Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Ninyi kwenu kabila wanarithi kwa nani?Na huko Mtwara ni vurugu tupu. Makabila ya huko wanarithi/walikuwa wanarithi kwa mama. So definition ya kabila la mtu enzi za Mkapa na leo kwa Konde Boy ni tofauti kabisa.
Ni wewe na sio we.....wewe huyo kiranga sijui kirango ni Mumeo mbona unamshobokea sana?we unatafuta bwana humu! Ukishapata bilashaka utatulia!
Kwahiyo hata namimi nikija kwenye dini sisi wote baba yetu ni mmoja yaani AdamUkicheki uhamaji wa wabantu na jinsi makabila yalikuja kugawanyika utaona kuwa hao wote ni kundi moja.
Hili ndilo dhumuni la mada Lengo ni kumdhalilisha mzee mkapa😃😃Ko muhishimiwa alikuwa mzee wa kusimamia ukucha kwa sana😃😃
Hili nililitegemeaHizo ni sura za watu wa kusini...
Ha ha haa.Habari ya uchoko inakuja vipi? Umeshindwa kujibu hoja unaleta ad hominem fallacy?
Ukishapata bwana utatulia tu! Vigoli huwa mna tabu sana.Ni wewe na sio we.....wewe huyo kiranga sijui kirango ni Mumeo mbona unamshobokea sana?
Vyevyote utakavyoita ni sawa tu kwetu...vita na dharau dhidi ya kusini imeanza siku nyingi mnoSio mtwara
Ni ntwara 😊😁
Unajichekesha kiasi hicho mbele ya huyo Mumeo hadi umekuwa msemaji wake....mimi nikose raha humu wewe upo timamu kweli?halafu unatumia neno "huenda" wakati wew sio mwanamke wangu kwamba nilikusimulia hisia zanguHa ha haa.
Hiyo anakutafuta umjibu matusi mtukanane matusi makubwa zaidi. Ulipompotezea mwanzo ulimkosesha raha yake.
Huenda ilimuumiza.
Utahamisha maneno sana mimi ni rijali nilikaa jandoni na kilitumika kisu.....yaani unakuwa msemaji wa huyo ***** mpaka unaumia kiasi hichoUkishapata bwana utatulia tu! Vigoli huwa mna tabu sana.
Lengo la mada tajwa huko juu ni kumdhalilisha mzee mkapa na kusini kiujumlaKuna hoja nyingine zimekaa kimtego sana humu
Zamani kulikuwa na msemo wa "Kitanda hakizai haramu"
Na baadaye ikaboreshwa kwa kusema Mtoto ni wa Mama, sisi akina Baba tunapewa tu 🙌
Anyways, Kusini kuchele, karibuni tuvune korosho
Watu kama hao ndiyo dawa yao.Ha ha haa.
Hiyo anakutafuta umjibu matusi mtukanane matusi makubwa zaidi. Ulipompotezea mwanzo ulimkosesha raha yake.
Huenda ilimuumiza.
Usiseme watu kama hao bali sema wanaume kama haoWatu kama hao ndiyo dawa yao.
Harmonize amezaliwa mwaka 1994, ni mwaka mmoja kabla Mzee Ben hajawa Rais wa awamu ya 3Lengo la mada tajwa huko juu ni kumdhalilisha mzee mkapa na kusini kiujumla
Mnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.Harmonize amezaliwa mwaka 1994, ni mwaka mmoja kabla Mzee Ben hajawa Rais wa awamu ya 3
Na kipindi chote hicho, alikuwa ameshatoka Masasi kitambo mno tangu akiwa msaidizi wa Mwalimu
Nahisi nia na lengo la mtoa mada ni hilo kama ulivyosema
Huwa nasema hili ni ***** watu wananiambia natukana ila yeye dhana anayotaka aiweke hapa watu wanaona ni sawa....shida kawashika mandondocha wengi humu ndaniMnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.
Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa.
Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.
Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutika Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzinui nywndo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yaje Harmonize na hujamwapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.
Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
Kuna wakati msanii na Meya wa Sasa wa Jiji/Ilala Shetta aliwahi kuhusishwa na Kamanda Tibaigana kwamba wamefananaMnayapa mambo tafsiri zenu mnazotaka nyie.
Mtu kufanana na Mkapa si kumdhalilisha Mkapa.
Na wala mtoa mada kwenye bandiko la kwanza hajasema kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa, kwa hiyo hoja ya Mkapa kutoka Masasi haina mashiko.
Na hata angesema Harmonize ni mtoto wa Mkapa, hoja ya Mkapa kutoka Masasi bado haina mashiko, kwa sababu huzijui nyendo zote za Mkapa na huzijui nyendo zote za mama yake Harmonize na hujawapima Harmonize na Mkapa DNA kuhakikisha Harmonize si mtoto wa Mkapa.
Na wala kufanana na Mkapa kinasaba hakuhitaji mtu awe mtoto wa Mkapa, inawezekana kabisa mtu A na mtu B wakawa na uhusiano wa mbali na mtu C, babu wa mbali, na wote wakafanana. Na mtoto wa Mkapa akafanana na mama yake, asifanane na Mkapa.
Tatizo la jamii zetu ni kwamba watu wengi ni wazembe wa kufikiri.Kuna wakati msanii na Meya wa Sasa wa Jiji/Ilala Shetta aliwahi kuhusishwa na Kamanda Tibaigana kwamba wamefanana
Kama ulivyosema, watu kufanana sio vibaya as Watanzania ni wamoja
Lakini kuna elements kwenye andiko na maoni ya wadau, kumuhusisha Mzee Ben na huyo Harmonize
Labda tukubaliane kwamba, suala la mtu fulani kufanana na mwingine sio shida, maana historia inaonesha Karne ya 7 A.D Watanganyika wengi walikuwa wakihama hama kwaajili ya shughuli za Kilimo, ufugaji na biashara
Na wenzetu wa Kusini walihama sana kufikia miaka ya 1905 hadi 1907 wakati wa vita ya Maji Maji hasa wale wasiokuwa tayari kupigana (waoga wa vita) lakini Wanawake na watoto ndiyo walikuwa wakimbizi wakubwa
Ndiyo maana kwenye jibu langu la awali niligusia miongoni mwa sababu zinazoweza kuwa ni kichocheo kwenye hilo la Harmonize na Mzee Ben kufananishwaTatizo la jamii zetu ni jwamba watu wengi ni wazembe wa kufikiri.
Post kama hii ya kwanza, ambayo iko very vague and olen to interpretation, moja kwa moja inachukuliwa kama innuendo kwamba Harmonize ni mtoto wa Mkapa.
Wakati mtu mwingine anaye ji challenge kufikiri angeweza kuoata maswali mengi sana hapo.
Kama vile.
1. Kwa nini binadamu tunafanana. Swali kinafungua mlango wa kujifunza biology mpaka kwenye DNA level.
2. Ili kufanana nini kinahitajika? Ni lazima kuwepo na undugu wa karibu kufanana? Swali linaenda kufungua somo la kwamba hatuhitaji kuwa na undugu wa karibu kufanana. Kuna familia wana picha za babiu wa babu alipigana na waarabu huko miaka ya kati ya 1800. Wale mababu al maarufu wanaooa wake kumi na ngapi huko kama ma chifu, ambao kwa sasa vitukuu vimetawanyika sana hata kuchora family tree inakuwa kazi. Na mpaka leo ukiviangalia vitukuu unaona DNA ya huyo mzee bado ipo.
Sasa hapo kuna swali zuri tu la "How far back does a modern day youth from southern Tanzania have to go to have a common ancestir with Benjamin Mkapa?".
The answer may surpise you.