Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Unajipa uhalali wa majibu unayotaka wewe kwenye ubongo wako wakati haujui lolote kuhusu makabila ya watu hao wala familia zao wala koo zao wala maeneo wanayoishi ***** weweHilo halimaanishi lolote kwa sababu watu wamehamahama sana.
Na hayo makabila ni mambo social tu kwa sababu hayapimwi kwa DNA.
Watu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.Unajipa uhalali wa majibu unayotaka wewe kwenye ubongo wako wakati haujui lolote kuhusu makabila ya watu hao wala familia zao wala koo zao wala maeneo wanayoishi ***** wewe
wanawake kibao wa wapi? Mkapa na Harmonizer wanatoka maeneo tofauti kabisa kuanzia kijiografia na kila kitu ewe *****Watu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.
Wewe unaongeleaje mambo makubwa kama kabila?
Ndiyo maana nikakuuliza hilo kabila linapimwa kwa DNA? Hujajibu.
Mkapa na Harmonize wanatoka maeneo tofauti kabisa kijiografia kwani wao ni miti useme wameota hapo hapo hawatembei, familia zao hazijatembea?wanawake kibao wa wapi? Mkapa na Harmonizer wanatoka maeneo tofauti kabisa kuanzia kijiografia na kila kitu ewe *****
Ndio maana nikakuambia wewe, sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimisheMkapa na Harmonize wanatoka maeneo tofauti kabisa kijiografia kwani wao ni miti useme wameota hapo hapo hawatembei, familia zao hazijatembea?
Hata hiyo miti mbegu inaweza kuchukuliwa sehemu moja ikapandwa sehemu tofauti.
Yani huelewi kuwa watu wana historia ya kuhamahama Wabantu wametokea modern day Nigeria huko wamefika mpaka huku Africa Mashariki wakaenda mpaka Kusini?
Ulikimbia shule hujui kuwa watu wanahamahama? Unaona mtu akizaliwa Dar hawezi kuwa na ndugu zake Morogoro ? Unaelewa kuna Wazaramo wa Dar wana asili ya Morogoro? Unaelewa kuna watu Zanzibar wana asili ya Mtwara?
Unapoleta habari za "wewe *****" unajionesha.Ndio maana nikakuambia wewe ni ***** sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimishe
Unakataa kuwa wewe ni *****?Eti una elimu je elimu ni nini? Kwamba elimu unayozungumzia ni kama ya kabudi na kitila mkumbo? Sasa kama ndio hiyo elimu yenyewe ya kitila na kabudi kivipi unaweza kuwatofautisha na Haji manara au babalevo au Babu tale?Watu weusi wote tupo sawa tuUnapoleta habari za "wewe *****" unajionesha.
1. Una hasira na huwezi ku focus kwwnye hoja unatukana ovuo kwa ad hominem logical fallacy, badala ya kujadiki hoja unamtukana mtu nje ya hoja.
2. Huna elimu, una tabia ya kutumia nguvu kuliko akiki. Unataka kufanya kila kitu kwa ubabe.
3. Unataka kuwadogosha na kuwatukana watu unaoona wamekuzidi uwezo wa kujenga hoja. Huwezi juwashinda kwa kujadiki hoja, unawatupia kashfa za uchoko ambazo hazina ubusiano wowote na hoja.
4. Huelewi hata hoja ni nini hapa. Hakuna mtu aliyesema Harmonize ana undugu na Mkapa, ni wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu. Your reading comprehension skills are obviously very low. You have no capacity for abstract thinking.
Nakupeleka ignore list kwa sababu inawezekana una matatizo ya kisikolojia, maisha yamekupiga huko, unataka kunimalizia hasira zako mimi kiugomviugomvi bila kujadili hoja.
Sitaki kuingia kwenye mtego wa kubishana na watu wasio na elimu, wenye matatizi ya kisaikolojia, wenye matatizo kwenye maisha yao, wanaoharibu standards za mjadala.
Kuanzia haoa sitaona unachoandika.
Hebu leteni video tuone kama ndiye au siyeYule sio harmonize babu
ha ha aHiyo picha nilivyoiona nilifikiria hivyo hivyo, halafu miwani ndiyo imemalizia.
Unaweza kujuta kwenye family tree wamekutana sehemu huko.
Hana akili huyo pamoja na shuleMkapa na Harmonize wanatoka maeneo tofauti kabisa kijiografia kwani wao ni miti useme wameota hapo hapo hawatembei, familia zao hazijatembea?
Hata hiyo miti mbegu inaweza kuchukuliwa sehemu moja ikapandwa sehemu tofauti.
Yani huelewi kuwa watu wana historia ya kuhamahama Wabantu wametokea modern day Nigeria huko wamefika mpaka huku Africa Mashariki wakaenda mpaka Kusini?
Ulikimbia shule hujui kuwa watu wanahamahama? Unaona mtu akizaliwa Dar hawezi kuwa na ndugu zake Morogoro ? Unaelewa kuna Wazaramo wa Dar wana asili ya Morogoro? Unaelewa kuna watu Zanzibar wana asili ya Mtwara?
Habari ya uchoko inakuja vipi? Umeshindwa kujibu hoja unaleta ad hominem fallacy?
Huna akili na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaNdio maana nikakuambia wewe ni ***** sasa sijui unabisha nini... wapo wamakonde huko zanzibar walihama huku na kuhamia huko na hilo lipo wazi na wana koo zao huku... ila tupo hapa kwenye ishu ya uhusiano wa Mkapa na Harmonizer ambao mimi nakuambia hawana undugu wala nasaba musilazimishe
๐๐Ko muhishimiwa alikuwa mzee wa kusimamia ukucha kwa sana๐๐Bila shaka hata mkapa enzi zake alikuwa na connection nyingi tu, lakini kwa sababu hakukuwa na teknolojia alisitirika.
Moderator mbona wapuuzi kama hawa mnashindwa kuwachukulia hatua wanatukana watu bila sababu ya msingi? Jf sio mtandao wa vichaa,huyu ni kichaa mpigeni life Ban,hapa wanatembelea hadi mawaziri na maaskofu,na mashehe! Wajinga kama hawa msiwaruhusu walete ujinga wao hapa.Unajipa uhalali wa majibu unayotaka wewe kwenye ubongo wako wakati haujui lolote kuhusu makabila ya watu hao wala familia zao wala koo zao wala maeneo wanayoishi ***** wewe
Moderatorwanawake kibao wa wapi? Mkapa na Harmonizer wanatoka maeneo tofauti kabisa kuanzia kijiografia na kila kitu ewe *****
Mmakua kwa mmakondeHiyo picha nilivyoiona nilifikiria hivyo hivyo, halafu miwani ndiyo imemalizia.
Unaweza kukuta kwenye family tree wamekutana sehemu huko.
Mkapa au harmonize?Kama alipata ajali na kuteguka mguu akitokea kwa mchepuko, huyu ni Harmo rapa namba 1.
Nadhani iko hivyo.๐๐Ko muhishimiwa alikuwa mzee wa kusimamia ukucha kwa sana๐๐
Oooh๐Nadhani iko hivyo.