Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

Sure kabila ni more social. Mfano mtoto ambaye baba ni mchaga mama ni mhaya, kabila la mtoto ni lipi? Watasema ni mchaga...but why? Pia unaweza kujikuta uchagani kumbe dingi ni mpare ukalelewa kwa bibi huko uchagani kisa mama hamjui baba wa mtoto ukaishia kuwa mchaga
 
Exactly.
 
Na huko Mtwara ni vurugu tupu. Makabila ya huko wanarithi/walikuwa wanarithi kwa mama. So definition ya kabila la mtu enzi za Mkapa na leo kwa Konde Boy ni tofauti kabisa.
 
Punguza kuwashwa Dogo utaolewa siku sio zako subiri umalize masomo
 
Punguza kuwashwa Dogo utaolewa siku sio zako subiri umalize masomo
Mimi dogo? Wenzio miaka ya 90 tulikuwa wahuni ambao tulivuma enzi zetu pale mji kasoro bahari sio nyie kina ANKO T mnavuma kwa .... wakati huo hata huyo mumeo ajazaliwa bibie! uwe na heshima! Japo tunajua kina dada mkiwa menstrual period mnachizika......weka pedi kupunguza frustration,usitumie matambaa.
 
ajazaliwa=hajazaliwa kama kuandika kwa ufasaha kwako ni mtihani unajiitaje muhuni? wewe ni muhuni mbele ya mama yako huko uani kwenu
 
Kuna hoja nyingine zimekaa kimtego sana humu

Zamani kulikuwa na msemo wa "Kitanda hakizai haramu"

Na baadaye ikaboreshwa kwa kusema Mtoto ni wa Mama, sisi akina Baba tunapewa tu πŸ™Œ

Anyways, Kusini kuchele, karibuni tuvune korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…