Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

Ulivyosema watu tupo connected makabila ni masuala tu ya kijamii hawaelewi labda niongezee kwa lugha rahisi,.nilisoma kwamba

Wote tumetokana na wazazi wawili ambao wametokana na wazazi wawili means una mababu nane ambao wote wametokana na wazazi wawili, ukihesabu hivyo ukifikisha vizazi 20 miaka 600 nyuma utakua na mababu zaidi ya milion 1..

ukirudi miaka 2000 nyuma utakua na mababu wengi kuzidi watu wote waliokua duniani wakati huo.
.

Hiyo ina maana kabla hujafika miaka 300 nyuma kuna watu ndugu zako kabisa wa damu washakutana na wakapata watoto..

Hivyo ndio tunakutana na doppelgangers..
 
Aiseeee umefafanua jadififu ๐Ÿ˜Š
No comment
 
Watu hawana uhakika wa baba zao, wanawake kibao wanawapachika waume zao watoto ambao si wao.
Baba wa mtoto anayemjua ni Mama yake Mzazi, familia nyingi ukikuta kuna watoto wanne, lazima mmoja qna Baba yake tofauti na wenzake wale watatu
 
View attachment 3687579
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ VANEMBWA NIWAAAA KUDANDANDAAA KUDANDANDANDAAA

TILULIIII TILULIII KUDANDANDAAAA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Vanemba maana yake ni wale watoto wa kiume ambao hawajaenda jandoni na Nahaku ni yule wakike ambae hajapelekwa unyagoni ......ila sasa pia neno vanemba huwa linatumika kama vijana ambao ni wajanjawajanja,wahuni nk
 
Vanemba maana yake ni wale watoto wa kiume ambao hawajaenda jandoni na Nahaku ni yule wakike ambae hajapelekwa unyagoni ......ila sasa pia neno vanemba huwa linatumika kama vijana ambao ni wajanjawajanja,wahuni nk
Oh kumbe ahsante kwa elimu,so Vanemba Newala maana yake ni vijana wajanja wajanja wa Newala?
 
Mkuu kuna watu kuwaelewesha ni kazi ngumu sana, wakishindwa hoja wanatukana wala usihangaike nae huyo maana umeeleza kitu kirahisi kabisa lakini sasa anavyoreact hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ