comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Movie za ngono kinyum3 na maumbile, uvutaji wa bange, hapo akili lazima iwe mbovuIla jama kisaikolojia yupo sawa kweli??
Movie za ngono kinyum3 na maumbile, uvutaji wa bange, hapo akili lazima iwe mbovuIla jama kisaikolojia yupo sawa kweli??
Sure kabila ni more social. Mfano mtoto ambaye baba ni mchaga mama ni mhaya, kabila la mtoto ni lipi? Watasema ni mchaga...but why? Pia unaweza kujikuta uchagani kumbe dingi ni mpare ukalelewa kwa bibi huko uchagani kisa mama hamjui baba wa mtoto ukaishia kuwa mchagaWatu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.
Wewe unaongeleaje mambo makubwa kama kabila ikiwa watu kibao hata kuthibitisha baba tu kimbembe?
Ndiyo maana nikakuuliza hilo kabila linapimwa kwa DNA? Hujajibu.
Kabila is a social thing, tunaambiwa kitanda hakizai haramu, ukizaliwa nyumba ya baba Mgogo, utaitwa Mgogi, hata kama baba yako wa kibaiolojia Mhaya.
Wenyewe wanasema katika ndoa zenu kuna watoto wetu.
Huelewi wapi kuwa hobari ya kabila haina muhuri wala kipimo ni kitu social tu?
Exactly.Sure kabila ni more social. Mfano mtoto ambaye baba ni mchaga mama ni mhaya, kabila la mtoto ni lipi? Watasema ni mchaga...but why? Pia unaweza kujikuta uchagani kumbe dingi ni mpare ukalelewa kwa bibi huko uchagani kisa mama hamjui baba wa mtoto ukaishia kuwa mchaga
Kenny alikuwa mizinguo sana🤣🤣Mkapa aliyecheza Yanga mnamjua?
Na huko Mtwara ni vurugu tupu. Makabila ya huko wanarithi/walikuwa wanarithi kwa mama. So definition ya kabila la mtu enzi za Mkapa na leo kwa Konde Boy ni tofauti kabisa.Sure kabila ni more social. Mfano mtoto ambaye baba ni mchaga mama ni mhaya, kabila la mtoto ni lipi? Watasema ni mchaga...but why? Pia unaweza kujikuta uchagani kumbe dingi ni mpare ukalelewa kwa bibi huko uchagani kisa mama hamjui baba wa mtoto ukaishia kuwa mchaga
Hizo ni sura za watu wa kusini...
Punguza kuwashwa Dogo utaolewa siku sio zako subiri umalize masomoModerator mbona wapuuzi kama hawa mnashindwa kuwachukulia hatua wanatukana watu bila sababu ya msingi? Jf sio mtandao wa vichaa,huyu ni kichaa mpigeni life Ban,hapa wanatembelea hadi mawaziri na maaskofu,na mashehe! Wajinga kama hawa msiwaruhusu walete ujinga wao hapa.
Piga wewe ban hiyo punguza shobo
kwa Mila za kwetu ni kosa kubishana na mwanamke...tunafunzwa kuwaheshimu sana ninyi wanawakeHuna akili na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Mimi dogo? Wenzio miaka ya 90 tulikuwa wahuni ambao tulivuma enzi zetu pale mji kasoro bahari sio nyie kina ANKO T mnavuma kwa .... wakati huo hata huyo mumeo ajazaliwa bibie! uwe na heshima! Japo tunajua kina dada mkiwa menstrual period mnachizika......weka pedi kupunguza frustration,usitumie matambaa.Punguza kuwashwa Dogo utaolewa siku sio zako subiri umalize masomo
Shule zipi mama hizi walizosoma Wakina kabudi na kitila?Hana akili huyo pamoja na shule
ajazaliwa=hajazaliwa kama kuandika kwa ufasaha kwako ni mtihani unajiitaje muhuni? wewe ni muhuni mbele ya mama yako huko uani kwenuMimi dogo? Wenzio miaka ya 90 tulikuwa wahuni ambao tulivuma enzi zetu pale mji kasoro bahari, wakati huo hata huyo mumeo ajazaliwa bibie! uwe na heshima! Japo tunajua mkiwa menstrual period mnachizika......weka pedi kupunguza frustration,usitumie matambaa.
we unatafuta bwana humu! Ukishapata bilashaka utatulia!ajazaliwa=hajazaliwa kama kuandika kwa ufasaha kwako ni mtihani unajiitaje muhuni? wewe ni muhuni mbele ya mama yako huko uani kwenu
Sijui.
Shem siku hizi unanibania sana ubuyu!Sijui.
Haaahaa 😂Sijui.
Wala shemu 😅Shem siku hizi unanibania sana ubuyu!