Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?


uongo wa wazi huu.
 
[/quote ]

Sema hawa wako tofauti sana na waislamu wengine ndani ya Tanzania hii, they are well developed and educated compared to those of other areas in Tanzania.

yaleyale!! umeshajijibu mwenyewe, marangu kilema msikiti uko wapi?[/QUOTE]

sijasema juu ya Marangu Kilema.
 
Nimegundua kwa nini masikini wengi kwa dar wako manzese,dom wapo chang'ombe,arusha wapo unga,moshi wapo njoro,sgd wapo mitunduruni.
 
Nimegundua kwa nini masikini wengi kwa dar wako manzese,dom wapo chang'ombe,arusha wapo unga,moshi wapo njoro,sgd wapo mitunduruni.

hebu present huo ugunduzi wako mkuu.
unaweza usiwe sahihi pia.
 
Hii nchi itaendelea kuwa nzuri tukoendelea na mchanganyiko huu tulionao....hamna dini bora kuliko nyingine uislam ukristo wote ni utumwa wa fikra Mungu hajabinafsishwa
 

Du uongo haufai
 
Matola, unfortunately sifahamu vizuri uhusiano kati ya koo kwa koo (ukoo) hapo zamani za jamii ambazo leo hii collectively wanaitwa Wachaga! In short, Mangi Meli alikuwa dealer mzuri sana wa slave trade na tajiri yake alikuwa mwarabu mmoja aitwae Hassan! Target ya Mangi Meli likuwa Wapare ndio maana leo unakuta Uislamu kule Upareni! Hao Wachaga, ambao inakuwa very funny kusikia anaitwa "Abullatif Juma Massawe" inawezekana ni kutoka koo hasimu na ukoo wa Mangi Meli!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tembosa asante kwa hii, umenikumbusha Marehemu Amina Mongi, alikuwa mtu wa watu, nilihudhuria msiba ule!.
RIP Amina Mongi.
 
Hili Jukwaa lina watu wa hovyo sana! Yaani Mwislamu akiona Mwarabu anatajwa kwa mabaya anakuja juu utafikiri babake! Mkristo na yeye alivyo mtu wa hovyo, akitaka kuzungumzia biashara ya utumwa basi lazima amuhusishé Mwarabu na dini yake huku akisahau Trans-Antlantic Slave Trade ilifanywa na Wazungu Wakristo! Trust me, Christians and Moslems are the most insane communities ever happened in the world history! If I were God, I'd sink these two communities and start afresh!
 

Kiranga followers..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tembosa asante kwa hii, umenikumbusha Marehemu Amina Mongi, alikuwa mtu wa watu, nilihudhuria msiba ule!.
RIP Amina Mongi.

Pasco kwani yule ndugu yake mwingine yuko wapi?
lastly alikuwa BBC. anaitwa Suzan Mongi.
 
Last edited by a moderator:

wewe mpagani..?
 
Waarabu hawakuwa wajinga kama watu wengine mnavyolazimisha watu tuamini. walikuja na taratibu mzuri tu za maisha WABAYA NI WABAYA UKWELI UTABAKI UKWELI.UNAMJUA ABUSHILI NA TIPUTIPU.KASOME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…