Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Njia rahisi ya kujua undani wa kitu ni kukisoma. Nenda kamsome Yesu nenda pia kausome uislam then ukipata jibu kipi kilianza naomba hilo likutoe ujingani.
 
Mkuu Ritz mimi ni mngoni nikitrace nilipotokea kwa babu yake babu ni mlolongo sehemu mbali mbali wakristo wanauwa waislamu na waislamu wanauwa wakristo
Sasa mbona wewe unalalamika kuwa Waislam wa Zanzibar peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Unaposema mbona hadi leo huku Pwani watu wana akili kama za “Boko Haram” (sifhamu unamaanisha nini hasa), you sound like huko Bara mambo swafiiii kabisa… watu wamebukua ile mbaya; jambo ambalo si kweli!! Let’s be honest here… hivi ukiondoa Mkoa wa Kilimanjaro, Mbeya na Kagera, ni bara gani huko mnakosema watu wamebukua ile mbaya? Singida kwa akina Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba? Mnzaungumzia Mwanza? Au Geita?Au Simiyu? Au Shinyanga? Huko Bara kwa Wakristo mnakosema watu wamebukua ile mbaya ni wapi? Au Rukwa? Au Dodoma? Kigoma? Are you talking of Ruvuma? Hivi ndugu zangu Wahehe nao wanaweza kututambia watu wa Pwani kwamba nao wamebukua ile mbaya?! Hivi kweli wale Wamasai na Wasonjo wa Arusha wamebukua wale kweli? Hivi kule Kiteto kweli watu wamebukua kule kiasi cha kuwaona watu wa Pwani ni Masakala wasioenda shule kwavile ni Waislamu? Ni Wakristo wa bara ipi hiyo ndugu zangu ambao wamebukua kiasi cha kutamba kila siku?!! Au huko nako wamejaza Waislmu wanaoishia kwenda madrasa?

Turudi huku Pwani! Tofauti na nyie wenzetu mnaojigamba mmepiga buku kweli kweli wakati majority ya Wakristo hawajui hata kusoma na kuandika, wenzenu angalau tunakiri kwamba kwa upande wetu kuna tatizo bila kujali kwamba kila mmoja atakuwa na mtazamo kuhusu chanzo cha tatizo! Sasa tukija kwenye hoja kwamba mbona hadi leo watu wa Pwani bado kabisa, ukweli ni huu hapa chini!!! Tuwiane radhi, wakati mwenzetu Diamond amejaaliwa kipaji cha muziki, wengine tumejaaliwa kipaji cha kuandika... tukianza maneno yanakuja tu... yanakuja tu, ukitanabhai, umejaza kurasa!!!

Tundelee!

Msingi wa mfumo wa sasa wa Taifa hili uliwekwa na Wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza! Kama nilivyosema hapo awali, hawa wakalazimika kujenga mashule si kwa sababu waliwapenda wale waliowaingiza kwenye Ukristo bali walihitaji labor force inayofahamu elimu ya Kimagharibi! Tofauti na Waraabu, Wazungu walikuwa ni Watawala kwahiyo walilazimika kufanya hivyo! Kosa kubwa ambalo walifanya, tena kwa makusudi, ni kuacha elimu itolewe na Wamisionari kwenye nchi ambayo tayari ilikuwa na watu wa Imani nyingine. Tusisahau, Wamisionari hawa walikuwa ni Mawakala tu Wakoloni. Aidha, waliacha kwa makusudi elimu itolewe na Wamisionari kwavile walifahamu Utawala wao wa kikoloni usingekuwa rafiki kwa wananchi kwahiyo endapo elimu hiyo ingetolewa na serikali yenyewe ambayo hawakuwa na utu, kulikuwa na uwezekano mkubwa kwa wananchi kuisusia kwa kuona ni elimu ya madhalimu! Isitoshe, by that time wala hawakuwa na ufahamu na umuhimu wa hiyo elimu kwahiyo ilibidi itolewe na watu wa kuaminika! Kwa kufahamu hilo, wakaamua kuacha jukumu hilo kwa kanisa, watu wenye kauli ya upole na upendo!

Sasa, ile hali ya kuiacha elimu itolewe na Makanisa tayari ikawa-exclude Waislamu kwavile tayari hawa walishalishwa propaganda za dini nyingine… hili lina effect mpaka leo; iwe ni kwa Waislamu au Wakristo! Leo hii hapa BAKWATA wawe na bonge la shule lenye maendeleo mazuri kitaalamu, wapo Wakristo watakaoacha kupeleka watoto wao huko kwavile tu ni ya Ki-Islamu… seuze wazee wa miaka mia moja iliyopita!!!!!! Ndio maana hata hapa, unaweza kumsikia Mkristo akisema anavyowachukia Waislamu lakini muulize wamewahi kumfanya nini; HAKUNA!

Sasa basi, msingi huo ukaja kurithiwa na serikali ya weusi ambayo ilitangaza kufuta ubaguzi wa Kidini! Lakini haya yanafanyika wakati tayari kuna msingi umeshajengwa! Babu yake NasDaz alizaliwa wakati wa Ukoloni… huyu hakupelekwa shule kv alishaambiwa hao Wazungu waliokuja wanalisha watu nguruwe!! Huyu Babu yangu nae akapata mwanae miaka michache kabla au baada ya uhuru! Kwahiyo ingawaje unamtangazia mtu kwamba elimu hii inatolewa kwa wote, bado unawatangazia watu wasiofahamu umuhimu wake! Tena hata huko kutangaza sijui walikuwa wanatangaza tangaza vipi wakati nchi yenyewe iikuwa ndo hivyo tu!

Kutokana na hilo, mtoto wa babu yangu nae hakupelekwa shule! Mtoto huyu alipokua mkubwa, harakati za maisha zikamfanya atembee huku na huko jambo ambalo baba ake hakufanya! Katika kutembea huko, akakutana na wenzake kama yeye ambao baba zao nao hawakupata shule lakini vilevile wakakutana na wenzao ambao wazazi wao walikumbwa na mfumo wa elimu ya Magharibi! Haya kwa kiasi kikubwa yalitokea miaka ya sabini kuja themanini! Kwahiyo ingawaje wazazi wetu nao hawakupata shule, kutembea kukawafanya wagundue alah, kumbe kusoma ni muhimu namna hii!!! Kama ilivyo desturi ya mabadiliko kuchelewa kushika kasi, hawa baada ya wao nao kupata watoto kuna wengine wakapeleka watoto wao shule na wengine hawakupeleka shule… hii ndio nature ya mabadiliko!!! Lakini hata wale ambao walipeleka watoto wao shule, bado hawakufahamu vizuri management ya mwanafunzi kwavile hata wao wenyewe hawakusoma! Kwahiyo, mtoto alikuwa akimaliza darasa la saba, ndo imetoka hiyo, labda Mungu apende awe alifaulu!! Lakini yule ambae mzazi wake alienda shule, hata akifeli, mzazi wake atatafuta namna nyingine coz’ tayari anafahamu management ya mwanafunzi iko vipi!!!

Sasa na yule mtoto aliyeishia darasa la saba kwavile anakumbana na changamoto kadhaa za maisha na labda kusafiri zaidi au kukutana na watu wengi zaidi kuliko wazazi wake, it's obvious harakati hizi zitampa msukomo tofauti na kufahamu kwamba darasa la saba si lolote si chochote! Huyu atajitahidi mtoto wake asiishie darasa la saba!!

Kwa bahati mbaya, hii ni system itakayochukua miongo na sio miaka hadi kui-break ile circle! Kama ingekuwa ni genes, ni kwamba zile original genes zinakuwa neutralized from generation to generation to the point kwamba majority ya watoto wazazi wao watakuwa ni graduates! Kutokana na hilo, ndio maana naona ni vichekesho humu jamvini Wakristo wanavyojigamba wamepiga shule wakati majority, mama na baba zao wameishia darasa la saba na wengine hata kuta za darasa hawajui zinafananaje!!!!

Thanks for this nice post.
Waislam wengi wangekuwa na mtazamo kama huu, hata mifarakano ya kidini ingepungua. Tatizo ni kuwa kuna watu kama Moh Said na mwenzake Ilunga na wengineo ambao ndio wamekomalia uongo wa kusema "sehemu zenye waislamu wengi zimeachwa duni makusudi, huku sehemu zenye wakristo zikisaidiwa na serikali yenye Mfumo kristo". Ukweli ni kuwa nchi nzima imejaa umaskini na maendeleo duni. Mwaka 2011 niliwahi kubishana na "Mohamed Shossi" na mwenzake "Topical "ambao walikuwa na mtazamo kama huo wa akina Moh Said. Nilijaribu kuwaeleza kuwa nchi nzima imejaa umaskini na huko vijijini, haijalishi wewe ni mkristo, mpagani au muislam. Lakini sometimes inakuwa vigumu sana kuwashawishi watu ambao wapo kwenye DENIAL.

In fact, kwenye elimu, hata mikoa kama Kilimanjaro, Mbeya na Kagera sio kwamba ndio wamesoma sana... Ni kwamba wana unafuu kidogo tu, still kuna matatizo makubwa sana kwenye Elimu, na hata baadhi ya sehemu kama vile upareni (Kilimanjaro), (Chunya, Mbarali na Ileje (Mbeya) na maeneo ya Biharamulo(Kagera) uduni wa elimu katika maeneo hayo hautofautiani na maeneo kama Simiyu, Tabora, Dodoma na mikoa ya pwani.

Kwa wakati huu (miaka 53 ya uhuru), si sahihi kulaumu dini (au vitu vya kufikrika kama "mfumo kristo") kwa uduni wa Elimu katika maeneo hayo, badala yake ni Serikali ya CCM ndio inatakiwa kulaumiwa kwa utawala mbaya, sera mbovu, na ufisadi.
 
lazima mwarabu atakuwa alipita hapo, ngoja niingie maktaba nitarudi hapo maana nataka kujifunza na baadhi ya wahaya nao walipata wapi mapokeo ya uislamu.

Kwa context hiyo, ndo unajaribu kutuaminisha yakua Ukristo pekee ndo wenye "haki" yakua ndo imani ya huko mabara/mikoani!?

Kwanini mpaka urejee tena Library!?... huoni hizo similarities yakua hata na hizo sehemu "walizopitia" wale maharamia wa kigalatia aka Missionaries...ndizo nazo zilitapakaa/zimetapakaa huo Ukristo/ukafiri!?...au unataka kutuaminisha yakua hao Wachaga Wakristo,wao waliufuata wenyewe huo ukafiri huko Europe!?

Nimepitia baadhi ya posts zako hapa jamvini...kwa kifupi, tone ya comments zako ni dhaifu mno!

Plse explain your last sentence, why mention Wahaya!? Isn't that divisive!?

Ahsanta sana.
 
kwahiyo Tabora, Kondoa, Kigoma nako pwani sio?

Mkuu Uislam haswa usio na upinzani ni wa Pwani tu huko kwingine ni kusingizia na hilo halina ubishi... maeneo ya bara yenye uislam kwa wingi basi ni eneo maarufu kwa biashara zinazoshabiiana na Waarab waliojikita hadi wakawa watawala maeneo hayo kwa mfano Sultan wa Ndungu Same yeye alitawala eneo kubwa sana la upare na hata alipoondoka kwenda kwao arabun aliacha masalia lakini Uislam haukuenezwa kwa sana kwani wamissionali walikuwa washaweka mizizi ya ukristo haswa kwenye elimu... na makanisa
 
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?

endelea kusoma kuna siku utaelimika.
 
Tanzania maeneo karibia yote ya mijini kumejaa Waislam na maeneo mengine hawapo waarabu.
 
Thanks for this nice post.
Waislam wengi wangekuwa na mtazamo kama huu, hata mifarakano ya kidini ingepungua. Tatizo ni kuwa kuna watu kama Moh Said na mwenzake Ilunga na wengineo ambao ndio wamekomalia uongo wa kusema "sehemu zenye waislamu wengi zimeachwa duni makusudi, huku sehemu zenye wakristo zikisaidiwa na serikali yenye Mfumo kristo". Ukweli ni kuwa nchi nzima imejaa umaskini na maendeleo duni. Mwaka 2011 niliwahi kubishana na "Mohamed Shossi" na mwenzake "Topical "ambao walikuwa na mtazamo kama huo wa akina Moh Said. Nilijaribu kuwaeleza kuwa nchi nzima imejaa umaskini na huko vijijini, haijalishi wewe ni mkristo, mpagani au muislam. Lakini sometimes inakuwa vigumu sana kuwashawishi watu ambao wapo kwenye DENIAL.

In fact, kwenye elimu, hata mikoa kama Kilimanjaro, Mbeya na Kagera sio kwamba ndio wamesoma sana... Ni kwamba wana unafuu kidogo tu, still kuna matatizo makubwa sana kwenye Elimu, na hata baadhi ya sehemu kama vile upareni (Kilimanjaro), (Chunya, Mbarali na Ileje (Mbeya) na maeneo ya Biharamulo(Kagera) uduni wa elimu katika maeneo hayo hautofautiani na maeneo kama Simiyu, Tabora, Dodoma na mikoa ya pwani.

Kwa wakati huu (miaka 53 ya uhuru), si sahihi kulaumu dini (au vitu vya kufikrika kama "mfumo kristo") kwa uduni wa Elimu katika maeneo hayo, badala yake ni Serikali ya CCM ndio inatakiwa kulaumiwa kwa utawala mbaya, sera mbovu, na ufisadi.

Nanren!

I appreciate few of the stuffs you mentioned...I think some of them needs slightly different topic/thread in order to be discussed thoroughly,though!?

I respect some of your statements but to suggest that Historian Maalim Mohamed Said is a divisive figure within our society, is out of authenticity!

It is not my intention to have a philosophical debate with you...on either or not there's systematic/deliberate marginalization of Muslims in almost all mainstream sector/s in our society.

But,but I'm sure you are well aware of the small prints from Treaty of Berlin-1878, chaired by Chancellor Otto Von Bismarck!?

Well, History is supposed to confront people. We may not agree on everything but through constructive dialogue and positive exchanges we share an experience of something otherworldly!

This may provoke emotions that we are not comfortable with, which is why many of other civilizations are ahead of us today!...lets take our time and experience emotions without disassociating them!?

It's communicating graphically "be aware"!....History is like nature. We learn to live in a world permeated by Politicians.

To one person a word might mean the "bogey monster"...to another it might mean "community"!?

Ahsanta sana!
 
Kwa kuongezea kidogo hapo mkuu, katika mkoa wa Mbeya sehemu iliyopitiwa na mfumo wa elimu kwa miaka hiyo ni wilaya ya Rungwe kwingineko.hali haikuwa tofauti sana na mikoa inayo onekana haina hao wakristo wengi!
 
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?

Huyo jamaa hajui hata maana ya MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR! Uliwahi kuona mapinduzi matukufu wapi?
 
Matola

This is the white lie that had been built by the missionaries and after the revolution and Union of 1964. And now propagated by the ultra conservetives of CCM Zanzibar and being helped by people like you.

Why the so called historians does not tell you that the first church in Africa was built in Zanzibar on the land at Mbweni and allocated by the Sultan himself. The Anglican Church at Mkunazini is the same story and some of it was leased from a well known Arab family this where the St. Monica hospital and church's school. Why they dont say the truth that even the clock and the bell on the minaret was contributed by the Sultan himself?

They are telling lies to tourist that the cellar below the St. Monica hospital was used to keep slaves to replenish them before put on sale while the hospital itself was built long after the slave trade had been abolished and that cellar was used to cool the medicines ised during the great epidemics of plague and smallpox.

Reference to this statement above is a lady in Adelaide, Australia called Anne Chapel Smithyman the daughter of Mr. Mervin Smythiman the then ADC to the Sultan.

The hate for Jemshid was imposed on the populace by the so called Protectors (The British) because Jamshid did two grave mistakes:
1) Agreeing with ZNP to fight for Independence.

2) Whe wrote a letter to HM the Queen to ask justice for his father's sudden death because he believes tha his father did not die due to diabetes but foul play. His father was against the british hegemony in EA.

For your information during the Lancaster house independence conference it is on the records that ASP asked for a copycat UK style govt and paliamentary system and that Sultan will be the constitutional.monarch and that him and his family will be protected for ever. While ZNP under the influence of Gamal Abdelnasser socialist ideology the way they ousted King Farouk.

Ref. "The Short History of Zanzibar" by Maulid Mshangama the then member of Legco and son in law to the Sultan Khalifa bin Haroub.

Ukitaka kumkimbiza Matola we tumia ngeli tu... huyo gahba wa segerea kizungu kimepiga kona anachojua ni usukule na kumpikia shemeji yake
 
Last edited by a moderator:
Abushiri na Tiputipu hawa si walikuwa waarabu?
swali! kwani waarabu wote walikuwa waislamu??

Huyo Bwana "Tipu Tippu" Wazazi wake walikua ni kutoka katika jamii za Kinyamwezi na "Kiarabu"!...yaani yeye Tipu Tippu hajawahi kuwa "muarabu" kwa ile conventional definition ya "muarabu" kama tulivyokaririshwa, au!?...huyo Bwana Tipu Tippu alikua ni biracial!

Umeshawahi kuona picha ya huyo "muarabu" Tipu Tippu!?...kama yeye ana-qualify kuitwa "muarabu"...basi kwanini pia tusimwite mnyamwezi!?

Abushir Ibn Harithy alikua ni Mswahili wa Pangani/Tanga, mwenye asili ya Arabuni!

Au weye Mkuu, unajaribu kutumainisha yakua qualification ya "Uafrika"...ni ile tu, shades of skin colour n texture of hairs!? Daah!

Ahsanta.
 
inakuja mkuu, hapo Masama kuna wachaga wiaslamu na hata Bomang'ombe jimboni kwa Mh. Mbowe wamejenga Misikiti yakutosha.

hata kwetu KIBOSHO waislam wapo wa kutosha na misikiti ya kutosha......waislam wa kibosho ni kama waislamu wa UTURUKI!... wapo zuri sana
 
Nanren!

I appreciate few of the stuffs you mentioned...I think some of them needs slightly different topic/thread in order to be discussed thoroughly,though!?

I respect some of your statements but to suggest that Historian Maalim Mohamed Said is a divisive figure within our society, is out of authenticity!

It is not my intention to have a philosophical debate with you...on either or not there's systematic/deliberate marginalization of Muslims in almost all mainstream sector/s in our society.

But,but I'm sure you are well aware of the small prints from Treaty of Berlin-1878, chaired by Chancellor Otto Von Bismarck!?

Well, History is supposed to confront people. We may not agree on everything but through constructive dialogue and positive exchanges we share an experience of something otherworldly!

This may provoke emotions that we are not comfortable with, which is why many of other civilizations are ahead of us today!...lets take our time and experience emotions without disassociating them!?

It's communicating graphically "be aware"!....History is like nature. We learn to live in a world permeated by Politicians.

To one person a word might mean the "bogey monster"...to another it might mean "community"!?

Ahsanta sana!

Gombesugu!

You are entitled to your opinion as I am. You don't think Moh Said is divisive, I do.
I wonder if you have read all his writings?!?
He once asserted that the country's population is made of only two groups: Christians and Muslims and that Muslims are being marginalized in all developmental aspects by what he termed "christian lobby" which later was coined by Ilunga as "mfumo kristo". He claims that Nyerere's unification of Tanganyika and Zanzibar aimed at suppressing Islam and controlling Zanzibar Muslims. In some writings he cited CCM-chama cha mapinduzi as "Catholic church Movement",He also says that during CCM's nomination of Benjamin Mkapa for presidential candidacy in 1995, "hymns were heard" suggesting that the meeting was a kind of battle between Christians and Muslims. He claims to date that NECTA, supposedly a Catholic Church Proxy, is deliberately sabotaging moslems... To you he is not divisive, to me he is. We can agree to disagree.
 
Name Calling JF ni makosa.
 
Ukitaka kumkimbiza Matola we tumia ngeli tu... huyo gahba wa segerea kizungu kimepiga kona anachojua ni usukule na kumpikia shemeji yake
Sasa mkirsto gani hajui kiingereza.
 
Last edited by a moderator:
most of the muhamadan extremists in tz come from the coast of indian ocean.those of the mainland are educated, nonreligious and moderate in their views.huwa nawakubari sana waislamu wa tz bara.

Your argument and its contents..not only full of insinuations,primitive attitudes as well as colonial connotations coupled with discriminatory tones! Daah!

What are you trying to suggest that other Muslims are "non religious"!?...or do you mean those self-hate Muslims!? Daah!

It's sad and perplexing to read the arrogance,exaggeration and divisive nature of your absurd remarks, using lies and flawed analysis to besmirch and try to divide Muslims in our country!? Daah!

Why you keep lumping up all Muslims in one lumpsum, as if all Muslims act and think the same way!?

Well, I'm not really sure if you ever heard of the term ethnic harassment!?...it's a term that refers to the likes of you Kadoda11!...who are bothering,targeting and/or addressing others unfairly, in particular Muslims...on the basis of their race,ancestry,place of birth,languages as well as where individual/Muslim is based/reside!? Daah!

Try to practice patience,purpose,compassion,contemplation and discipline...this is excellent!

Ahsanta sana!
 
Gombesugu!

You are entitled to your opinion as I am. You don't think Moh Said is divisive, I do.
I wonder if you have read all his writings?!?
He once asserted that the country's population is made of only two groups: Christians and Muslims and that Muslims are being marginalized in all developmental aspects by what he termed "christian lobby" which later was coined by Ilunga as "mfumo kristo". He claims that Nyerere's unification of Tanganyika and Zanzibar aimed at suppressing Islam and controlling Zanzibar Muslims. In some writings he cited CCM-chama cha mapinduzi as "Catholic church Movement",He also says that during CCM's nomination of Benjamin Mkapa for presidential candidacy in 1995, "hymns were heard" suggesting that the meeting was a kind of battle between Christians and Muslims. He claims to date that NECTA, supposedly a Catholic Church Proxy, is deliberately sabotaging moslems... To you he is not divisive, to me he is. We can agree to disagree.

Cc; Gombesugu
 
Back
Top Bottom