Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Kweli kabisa manake uislam ni mfumo uliokamilika na hauruhusu yale matambiko yao ya kishirikina.
We !!!we!!!we!! tema mate chini. Katika vitu ambavyo vinaunganisha wachagga ni mila na desturi zao. Hapa wapo pamoja sana kinachotawala sio dini gani bali ukoo gani. Kama ni massawe watachinja masawe pamoja. Kama ni Nkya watachinja nkya pamoja
 
Mkuu hilo jina lako inaonesha ushafanyiwa sana ule mchezo RASMI wa KIRISTO

chillax fruitcake. BTW,there is something fishy about your stupid ID.it confuses me with "fart".no doubt you might be inviting lot of house flies anywhere you go.
 
yapping at its best,bla bla bla....get a life babu gombe-sugu.lol
 
We binti! Usijichekeshe namna hio mbele ya waume za watu!
Utakuja kupata ujauzito siku si zako!.
Shauri yako.
 
Can someone call back Matola please? Teh teh teh

Do you think Matola he is available all the time here in jf?

today is weekend I have some personal business with my siblings, there is plenty of jobless who are available here 24/7. but am not, amoung those.

so am here now tell me what u want?
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mshamba tu sawa na washamba wengine humu jf ipo subforum ya English peleka mbwembwe zako huko, hapa tunahitaji watanzania wote wenye access na jf wanufaike na mijadala yetu.

mtumwa wahed kabisa wewe.
 
We binti! Usijichekeshe namna hio mbele ya waume za watu!
Utakuja kupata ujauzito siku si zako!.
Shauri yako.
Huyu kauzu Matola nimeishamkataza mbele ya wanaume akae kimya.
Teh teeh tehh.
 
Last edited by a moderator:
Unajua humu JF kuna wanaume wana tabia za kike nashindwa kuwaelewa ni wazima kweli kutokana na maandiko yao mfano huyu mwenzetu.
Eti mwaya!!
Daaa!!!!
Hapa chini unalalamika nini wakati unakula utumbo wa kitimoto na mapuya.
Cc; faby Gs-300 kahtaan
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mshamba tu sawa na washamba wengine humu jf ipo subforum ya English peleka mbwembwe zako huko, hapa tunahitaji watanzania wote wenye access na jf wanufaike na mijadala yetu.

mtumwa wahed kabisa wewe.

Teh teh teh!

Ujuaji mwiiingi lkn Elimu huna.

Anyone who thinks they're important is usually just a pompous moron who can't deal with his own pathetic insignificance and the fact that what they do is meaningless and inconsequential.
And I am afraid you Matola is one of them.
 
Last edited by a moderator:
Unajua humu JF kuna wanaume wana tabia za kike nashindwa kuwaelewa ni wazima kweli kutokana na maandiko yao mfano huyu mwenzetu.

Daaa!!!!
Hapa chini unalalamika nini wakati unakula utumbo wa kitimoto na mapuya.

Cc; faby Gs-300 kahtaan

Teh teh teh!
Mkuu unavunja mbavu zangu!
Matola anasema " eee mwaya"! Na kidole juu na huku ana minyoo mpaka makalioni!

Kwi kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:

Matola
swali lako ni zuri sana. Unachotakiwa kufanya ni kuchukuwa umri wa the oldest Mosque in our East African area (ipo Zanzibar) kisha ondoa umri wa the oldest church in Tanganyika utapata approx 700 years. hilo zoezi huhitaji a scholarly publication!!!! Fanya homework kidogo na wewe.

mwanakijiji, Pasco
 
Last edited by a moderator:
Do you think Matola he is available all the time here in jf?
mkuù Matola sa' ndo nini hiî? umeamua kunyuka kizungu ili kuwahibitishia àkina Ustaadh kahtaan kwamba nawe unaweza kunyuka kîinglish kv walisema lugha ya mkolon inakupiga chenga, au? There's no need to provE anything!! Ona sasa, unachanganya noun na pronoun at the same time! Huwez kusema "Màtola he...!"NOUN+PRONOUN! Tuendelee
 
Last edited by a moderator:
asante tuendelee, sijawahi kujivunia lugha ya wakoloni naitumia kwa mawasiliano tu hata rais wa china anajuwa kingereza lakini huwezi kumuona akihutubia kwa kingereza.

kuchanganya noun gata kiswahili tunajichanganya pia l na r ni mgogoro pia.

tuendelee mkuu tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Do you think Matola he is available all the time here in jf?

today is weekend I have some personal business with my siblings, there is plenty of jobless who are available here 24/7. but am not, amoung those.

so am here now tell me what u want?
Teeh tehe teeh nilikuambia kingereza haukiwezi rudi kwenye lugha yako, faby kahtaan Gs-300 Punjab Singh Sword angalieni hapa kwenye bold anavyojichanganya.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mshamba tu sawa na washamba wengine humu jf ipo subforum ya English peleka mbwembwe zako huko, hapa tunahitaji watanzania wote wenye access na jf wanufaike na mijadala yetu.

mtumwa wahed kabisa wewe.

I knew you will come back barking and cursing since you cannot counter reply with data to refute what I said and since I hit you where it hurts being a Christian and not knowing English, polee dogo mimi hakuna pipi kumpa wewe pate nyamaza.

But since you started matusi I will just sit here and enjoy it. By the way you forgot to put in your CV that you speak Arabic as well? Teh teh teh poor Matola at least my Arab friend Kahtaan taught you Arabic well. :clap: :clap:
 
wewe ni mshamba tu sawa na washamba wengine humu jf ipo subforum ya English peleka mbwembwe zako huko, hapa tunahitaji watanzania wote wenye access na jf wanufaike na mijadala yetu.

mtumwa wahed kabisa wewe.
Matola,

Speak and write Kizaramo please!!! Russian, French and Kiswahili is not Tanzanian Language all are brought by the colonialists. Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…