwa Dar hawezi kuwa na ndugu zake Morogoro ? Unaelewa kuna Wazaramo wa Dar wana asili ya Morogoro? Unaelewa kuna watu Zanzibar wana asili ya Mtwara?

Habari ya uchoko inakuja vipi? Umeshindwa kujibu hoja unaleta ad hominem fallacy?
 
Ndio maana nikakuambia wewe, sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimishe
 
Ndio maana nikakuambia wewe ni ***** sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimishe
Unapoleta habari za "wewe *****" unajionesha.

1. Una hasira na huwezi ku focus kwenye hoja unatukana ovyo kwa ad hominem logical fallacy, badala ya kujadili hoja unamtukana mtu nje ya hoja.

2. Huna elimu, una tabia ya kutumia nguvu kuliko akili. Unataka kufanya kila kitu kwa ubabe.

3. Unataka kuwadogosha na kuwatukana watu unaoona wamekuzidi uwezo wa kujenga hoja. Huwezi kuwashinda kwa kujadili hoja, unawatupia kashfa za uchoko ambazo hazina ubusiano wowote na hoja.

4. Huelewi hata hoja ni nini hapa. Hakuna mtu aliyesema Harmonize ana undugu na Mkapa, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu. Your reading comprehension skills are obviously very low. You have no capacity for abstract thinking.

Nakupeleka ignore list kwa sababu inawezekana una matatizo ya kisaikolojia, maisha yamekupiga huko, unataka kunimalizia hasira zako mimi kiugomviugomvi bila kujadili hoja.

Sitaki kuingia kwenye mtego wa kubishana na watu wasio na elimu, wenye matatizi ya kisaikolojia, wenye matatizo kwenye maisha yao, wanaoharibu standards za mjadala.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.

You are in my ignore list.
 
Unapoleta habari za "wewe *****" unajionesha.

1. Una hasira na huwezi ku focus kwwnye hoja unatukana ovuo kwa ad hominem logical fallacy, badala ya kujadiki hoja unamtukana mtu nje ya hoja.

2. Huna elimu, una tabia ya kutumia nguvu kuliko akiki. Unataka kufanya kila kitu kwa ubabe.

3. Unataka kuwadogosha na kuwatukana watu unaoona wamekuzidi uwezo wa kujenga hoja. Huwezi juwashinda kwa kujadiki hoja, unawatupia kashfa za uchoko ambazo hazina ubusiano wowote na hoja.

4. Huelewi hata hoja ni nini hapa. Hakuna mtu aliyesema Harmonize ana undugu na Mkapa, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu. Your reading comprehension skills are obviously very low. You have no capacity for abstract thinking.

Nakupeleka ignore list kwa sababu inawezekana una matatizo ya kisikolojia, maisha yamekupiga huko, unataka kunimalizia hasira zako mimi kiugomviugomvi bila kujadili hoja.

Sitaki kuingia kwenye mtego wa kubishana na watu wasio na elimu, wenye matatizi ya kisaikolojia, wenye matatizo kwenye maisha yao, wanaoharibu standards za mjadala.

Kuanzia haoa sitaona unachoandika.
Unakataa kuwa wewe ni *****?Eti una elimu je elimu ni nini? Kwamba elimu unayozungumzia ni kama ya kabudi na kitila mkumbo? Sasa kama ndio hiyo elimu yenyewe ya kitila na kabudi kivipi unaweza kuwatofautisha na Haji manara au babalevo au Babu tale?Watu weusi wote tupo sawa tu
 
Hiyo picha nilivyoiona nilifikiria hivyo hivyo, halafu miwani ndiyo imemalizia.

Unaweza kujuta kwenye family tree wamekutana sehemu huko.
ha ha a
kwenye family Tree kuna connexion
 
Mkapa na Harmonize wanatoka maeneo tofauti kabisa kijiografia kwani wao ni miti useme wameota hapo hapo hawatembei, familia zao hazijatembea?

Hata hiyo miti mbegu inaweza kuchukuliwa sehemu moja ikapandwa sehemu tofauti.

Yani huelewi kuwa watu wana historia ya kuhamahama Wabantu wametokea modern day Nigeria huko wamefika mpaka huku Africa Mashariki wakaenda mpaka Kusini?

Ulikimbia shule hujui kuwa watu wanahamahama? Unaona mtu akizaliwa Dar hawezi kuwa na ndugu zake Morogoro ? Unaelewa kuna Wazaramo wa Dar wana asili ya Morogoro? Unaelewa kuna watu Zanzibar wana asili ya Mtwara?

Habari ya uchoko inakuja vipi? Umeshindwa kujibu hoja unaleta ad hominem fallacy?
Hana akili huyo pamoja na shule
 
Ndio maana nikakuambia wewe ni ***** sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimishe
Huna akili na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Unajipa uhalali wa majibu unayotaka wewe kwenye ubongo wako wakati haujui lolote kuhusu makabila ya watu hao wala familia zao wala koo zao wala maeneo wanayoishi ***** wewe
Moderator mbona wapuuzi kama hawa mnashindwa kuwachukulia hatua wanatukana watu bila sababu ya msingi? Jf sio mtandao wa vichaa,huyu ni kichaa mpigeni life Ban,hapa wanatembelea hadi mawaziri na maaskofu,na mashehe! Wajinga kama hawa msiwaruhusu walete ujinga wao hapa.
 
Back
Top Bottom