Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Ulikeketwa? Pole sanaUtahamisha maneno sana mimi ni rijali nilikaa jandoni na kilitumika kisu.....yaani unakuwa msemaji wa huyo ***** mpaka unaumia kiasi hicho
Ulikeketwa? Pole sanaUtahamisha maneno sana mimi ni rijali nilikaa jandoni na kilitumika kisu.....yaani unakuwa msemaji wa huyo ***** mpaka unaumia kiasi hicho
Ulivyosema watu tupo connected makabila ni masuala tu ya kijamii hawaelewi labda niongezee kwa lugha rahisi,.nilisoma kwambaMnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.
Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa. Ukisoma biology utaona jinsi watu wanavyokuwa very interconnected katika gene pool. Mambo ya genotype na phenotype. Utaona kuwa huhitaji kuwa ndugu wa karibu wa mtu ili mfanane.
Actually kufanana kunaweza kuonesha watu wengi tuna undugu wa karibu kuliko tunavyofikiri. Ukianza kutafuta a common ancestor kwa watu wanaotoka jamii za karibu kama mikoa ya kusini huko, unaweza kumpata kwa karibu kuliko watu wengi wanavyofikiria.
Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.
Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutoka Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzijui nyendo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yake Harmonize na hujawapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.
Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
Aiseeee umefafanua jadififu 😊Mnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.

Mzee wetu apumzike kwa amaniHili ndilo dhumuni la mada Lengo ni kumdhalilisha mzee mkapa
Baba wa mtoto anayemjua ni Mama yake Mzazi, familia nyingi ukikuta kuna watoto wanne, lazima mmoja qna Baba yake tofauti na wenzake wale watatuWatu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.
Vanemba vaniwala(wanewala) hadi kutandahimba(tandahimba)View attachment 3687579
😂😂😂 VANEMBWA NIWAAAA KUDANDANDAAA KUDANDANDANDAAA
TILULIIII TILULIII KUDANDANDAAAA😂😂😂
Vanemba maana yake ni wale watoto wa kiume ambao hawajaenda jandoni na Nahaku ni yule wakike ambae hajapelekwa unyagoni ......ila sasa pia neno vanemba huwa linatumika kama vijana ambao ni wajanjawajanja,wahuni nkView attachment 3687579
😂😂😂 VANEMBWA NIWAAAA KUDANDANDAAA KUDANDANDANDAAA
TILULIIII TILULIII KUDANDANDAAAA😂😂😂
Oh kumbe ahsante kwa elimu,so Vanemba Newala maana yake ni vijana wajanja wajanja wa Newala?Vanemba maana yake ni wale watoto wa kiume ambao hawajaenda jandoni na Nahaku ni yule wakike ambae hajapelekwa unyagoni ......ila sasa pia neno vanemba huwa linatumika kama vijana ambao ni wajanjawajanja,wahuni nk
Hapa nimekupata mkuuVanemba vaniwala(wanewala) hadi kutandahimba(tandahimba)
Mkuu kuna watu kuwaelewesha ni kazi ngumu sana, wakishindwa hoja wanatukana wala usihangaike nae huyo maana umeeleza kitu kirahisi kabisa lakini sasa anavyoreact hovyo kabisa.Unapoleta habari za "wewe *****" unajionesha.
1. Una hasira na huwezi ku focus kwenye hoja unatukana ovyo kwa ad hominem logical fallacy, badala ya kujadili hoja unamtukana mtu nje ya hoja.
2. Huna elimu, una tabia ya kutumia nguvu kuliko akili. Unataka kufanya kila kitu kwa ubabe.
3. Unataka kuwadogosha na kuwatukana watu unaoona wamekuzidi uwezo wa kujenga hoja. Huwezi kuwashinda kwa kujadili hoja, unawatupia kashfa za uchoko ambazo hazina ubusiano wowote na hoja.
4. Huelewi hata hoja ni nini hapa. Hakuna mtu aliyesema Harmonize ana undugu na Mkapa, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu. Your reading comprehension skills are obviously very low. You have no capacity for abstract thinking.
Nakupeleka ignore list kwa sababu inawezekana una matatizo ya kisaikolojia, maisha yamekupiga huko, unataka kunimalizia hasira zako mimi kiugomviugomvi bila kujadili hoja.
Sitaki kuingia kwenye mtego wa kubishana na watu wasio na elimu, wenye matatizi ya kisaikolojia, wenye matatizo kwenye maisha yao, wanaoharibu standards za mjadala.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
You are in my ignore list.
Ndio maana yake hiyoOh kumbe ahsante kwa elimu,so Vanemba Newala maana yake ni vijana wajanja wajanja wa Newala?