Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

Ha ha haa.
Hiyo anakutafuta umjibu matusi mtukanane matusi makubwa zaidi. Ulipompotezea mwanzo ulimkosesha raha yake.
Huenda ilimuumiza.
Unajichekesha kiasi hicho mbele ya huyo Mumeo hadi umekuwa msemaji wake....mimi nikose raha humu wewe upo timamu kweli?halafu unatumia neno "huenda" wakati wew sio mwanamke wangu kwamba nilikusimulia hisia zangu
 
Kuna hoja nyingine zimekaa kimtego sana humu

Zamani kulikuwa na msemo wa "Kitanda hakizai haramu"

Na baadaye ikaboreshwa kwa kusema Mtoto ni wa Mama, sisi akina Baba tunapewa tu 🙌

Anyways, Kusini kuchele, karibuni tuvune korosho
Lengo la mada tajwa huko juu ni kumdhalilisha mzee mkapa na kusini kiujumla
 
Lengo la mada tajwa huko juu ni kumdhalilisha mzee mkapa na kusini kiujumla
Harmonize amezaliwa mwaka 1994, ni mwaka mmoja kabla Mzee Ben hajawa Rais wa awamu ya 3

Na kipindi chote hicho, alikuwa ameshatoka Masasi kitambo mno tangu akiwa msaidizi wa Mwalimu

Nahisi nia na lengo la mtoa mada ni hilo kama ulivyosema
 
Mnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.

Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa. Ukisoma biology utaona jinsi watu wanavyokuwa very interconnected katika gene pool. Mambo ya genotype na phenotype. Utaona kuwa huhitaji kuwa ndugu wa karibu wa mtu ili mfanane.

Actually kufanana kunaweza kuonesha watu wengi tuna undugu wa karibu kuliko tunavyofikiri. Ukianza kutafuta a common ancestor kwa watu wanaotoka jamii za karibu kama mikoa ya kusini huko, unaweza kumpata kwa karibu kuliko watu wengi wanavyofikiria.

Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.

Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutoka Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzijui nyendo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yake Harmonize na hujawapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.

Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
 
Mnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.

Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa.

Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.

Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutika Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzinui nywndo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yaje Harmonize na hujamwapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.

Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
Huwa nasema hili ni ***** watu wananiambia natukana ila yeye dhana anayotaka aiweke hapa watu wanaona ni sawa....shida kawashika mandondocha wengi humu ndani
 
Mnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.

Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa.

Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.

Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutoka Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzijui nyendo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yake Harmonize na hujawapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.

Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
Kuna wakati msanii na Meya wa Sasa wa Jiji/Ilala Shetta aliwahi kuhusishwa na Kamanda Tibaigana kwamba wamefanana

Kama ulivyosema, watu kufanana sio vibaya as Watanzania ni wamoja

Lakini kuna elements kwenye andiko na maoni ya wadau, kumuhusisha Mzee Ben na huyo Harmonize

Labda tukubaliane kwamba, suala la mtu fulani kufanana na mwingine sio shida, maana historia inaonesha Karne ya 7 A.D Watanganyika wengi walikuwa wakihama hama kwaajili ya shughuli za Kilimo, ufugaji na biashara

Na wenzetu wa Kusini walihama sana kufikia miaka ya 1905 hadi 1907 wakati wa vita ya Maji Maji hasa wale wasiokuwa tayari kupigana (waoga wa vita) lakini Wanawake na watoto ndiyo walikuwa wakimbizi wakubwa
 
Tatizo la jamii zetu ni kwamba watu wengi ni wazembe wa kufikiri.

Post kama hii ya kwanza, ambayo iko very vague and open to interpretation, moja kwa moja inachukuliwa kama innuendo kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa.

Wakati mtu mwingine anaye ji challenge kufikiri angeweza kupata maswali mengi sana hapo.

Kama vile.

1. Kwa nini binadamu tunafanana? Swali linafungua mlango wa kujifunza biology mpaka kwenye DNA level.

2. Ili kufanana nini kinahitajika? Ni lazima kuwepo na undugu wa karibu kufanana? Swali linaenda kufungua somo la kwamba hatuhitaji kuwa na undugu wa karibu kufanana. Kuna familia wana picha za babuu wa babu alipigana na waarabu huko miaka ya kati ya 1800. Wale mababu al maarufu wanaooa wake kumi na ngapi huko kama ma chifu, ambao kwa sasa vitukuu vimetawanyika sana hata kuchora family tree inakuwa kazi. Na mpaka leo ukiviangalia vitukuu unaona DNA ya huyo mzee bado ipo.

Sasa hapo kuna swali zuri tu la "How far back does a modern day youth from southern Tanzania, like Harmonize, have to go to have a common ancestor with Benjamin Mkapa?".

The answer may surpise you.
 
Grahams

Question.

How far back does a modern day youth from southern Tanzania, like Harmonize, have to go to have a common ancestor with Benjamin Mkapa?".

Answer (Meta AI)

A really short time — probably only a few hundred years.

Benjamin Mkapa was born in Lupaso, Masasi — that's in Mtwara Region. Harmonize [Rajab Abdul Kahali] was born in Mtwara town. Both are from the deep south, and Mkapa was ethnically Makonde on his father's side, Makua on his mother's. Harmonize is Makonde.

So you're not asking about "all humans have a common ancestor 5,000 years ago" — you're asking about two guys from the same corner of Tanzania.

Here's how it breaks down:

1. If both are Makonde / Makua from Mtwara-Masasi:
The Makonde and Makua are Bantu peoples who have lived in that exact area for ∼1,000-1,500 years, but villages intermarry constantly. In a rural district of 300,000 people with endogamy, the coalescence time — the point where any two random men share a genealogical ancestor — is usually 10-20 generations, or 250-500 years.

You go back 15 generations, you have 32,000+ theoretical ancestors, but the actual population of Mtwara in 1800 was much smaller than that, so your family trees collapse into each other. Everyone is cousin to everyone.

Mkapa was born 1938, Harmonize 1994. If you traced both their paternal and maternal lines back to ∼1750-1800 in Mtwara/Masasi, you would almost certainly hit the same village ancestor.

2. If you mean genetically, not just genealogically:
On the autosomal DNA level, any two southern Tanzanian Bantu youth share a common ancestor in the last ∼1,000 years due to the Bantu expansion. Southern Tanzania was settled by Bantu farmers from the west around 300-800 AD, and since then there has been continuous gene flow between Makonde, Makua, Yao, Mwera.

So:
  • Genealogical common ancestor (a name in a family tree): ∼300-500 years
  • Genetic common ancestor (a chunk of DNA): ∼800-1,500 years

For comparison, a youth from southern Tanzania and a youth from northern Tanzania, like Chagga from Kilimanjaro, would have a common ancestor maybe 1,500-2,500 years back. A southern Tanzanian and a Khoisan hunter-gatherer would be ∼20,000-30,000 years.

Mkapa and Harmonize are practically neighbors in deep time.
 
Tatizo la jamii zetu ni jwamba watu wengi ni wazembe wa kufikiri.

Post kama hii ya kwanza, ambayo iko very vague and olen to interpretation, moja kwa moja inachukuliwa kama innuendo kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa.

Wakati mtu mwingine anaye ji challenge kufikiri angeweza kuoata maswali mengi sana hapo.

Kama vile.

1. Kwa nini binadamu tunafanana. Swali kinafungua mlango wa kujifunza biology mpaka kwenye DNA level.

2. Ili kufanana nini kinahitajika? Ni lazima kuwepo na undugu wa karibu kufanana? Swali linaenda kufungua somo la kwamba hatuhitaji kuwa na undugu wa karibu kufanana. Kuna familia wana picha za babiu wa babu alipigana na waarabu huko miaka ya kati ya 1800. Wale mababu al maarufu wanaooa wake kumi na ngapi huko kama ma chifu, ambao kwa sasa vitukuu vimetawanyika sana hata kuchora family tree inakuwa kazi. Na mpaka leo ukiviangalia vitukuu unaona DNA ya huyo mzee bado ipo.

Sasa hapo kuna swali zuri tu la "How far back does a modern day youth from southern Tanzania have to go to have a common ancestir with Benjamin Mkapa?".

The answer may surpise you.
Ndiyo maana kwenye jibu langu la awali niligusia miongoni mwa sababu zinazoweza kuwa ni kichocheo kwenye hilo la Harmonize na Mzee Ben kufananishwa

Ila umetuachia hoja za msingi ambazo wale wapenzi wa kutafakari umewaalika kufanya tafakuri ya kina

All in all Watanzania wengi tunafanana
 
Back
Top Bottom