Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Bora kufuga majini kuliko ule ushirikina wanaoenda kuufanya kila mwezi wa kumi na mbili.
Wanazuga kwenye mwamvuli wa dini wakati washirikina tu wafanya matambikooooo!
Uislamu hauruhusu ndo maana mnauchukia.

Kuna waislama wenye msimamo mkali,msimamo wa kati na waislam jina tu kwao msikitini sio saaana.....Ngoja nikuulize kuhusu msimamo mkali,mashekh na misikiti.

1:Nikwanini kwenye misikiti wanauza ubani,mafuta flani yanyokuwa kwenye vichupa vidogovido na vitaabu flani hivi ambavyo vyote hivyo ni malighafi muhimu kwa ajili ya wachawi na waganga wa kienyeji(kupigia ramli)?

2:Kwanini Mashekhe wenye misimamo mikali na baadhi wale wa wastani huwa wanaogopeka mitaani kwa uchawi na wengi wao ni waganga wa kienyeji wa kupiga ramlim? je dini ya kislam inaruhusu kupiga ramli na viongozi wao kumiliki wakina Maimuna?

3:Je misikitini ndimo makazi ya majini na mashetani?? sorry ni kutaka kujua coz ninafikra kuhusu hayo na ningependa kuelimishwa hapa japo comments nyingi zime-divert kutoka kwa mtoa thread,
 
Hii mada mimi nilitegemea kupata jibu kuhusu uislamu/waislamu wa masama badala yake yamegeuka malumbano!
 
Soma kitabu cha Tip tipp ndo utajua mambo waliyokuwa wakifanya waarabu na mapigano yao na wenyeji, hakuna aliyeleta dini kwa amani pekee
Naomba nikusaidie katika hili..
Mwarabu alikuja kama Mfanyabiashara..
Na bidhaa kubwa kipindi hicho ni Watumwa na Pembe za Ndovu..

Hivyo vitu ndy vilimleta Mwarabu Afrika..

Kwakua aliishi miaka dahari na dahari katika jamii hii ni lazima kuacha athari kubwa katika jamii ya wazawa sababu nae alikuja na utamaduni wake..

Kwakua Waarabu asilimia kubwa ni waislamu basi ilikuwa jambo la kawaida kujenga misikiti katika ardhi hii ya Afika ili aweze fanya ibada zake..

Miaka takribani 700 walizaliana wakawa wengi sana..athari ile ilienea..wazawa wakajikuta wameambukizwa baadhi ya tamaduni na wao pia kuambukizwa baadhi ya tamaduni walizokuta hapa..

Mwarabu hakulazimisha mtu kusilimu kabisa.
Sana sana Wamishionari kama hatua ya pili katika kuelekea utawala wa kikoloni ndiyo walikuja na hizi sera kwamba ili upate huduma muhimu za kijamii kama elimu na afya basi ilikulazimu ubatizwe..hili liko wazi sana katika masomo ya historia..
Hapa ndipo waafrika hawakuishia tu kubatizwa bali pia kubadili hata majina yao ili wawe 'Waungwana'...

Rejea simulizi za Alex Haley katika Andiko lake la 'Roots' au

Chief Musamaali Gidagui Nawodya Nangoli katika Andiko lake la
'No more lies about Africa'
 
kumbe hata Mnywa Pombe anaweza kuwa Threat?
Sijui ingekuwaje angekua Mcha Mungu...
 
Inabidi ufahamu kwanza mzunguko mzima wa biashara ya utumwa ulivyokua..
Nani alikua:

Mchuuzi mkubwa
Mnunuzi mkubwa

Wapi:

Bidhaa ilipatikana
Soko lilikuwa

ukipata hayo majibu yatakusaidia
 
badala ya kujua chanzo cha waislam masama mnalumbana
Wale jamaa ni combination ya wanubi, wasomali, kutokea ka kazi ni umwa nchi na baadae wa rangi wakakaribishwa kwa vile huwa na kazi Wala elimu mbadala. Ndio wa kuwa watunza misikiti. Hawa wasomali na wanubi Wamekuwa wakiishi kwa ujambazi na kibabe kuanzia king'ori , maeneo ya boma hadi maana. Wachaga huwa kupanda sana kuishi ktk sehemu kame. Na hivyo kuachia wao na Masai wakiishi bila she ria. Baada ya kujengwa shule ya kiislam , taratibu wamachame ktk kuzaana nao uislam ukashika mizizi.
 
Uongo mtupu wale ni waislam kiasili wala hawana damu ya kinubi
Na wala uchagani sio pakame acha umbeya
waliamua kusilimu wenyewe uislam upo toka karne ya 19 huko
 
Haitaji kwenda zanzibar kujifunza mwarabu alimfanyia nini mwafrika....afike bagamoyo....pangani...kilwa nk akaulize!tena anabaguliwa na mwarabu hadi leo....ndo mana alah wake hajui lugha nyingine tofauti na kiarabu...ndo utumwa wa fikra wenyewe huu!kama mwarabu kamletea dini ya haki mbona hamruhusu kumuoa mwarabu?mwarabu kaleta utumwa mwingine....kujichubua ngozi ili ifanane na ya mtume!si jambo geni leo ukimsikia mmatumbi akijidai ...mimi mjukuu wa mtume!nina damu ya mtume!nina rangi ya mtume!...ukija kwenye mavazi ndo balaa... utalikuta jitu limeviringisha kiremba kuzidi mwarabu mwenyewe
 
wewe ndo unaishi kwa kusikia propaganda na historia za kubumba,soma vitabu vyenye historia sahihi,sultan gan wasiyetaka kumsikia,wa CCM au sultan kwa maana ya sultan
 
Hata wkt ngoma ipo 90 degree na unaendelea kupima oil inakua tayari ashakua fitra au sio?
 
WAMACHAME WENGI NI WAISLAMU HAIJALISHI NI MASAMA AMA WAPI
KWETU NI MASAMA MIMI NI.MCHAGA ILA NI MWISLAMU
 
kibo osho na kunu wallah iruwa wanashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…