Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Mchezo wa KIKRISTO si mapadri kuwafir.a kondoo kwa mfano desmondo tutu.matola,etc

Vichaa wapo kila maali. Mbona kuna msikiti uswailini walimfukuza jamaa aliekuwa akiamgalia waislamu wenzake makalio wakati wanainama wakisali. Nawatu mtaani wakaanza kutania hamuvai chupi mkisali misikiti.
 
Mada imetaliwa na ushabiki wa kidini kiasi cha kuwafanya watu wapeleke akili zao likizo kiasi cha kushindwa kuchambua mambo kwa kina! Mathalani kuna wengi tu humu wanadai eti Waarabu hawakujenga shule Tanzania wakati Wazungu walifanya hivyo! Kwavile tumepeleka akili zetu likizo tunashindwa kufahamu kwamba malengo ya Mwarabu na Mzungu yalikuwa tofauti kabisa, hususani huku bara kwahiyo kusema Mwarabu hakujenga shule ni kuonesha kwamba wala hatuifahamu historia!!!

Tofauti na Wazungu ambao walikuja kama Watawala, Waarabu wao walikuja kama wasaka noti! Wazungu hawakujemga mashule kwa kutupenda bali kwa kuwa walikuwa ni watawala, walihitaji labor force inayofahamu ABC ya mfumo wao kule walikotoka! Wazungu hawa walihitaji kuwa na makarani, manyapara n.k kwahiyo suala la kujenga shule lilikuwa inevitable. In contrast, Mwarabu hakuwa na shida hiyo coz' yeye kaja kutafuta noti, BASI! Sasa mlitarajia ajenge mashule kisha hao wahitimu awapeleke wapi wakati hakuwa na serikali? Wakamsaidie kudaka watumwa, au?

Labda hapa tuseme Sultan wa Zanzibar ambae kabla ya ujaji wa wakoloni, yeye alikuwa mtawala kule! Lakini hata hivyo, si kwamba hakutoa elimu moja kwa moja bali alitoa elimu inayolingana na mazingira ya kule anakotoka! Asingeweza kufundisha kiingereza wakati alikotoka wanaongea Kiarabu! Asingeweza kufundisha elimu ya kizungu wakati alikotoka elimu yao ilikuwa ni ya Kiarabu! Kwa bahati mbaya sana, baada ya kuja Wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza ambao sasa wakawa ndio watawala sio tu wa Tanganyika bali hata Zanzibar, elimu ile ya Sultan ikaonekana haina maana tena kwavile ni tofauti kwa kila nyanja na elimu ya watawala wapya! Kwahiyo hata wale ambao walikuwa wanafahamu kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiarabu kwa ufasaha kabisa, wakaja kuambiwa hawajui kusoma wala kuandika coz' Kiarabu kikawa not applicable any more! Kwa mfano nakumbuka Babu yangu alikuwa hawezi kuandika hata mama lakini kwenye Kiarabu alikuwa anatiririka katika kusoma na kuandika kama ambavyo NasDaz ninavyotiririka kwenye kusoma na kuandika Kiswahili leo hii! Hata hivyo, huyu babu yangu nae alikuwa kwenye kundi la wasiojua kusoma na kuandika ingawaje ukweli ni kwamba alikuwa hajui kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza! Ni sawa sawa na leo hii ije Uturuki halafu ifute mfumo wa sasa wa elimu kisha wa-introduce wa kwao ambao utatumia Kituruki na mfumo wa sasa kuzikwa kabisa... hapa maana yake ni kwamba, karibu Watanzania wote tutageuka kuwa tusiojua kusoma na kuandika!!!!!

Kama nilivyosema, Mzungu alipokuja akalazimika kujenga mashule ili apate wafanyakazi wanaofahamu ABC! Lakini kwa bahati mbaya, Waarabu tayari walikuwa wameshaweka mizizi yao ya kufahamiana na Wenyeji... sina hakika, lakini bila shaka Waarabu hawa wakawa wanamwaga sumu kwa wenyeji wao kwamba elimu ya hao jamaa itawaingiza motoni, mkienda kule mtalishwa nguruwe! Ama sumu hizi walimwaga wenyewe au kwa kutumia vibaraka wao!

Sasa basi, ikiwa leo hii watu wameshaelimika bado unaweza kukuta Mkristo anashindwa kumpeleka mwanae shule ya Kiislamu kwavile tu ni shule ya Kiislamu na Muislamu hawezi kumpeleka mwanae shule ya Kikristo kwavile tu ni shule ya Kikristo; sasa unatarajia nini kwa wazee wa enzi ambayo dunia ilikuwa haijaelimika vya kutosha! Kwahiyo mtu kumdhihaki Babu yake NasDaz kwamba hakusoma ni kuonesha namna gani usivyoweza kuyachambua kimantiki mazingira yaliyokuzunguka!!

Kwa upande mwingine, Wazungu wengi walifikia mikoa ya bara kabisa! Na ingawaje humu jamvini kuna vilaza wanaopenda kukashifu watu wa pwani kwamba hawajasoma, lakini ukweli ni kwamba hata huko bara, walikosoma ni mikoa ile ile ambako Wazungu walifikia!!! Sasa basi, ikiwa hadi miaka ya tisini, mtu alikuwa anatumia mwezi mmoja kutoka Lindi hadi Dar es salaam, hivi kweli ulitarajia Babu yake NasDaz aliyeko kijijini huko Lindi angefahamu kwamba kuna shule inaitwa Umbwe, Uru, Mirambo n.k?! Did you expect that Great Thinkers wa JF? Ikiwa mtu alikuwa anaishi Chalinze na Dar es salaam haijui, ulitarajia mtu kama huyo afahamu kwamba kuna sehemu inaitwa Machame na huko kuna mashule?

Lakini yote kwa yote, tuache ujinga kidogo! Hivi kweli nchi kuna watu wanaweza wakajigamba kabisa kifua mbele kusema kwamba "kwetu matajiri... kwetu tumesoma!" Wanamaliza kidato cha nne wanafunzi laki 4, kati yao wanaopata division one hawafiki hata 5000 lakini wanaopata zero na four wana-constitute more than 75%!!! Hivi kweli ni wale ni Waislamu peke yao? Ina maana nchi hii ina-recruit wanafunzi wa Kiislamu zaidi ya 75% kuingia sekondari na Wakristo ni less than 75%? AMA KWELI, AKILI NI NYWELE!!!

Too long for a blog, unataka kuhalalisha kisichohalalishika
 
unafahamu maana ya kuhalalisha? with ur name, should I assume kwamba ww ni mtu wa mkoa wa Ruvuma? if so, kwahiyo na nyinyi ni wasomi kule kv ni Wakristo?
 
uchaga na uislam wala haiji... Haiji kabisaa..

hapana mkuu wachaga ni binaadam kamili wenye fikra na mawazo kamili tena wako huru ndio maana leo hii wamegawanyika katika mitazamo tofauti kisiasa kibiashara na hata kidini,kwa hiyo unaposema uchaga na uislam tofauti huo si mtazamo sahihi.
 
wewe unachokonyowa sasa, nikwamba mangi marleale chief mangi wa wa wachaga wote alitakataka kuunnda jamhuri yake ila wamachame ndio wakamsaliti na kumpa taarifa nyerere.

ni kwamba kulikuwa na chaga day na walikuwa na bendera yao tayari yenye chapa ya chui target ilikuwa wachukuwe tanga iwe ndio bandari yao na kuja huku juu kote ndio imaya ya mangi marliale.

wamachame ndio walikuwa wasaliti wa mpango huu na ndio maana mpaka kesho hakuna mchaga nje ya machame wa kuoa machame. hawa walimsaliti mangi wao, na ndio maana nyerere alikuwa analala kwa baba yake mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ndio ilikuwa sehemu salama kwake kulalala akiwa uchagani.

kwa wale mbwa wa ccm hapa jf wasiomjuwa mbowe kuanzia leo ndio wamjuwe hakuna kenge yeyote wa kumzuia mbowe kufanya siasa za chadema.

Hiyo point ya kuwa hakuna mchaga nje ya machame kuoa mmachame si kweli ni mawazo tu wapo wengi tu mama zao ni wamachame na baba zao ni wachaga wa Kibosho,Marangu,Rombo n.k
 
Mimi si mtaalamu wa dini ila navyofahamu yesu alibatizwa kabla hata uislam haujaanza.

Nadhani kama mtu si mtaalamu wa kitu fulani ni bora aulize kwanza kabla ya kuweka statements jukwaani kuhusu kile Asichokijua!

UISLAMU ULIKUWEPO KABLA HATA YA BABU YAKE NA YESU HAJAZALIWA!

Kabla ya kuandika chochote kuhusu UISLAMU, Sharti la kwanza muhimu lzn UJUE MAANA YA UISLAMU!
au ISLAM!

Ukishafahamu MAANA YAKE HALISI, Sasa soma ktk historia vitendo vya hao manabii waliopita?
Halafu jiulize je! Matendo yao ya IBADA yanafanana na WAISLAMU WA SASA??

Ukifuata mlolongo huo Niliokupa hapo juu Nina imani kubwa UTAKIBALIANA NA MIMI KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA YESU.
 
Hiyo point ya kuwa hakuna mchaga nje ya machame kuoa mmachame si kweli ni mawazo tu wapo wengi tu mama zao ni wamachame na baba zao ni wachaga wa Kibosho,Marangu,Rombo n.k

Huyo matola ni muhaya wa muleba!
Vipi anajua historia ya wachaga!??

Huyo ni pashkuna aliokosa mume! Ana tapatapa km mbuzi wa vingunguti! Mabuzi wote hawataki reject!

Sasa kawavamia wachaga! Na hapo akikosa mume utamuona anadandia wengine!

Uchangudoa ni kitu kibaya sana!
 
Hata pale marangu samanga headquater kuna msikiti unasali familia moja tuu ya ukoo wa Mongi ni walevi hao balaa. Sasa sijui uchaga na uislamu wapi na wapi.
Wachaga na Chadema na Ukirsto.

Wachaga mbona hamtaki kutupa histori ya Chifu Mangi aliivyokuwa anafanya biashara ya utumwa kawauza sana wapare.
 
Nadhani kama mtu si mtaalamu wa kitu fulani ni bora aulize kwanza kabla ya kuweka statements jukwaani kuhusu kile Asichokijua!

UISLAMU ULIKUWEPO KABLA HATA YA BABU YAKE NA YESU HAJAZALIWA!

Kabla ya kuandika chochote kuhusu UISLAMU, Sharti la kwanza muhimu lzn UJUE MAANA YA UISLAMU!
au ISLAM!

Ukishafahamu MAANA YAKE HALISI, Sasa soma ktk historia vitendo vya hao manabii waliopita?
Halafu jiulize je! Matendo yao ya IBADA yanafanana na WAISLAMU WA SASA??

Ukifuata mlolongo huo Niliokupa hapo juu Nina imani kubwa UTAKIBALIANA NA MIMI KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA YESU.

mkuu cdhani Christianity ilianza mapema kuliko Islam tangia first milenia A.D ndo ika spread to some other part of the world wakati uislamu umeanza 7 century AD wakati Christianity ili sha exist
 
Mada imetaliwa na ushabiki wa kidini kiasi cha kuwafanya watu wapeleke akili zao likizo kiasi cha kushindwa kuchambua mambo kwa kina! Mathalani kuna wengi tu humu wanadai eti Waarabu hawakujenga shule Tanzania wakati Wazungu walifanya hivyo! Kwavile tumepeleka akili zetu likizo tunashindwa kufahamu kwamba malengo ya Mwarabu na Mzungu yalikuwa tofauti kabisa, hususani huku bara kwahiyo kusema Mwarabu hakujenga shule ni kuonesha kwamba wala hatuifahamu historia!!!

Tofauti na Wazungu ambao walikuja kama Watawala, Waarabu wao walikuja kama wasaka noti! Wazungu hawakujemga mashule kwa kutupenda bali kwa kuwa walikuwa ni watawala, walihitaji labor force inayofahamu ABC ya mfumo wao kule walikotoka! Wazungu hawa walihitaji kuwa na makarani, manyapara n.k kwahiyo suala la kujenga shule lilikuwa inevitable. In contrast, Mwarabu hakuwa na shida hiyo coz' yeye kaja kutafuta noti, BASI! Sasa mlitarajia ajenge mashule kisha hao wahitimu awapeleke wapi wakati hakuwa na serikali? Wakamsaidie kudaka watumwa, au?

Labda hapa tuseme Sultan wa Zanzibar ambae kabla ya ujaji wa wakoloni, yeye alikuwa mtawala kule! Lakini hata hivyo, si kwamba hakutoa elimu moja kwa moja bali alitoa elimu inayolingana na mazingira ya kule anakotoka! Asingeweza kufundisha kiingereza wakati alikotoka wanaongea Kiarabu! Asingeweza kufundisha elimu ya kizungu wakati alikotoka elimu yao ilikuwa ni ya Kiarabu! Kwa bahati mbaya sana, baada ya kuja Wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza ambao sasa wakawa ndio watawala sio tu wa Tanganyika bali hata Zanzibar, elimu ile ya Sultan ikaonekana haina maana tena kwavile ni tofauti kwa kila nyanja na elimu ya watawala wapya! Kwahiyo hata wale ambao walikuwa wanafahamu kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiarabu kwa ufasaha kabisa, wakaja kuambiwa hawajui kusoma wala kuandika coz' Kiarabu kikawa not applicable any more! Kwa mfano nakumbuka Babu yangu alikuwa hawezi kuandika hata mama lakini kwenye Kiarabu alikuwa anatiririka katika kusoma na kuandika kama ambavyo NasDaz ninavyotiririka kwenye kusoma na kuandika Kiswahili leo hii! Hata hivyo, huyu babu yangu nae alikuwa kwenye kundi la wasiojua kusoma na kuandika ingawaje ukweli ni kwamba alikuwa hajui kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza! Ni sawa sawa na leo hii ije Uturuki halafu ifute mfumo wa sasa wa elimu kisha wa-introduce wa kwao ambao utatumia Kituruki na mfumo wa sasa kuzikwa kabisa... hapa maana yake ni kwamba, karibu Watanzania wote tutageuka kuwa tusiojua kusoma na kuandika!!!!!

Kama nilivyosema, Mzungu alipokuja akalazimika kujenga mashule ili apate wafanyakazi wanaofahamu ABC! Lakini kwa bahati mbaya, Waarabu tayari walikuwa wameshaweka mizizi yao ya kufahamiana na Wenyeji... sina hakika, lakini bila shaka Waarabu hawa wakawa wanamwaga sumu kwa wenyeji wao kwamba elimu ya hao jamaa itawaingiza motoni, mkienda kule mtalishwa nguruwe! Ama sumu hizi walimwaga wenyewe au kwa kutumia vibaraka wao!

Sasa basi, ikiwa leo hii watu wameshaelimika bado unaweza kukuta Mkristo anashindwa kumpeleka mwanae shule ya Kiislamu kwavile tu ni shule ya Kiislamu na Muislamu hawezi kumpeleka mwanae shule ya Kikristo kwavile tu ni shule ya Kikristo; sasa unatarajia nini kwa wazee wa enzi ambayo dunia ilikuwa haijaelimika vya kutosha! Kwahiyo mtu kumdhihaki Babu yake NasDaz kwamba hakusoma ni kuonesha namna gani usivyoweza kuyachambua kimantiki mazingira yaliyokuzunguka!!

Kwa upande mwingine, Wazungu wengi walifikia mikoa ya bara kabisa! Na ingawaje humu jamvini kuna vilaza wanaopenda kukashifu watu wa pwani kwamba hawajasoma, lakini ukweli ni kwamba hata huko bara, walikosoma ni mikoa ile ile ambako Wazungu walifikia!!! Sasa basi, ikiwa hadi miaka ya tisini, mtu alikuwa anatumia mwezi mmoja kutoka Lindi hadi Dar es salaam, hivi kweli ulitarajia Babu yake NasDaz aliyeko kijijini huko Lindi angefahamu kwamba kuna shule inaitwa Umbwe, Uru, Mirambo n.k?! Did you expect that Great Thinkers wa JF? Ikiwa mtu alikuwa anaishi Chalinze na Dar es salaam haijui, ulitarajia mtu kama huyo afahamu kwamba kuna sehemu inaitwa Machame na huko kuna mashule?

Lakini yote kwa yote, tuache ujinga kidogo! Hivi kweli nchi kuna watu wanaweza wakajigamba kabisa kifua mbele kusema kwamba "kwetu matajiri... kwetu tumesoma!" Wanamaliza kidato cha nne wanafunzi laki 4, kati yao wanaopata division one hawafiki hata 5000 lakini wanaopata zero na four wana-constitute more than 75%!!! Hivi kweli ni wale ni Waislamu peke yao? Ina maana nchi hii ina-recruit wanafunzi wa Kiislamu zaidi ya 75% kuingia sekondari na Wakristo ni less than 75%? AMA KWELI, AKILI NI NYWELE!!!

Naiona point yako. Ila nikuulize kwanini mpaka leo kunawatu huku pwani wenyeakili ya bokoharamu wakati ukienda nje utakuta waarabu kibao wanasoma elimu ya nchi za magharibi. Watu wapwani ndio wanao lalamiki mfumo wakikristo wakati duniakote makanisa ndio yanaongoza kwa kuwa na mashule, vyuo na maospitali ya maana. Waislam wajanja wa bara wanafahamu uzuri wa shule za makanisa na uendelea kutumia shule za makanisa kuliko shule za kiislam. Hata nchi za kiislam kama brunei ambako wametangaza sharia itumike kuna shule na hospitali za makanisa. Mwisho waislam walilalamika kanisa linapendelewa na serekali wakapewa chuo cha tanesco morogoro. Sasa kimeishia wapi?
 
Dini ipo kwa ajili ya watu,siyo watu wapo kwa ajili ya dini!!!
Dini ikusaidie ktk maisha yako siyo wewe uisaidie dini ktk uwepo wake!!!
 
means za kiutawala ndiyo zilizoleta vita.
mwarabu alifikia Pwani, ambako wakazi wake wengi
walikuwa less developed, isitoshe hata lengo lake hapa halikuwa domination tofauti ma lengo la mjerumani. ndiyo maana hakupata resistance kali.

mwarabu alikuwa anafanya biashara ya utumwa, iliyowanufaisha hadi machifu, like wise kwa mwingereza, hakupata upinzani mkali ndani ya Tanganyika kwa sababu ya aina ya uongozi wake. (indirect rule system).

No it is not about Indirect Rule it is about the the tricky Protectorate Agreement between the British Empire and Zanzibar and in addition to the Leage of Nation trusteeship.
 
Ila bwana matola kwa ukoo huo ulioutaja unazalilisha sana Uislamu. Mimi ni mzaliwa wa pale samanga baada tuu ya huo msikiti nyumba inayofuata ya kina Sawaya ndo kwetu. Kaka hao jamaa ni wanafiki sana na walevi mno ndo maana mpaka sasa msikiti una watu 14 tuu wakiongozwa na mzee Ibrahim. Am i correct. Acha kutukana uislamu kwa kutaja koo zisizo na hadhi ya kiislamu.
mbona unaweweseka na Matola? unajuwa umequote bandiko la nani?
 
qn of sheba unajua mipaka ya moshi vijijini ?.Yamkini mtu akikwambia Moshi vijijini akili yako inagota Marangu,Kilema au Mwika lahasha ngoja nikupe darsa kiduchu.Moshi vijijini ni wilaya kubwa sana kuliko unavyofikiri kwamba Moshi vijijini ni Kilema na Marangu tu.Moshi vijijini inapakana na wilaya ya Rombo kwa upande wa kaskazini,upande wa kusini inapakana na wilaya ya Moshi mjini,upande wa magharibi inapakana na wilaya ya Hai,upande wa inapakana na wilaya Mwanga na nchi ya Kenya.

Nimefanya maksudi kukupatia jiografia ya wilaya ya Moshi vijijini yamkini utarejesha akili yako panapostahili.Ikiwa tunakubaliana kwamba wilaya ya Mwanga ina idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiIslam ni sababu zipi zitazuia idadi ya waumini wa kiislamu kupatikana wilaya ya moshi vijijini hasa maeneo ya mipakani ?.Sababu hizo hizo tunaweza kuzitumia kwa wilaya za Moshi mjini na wilaya ya Hai.Moshi vijijini ina jumla ya kata 31 nitakutajia kata tano ambazo nina hakika utakubaliana na mimi shaka yoyote zina idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislam.

1. Mabogini.

2. Kahe

3. Kahe mashariki

4. Arusha chini

5. Makuyuni.

Na katika haya maeneo uliyotaja yote yalikuwa ni mashamba na maeneo manamba walipokuwa wanafanyia kazi au kuishi kipind cha ukoloni na maeneo hayo hakuna wachaga wengi utakaowakuta labda ni wafanyabiashara tuu, ni maeneo ya watu wa hali ya chini na hata serikali haina mipango ya maendeleo nimekwishafanya reseach huko.

Maeneo wanayoishi wachaga mf. Marangu, rombo, hai, machame, kibosho, uru, old moshi, kilema n.k ni vigumu kukuta waislamu kwa sababu zifuatazo
1. Waarabu walipokuwa wanasambaza uislamu hawakiwahi kufika huko wengi waliishia mwambao wa pwani na wamishionari waliokuwa wanasambaza ukristo ndo walikuwa wa kwanza kufika huko

2. Maeneo haya(ardhi) iko kimgawanyo wa koo na wachaga wanarithishana hawauzi ardi kwa mtu wa nje ya ukoo na wakifanya hivyo ni lazima wawe wanamfahamu fika na atakuwa wa ukoo ambao wanalandana(ni vigumu sana kwa mtu wa machame kupewa ardhi marangu) au mwanamke akipewa ardhi hata akiolewa ardhi hubaki kama ya ukoo hii haitoi mwanya kwa waislamu kuingia na kusettle na kueneza dini yao maeneo ya wachaga

Maeneo ya same, mwanga hedaru makuyuni yaliyokuwa ni maeneyo ya uzalishaji wa mkonge n.k kipindi cha ukoloni asili ya watu wake wengi ni kutoka maeneo ya mtwara, lindi, tabora, kigoma na maeneo ya mwambao wa pwani ambapo uislamu ulikuwa umeenea hivyo walivyokuja kama manamba(pitia ukoloni na uzalishaji tanganyika) wakaleta na kueneza uislamu hivyo kukua sana maeneo haya ambayo hayakuwahi kukaliwa na wachaga hata kabla ya ukoloni

Ugumu wa uislamu kuenea uchagani ni sawa na ugumu wa ukristo kuenea Zanzibar(truth). Ili huku bara ukristo na uislamu utaenea sambamba (umeshaenea) kila mahali pwani na bara kutokana na sababu zifuatazo

1. Mahitaji ya huduma za kijamii mf. Shule, hospitals. Taasisi nying za kikristo zimejikita kutoa hizi huduma

2. Mahitaji ya kiuchumi, watu wanahitaji pesa kwa biashara hata kuuza maeneo yao ili wapate fedha ma kuendesha gurudumu la maisha(wakristo na waislamu wananunua)

3. Kukua na kupanuka kwa miji, kunaifanya kuwe na mchanganyiko wa watu wa aina na dini tofauti kuingiliana

Cha msingi ni kufanya kile kinachokupasa kufanya ukifatilia maisha ya wakristo na waislamu kukua na kuenea kwao haitakaa ikusaidie na wala haitakaa ibadilike uislamu kuenea kwa maeneo ya wachaga na wala ukristo kuenea zaidi zanzibar

Mkuu Ritz uko biased sana unasahau wanachofanyia wakristo huko zanzibar, historia inambeba kila mmoja wetu nshakuona unaingiza na uchadema hufai katika jamii mtu kama wewe ni mchonganishi
 
Last edited by a moderator:

Unanisoma kwa chuki tu lakini maneno yangu yana ukweli mwingi, sijui kama umewasoma wachaga wenzako wanavyojisifu jinsi walivyokuwa wanawaua kuwawekea sumu Waislam kwenye mbege na kufa.

Halafu Uislam siyo mpaka upelekwe na waarabu ninae rafiki yangu mmoja mpangaji wetu anatokea Kibosho nilimuuliza kuhusu hizi habari ananiambia jirani yao ni Muislam alisilimi yeye na familia yake baadhi ya majirani walimtenga lakini mzee wao akamwambia hakuna haja ya kumtenga mwisho wa siku mtoto wa huyu Muislam akaja kumsaidia huyo rafiki yangu walivyokutana Dar es Salaam kwenye biashara.

Kingine mbona hauelezi historia ya Chifu Mangi alivyokua anafanya biashara ya utumwa kuwauza wapare.
 
Last edited by a moderator:
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?
Matola

This is the white lie that had been built by the missionaries and after the revolution and Union of 1964. And now propagated by the ultra conservetives of CCM Zanzibar and being helped by people like you.

Why the so called historians does not tell you that the first church in Africa was built in Zanzibar on the land at Mbweni and allocated by the Sultan himself. The Anglican Church at Mkunazini is the same story and some of it was leased from a well known Arab family this where the St. Monica hospital and church's school. Why they dont say the truth that even the clock and the bell on the minaret was contributed by the Sultan himself?

They are telling lies to tourist that the cellar below the St. Monica hospital was used to keep slaves to replenish them before put on sale while the hospital itself was built long after the slave trade had been abolished and that cellar was used to cool the medicines ised during the great epidemics of plague and smallpox.

Reference to this statement above is a lady in Adelaide, Australia called Anne Chapel Smithyman the daughter of Mr. Mervin Smythiman the then ADC to the Sultan.

The hate for Jemshid was imposed on the populace by the so called Protectors (The British) because Jamshid did two grave mistakes:
1) Agreeing with ZNP to fight for Independence.

2) Whe wrote a letter to HM the Queen to ask justice for his father's sudden death because he believes tha his father did not die due to diabetes but foul play. His father was against the british hegemony in EA.

For your information during the Lancaster house independence conference it is on the records that ASP asked for a copycat UK style govt and paliamentary system and that Sultan will be the constitutional.monarch and that him and his family will be protected for ever. While ZNP under the influence of Gamal Abdelnasser socialist ideology the way they ousted King Farouk.

Ref. "The Short History of Zanzibar" by Maulid Mshangama the then member of Legco and son in law to the Sultan Khalifa bin Haroub.
 
Last edited by a moderator:
unafahamu maana ya kuhalalisha? with ur name, should I assume kwamba ww ni mtu wa mkoa wa Ruvuma? if so, kwahiyo na nyinyi ni wasomi kule kv ni Wakristo?

umeangalia secretariat ya ajira wanaochaguliwa wasi wasi wangu mtakuja sema ni mfumo kristo
 
Back
Top Bottom