Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Njia rahisi ya kujua undani wa kitu ni kukisoma. Nenda kamsome Yesu nenda pia kausome uislam then ukipata jibu kipi kilianza naomba hilo likutoe ujingani.
 
Mkuu Ritz mimi ni mngoni nikitrace nilipotokea kwa babu yake babu ni mlolongo sehemu mbali mbali wakristo wanauwa waislamu na waislamu wanauwa wakristo
Sasa mbona wewe unalalamika kuwa Waislam wa Zanzibar peke yake.
 
Last edited by a moderator:

Thanks for this nice post.
Waislam wengi wangekuwa na mtazamo kama huu, hata mifarakano ya kidini ingepungua. Tatizo ni kuwa kuna watu kama Moh Said na mwenzake Ilunga na wengineo ambao ndio wamekomalia uongo wa kusema "sehemu zenye waislamu wengi zimeachwa duni makusudi, huku sehemu zenye wakristo zikisaidiwa na serikali yenye Mfumo kristo". Ukweli ni kuwa nchi nzima imejaa umaskini na maendeleo duni. Mwaka 2011 niliwahi kubishana na "Mohamed Shossi" na mwenzake "Topical "ambao walikuwa na mtazamo kama huo wa akina Moh Said. Nilijaribu kuwaeleza kuwa nchi nzima imejaa umaskini na huko vijijini, haijalishi wewe ni mkristo, mpagani au muislam. Lakini sometimes inakuwa vigumu sana kuwashawishi watu ambao wapo kwenye DENIAL.

In fact, kwenye elimu, hata mikoa kama Kilimanjaro, Mbeya na Kagera sio kwamba ndio wamesoma sana... Ni kwamba wana unafuu kidogo tu, still kuna matatizo makubwa sana kwenye Elimu, na hata baadhi ya sehemu kama vile upareni (Kilimanjaro), (Chunya, Mbarali na Ileje (Mbeya) na maeneo ya Biharamulo(Kagera) uduni wa elimu katika maeneo hayo hautofautiani na maeneo kama Simiyu, Tabora, Dodoma na mikoa ya pwani.

Kwa wakati huu (miaka 53 ya uhuru), si sahihi kulaumu dini (au vitu vya kufikrika kama "mfumo kristo") kwa uduni wa Elimu katika maeneo hayo, badala yake ni Serikali ya CCM ndio inatakiwa kulaumiwa kwa utawala mbaya, sera mbovu, na ufisadi.
 
lazima mwarabu atakuwa alipita hapo, ngoja niingie maktaba nitarudi hapo maana nataka kujifunza na baadhi ya wahaya nao walipata wapi mapokeo ya uislamu.

Kwa context hiyo, ndo unajaribu kutuaminisha yakua Ukristo pekee ndo wenye "haki" yakua ndo imani ya huko mabara/mikoani!?

Kwanini mpaka urejee tena Library!?... huoni hizo similarities yakua hata na hizo sehemu "walizopitia" wale maharamia wa kigalatia aka Missionaries...ndizo nazo zilitapakaa/zimetapakaa huo Ukristo/ukafiri!?...au unataka kutuaminisha yakua hao Wachaga Wakristo,wao waliufuata wenyewe huo ukafiri huko Europe!?

Nimepitia baadhi ya posts zako hapa jamvini...kwa kifupi, tone ya comments zako ni dhaifu mno!

Plse explain your last sentence, why mention Wahaya!? Isn't that divisive!?

Ahsanta sana.
 
kwahiyo Tabora, Kondoa, Kigoma nako pwani sio?

Mkuu Uislam haswa usio na upinzani ni wa Pwani tu huko kwingine ni kusingizia na hilo halina ubishi... maeneo ya bara yenye uislam kwa wingi basi ni eneo maarufu kwa biashara zinazoshabiiana na Waarab waliojikita hadi wakawa watawala maeneo hayo kwa mfano Sultan wa Ndungu Same yeye alitawala eneo kubwa sana la upare na hata alipoondoka kwenda kwao arabun aliacha masalia lakini Uislam haukuenezwa kwa sana kwani wamissionali walikuwa washaweka mizizi ya ukristo haswa kwenye elimu... na makanisa
 

endelea kusoma kuna siku utaelimika.
 
Tanzania maeneo karibia yote ya mijini kumejaa Waislam na maeneo mengine hawapo waarabu.
 

Nanren!

I appreciate few of the stuffs you mentioned...I think some of them needs slightly different topic/thread in order to be discussed thoroughly,though!?

I respect some of your statements but to suggest that Historian Maalim Mohamed Said is a divisive figure within our society, is out of authenticity!

It is not my intention to have a philosophical debate with you...on either or not there's systematic/deliberate marginalization of Muslims in almost all mainstream sector/s in our society.

But,but I'm sure you are well aware of the small prints from Treaty of Berlin-1878, chaired by Chancellor Otto Von Bismarck!?

Well, History is supposed to confront people. We may not agree on everything but through constructive dialogue and positive exchanges we share an experience of something otherworldly!

This may provoke emotions that we are not comfortable with, which is why many of other civilizations are ahead of us today!...lets take our time and experience emotions without disassociating them!?

It's communicating graphically "be aware"!....History is like nature. We learn to live in a world permeated by Politicians.

To one person a word might mean the "bogey monster"...to another it might mean "community"!?

Ahsanta sana!
 

Kwa kuongezea kidogo hapo mkuu, katika mkoa wa Mbeya sehemu iliyopitiwa na mfumo wa elimu kwa miaka hiyo ni wilaya ya Rungwe kwingineko.hali haikuwa tofauti sana na mikoa inayo onekana haina hao wakristo wengi!
 

Huyo jamaa hajui hata maana ya MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR! Uliwahi kuona mapinduzi matukufu wapi?
 

Ukitaka kumkimbiza Matola we tumia ngeli tu... huyo gahba wa segerea kizungu kimepiga kona anachojua ni usukule na kumpikia shemeji yake
 
Last edited by a moderator:
 
inakuja mkuu, hapo Masama kuna wachaga wiaslamu na hata Bomang'ombe jimboni kwa Mh. Mbowe wamejenga Misikiti yakutosha.

hata kwetu KIBOSHO waislam wapo wa kutosha na misikiti ya kutosha......waislam wa kibosho ni kama waislamu wa UTURUKI!... wapo zuri sana
 

Gombesugu!

You are entitled to your opinion as I am. You don't think Moh Said is divisive, I do.
I wonder if you have read all his writings?!?
He once asserted that the country's population is made of only two groups: Christians and Muslims and that Muslims are being marginalized in all developmental aspects by what he termed "christian lobby" which later was coined by Ilunga as "mfumo kristo". He claims that Nyerere's unification of Tanganyika and Zanzibar aimed at suppressing Islam and controlling Zanzibar Muslims. In some writings he cited CCM-chama cha mapinduzi as "Catholic church Movement",He also says that during CCM's nomination of Benjamin Mkapa for presidential candidacy in 1995, "hymns were heard" suggesting that the meeting was a kind of battle between Christians and Muslims. He claims to date that NECTA, supposedly a Catholic Church Proxy, is deliberately sabotaging moslems... To you he is not divisive, to me he is. We can agree to disagree.
 
Name Calling JF ni makosa.
 
Ukitaka kumkimbiza Matola we tumia ngeli tu... huyo gahba wa segerea kizungu kimepiga kona anachojua ni usukule na kumpikia shemeji yake
Sasa mkirsto gani hajui kiingereza.
 
Last edited by a moderator:
most of the muhamadan extremists in tz come from the coast of indian ocean.those of the mainland are educated, nonreligious and moderate in their views.huwa nawakubari sana waislamu wa tz bara.

Your argument and its contents..not only full of insinuations,primitive attitudes as well as colonial connotations coupled with discriminatory tones! Daah!

What are you trying to suggest that other Muslims are "non religious"!?...or do you mean those self-hate Muslims!? Daah!

It's sad and perplexing to read the arrogance,exaggeration and divisive nature of your absurd remarks, using lies and flawed analysis to besmirch and try to divide Muslims in our country!? Daah!

Why you keep lumping up all Muslims in one lumpsum, as if all Muslims act and think the same way!?

Well, I'm not really sure if you ever heard of the term ethnic harassment!?...it's a term that refers to the likes of you Kadoda11!...who are bothering,targeting and/or addressing others unfairly, in particular Muslims...on the basis of their race,ancestry,place of birth,languages as well as where individual/Muslim is based/reside!? Daah!

Try to practice patience,purpose,compassion,contemplation and discipline...this is excellent!

Ahsanta sana!
 

Cc; Gombesugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…