Kama wapo wakuhamia labda kama wale wa masama..
Umeuliza swali la Msingi sana kwani Dini ya Islam imeanzia kihasa pale Korongoni kuja Mbololo, Mudio hadi Kwasadala.mkuu naona umeitaja Historia kwa Undani kidogo,
hapo Kware mbona sio Masama? Kware hakuna Uislam kama ilivyo Masama mudio au pale Kwasadala.
Pili kama asili yake ni Somalia, mbona wanamajina ya koo zao yanaendana na uchagga? mf. kina Kiriwe, huu ni ukoo wa wachaga wanaoamini katika Uislamu.
Ni kweli mkuu, kuna watu wana kampeni ya kujenga misikiti mingi along the main roads na highways nyingi ili kuwafurahisha wafadhili wao, lakini matokeo yake ni kwamba inahudhuriwa na watu sita !
umeuliza swali la msingi-kama ni wasomali why wawe na majina ya kichaga! mkùu, amin maneno yangu, as it was 4 other Chiefs, Mangi Meli nae alipiga sana dili za kùuza watumwa! Ni hizi deal za Mangi ndizo ziliingiza Uislam Uparen coz' Wapare wengi aliwaingiza sokon! so, hawa Wachaga nadhan ni wa kutoka koo hasimu na ukoo wa Mangi
My heroHii nchi itaendelea kuwa nzuri tukoendelea na mchanganyiko huu tulionao....hamna dini bora kuliko nyingine uislam ukristo wote ni utumwa wa fikra Mungu hajabinafsishwa
Mbona hakuna masalia yao kule mkuu tofauti na Tabora unakosema kule Wasomali ni wengi mpaka leo...
walipelekwa Kware sehemu gani Ndugu? Hatujaona masalia yao pale kwa maana ya sura zenye asili ya Somalia. Labda kina Masoud, Kadria na Shete
[h=3]1943: 100,000-acre (405 km[SUP]2[/SUP]) Tanganyika wheat scheme[/h] The British Government decided to develop wheat growing to help feed a war-ravaged and severely rationed Britain and eventually Europe at the hoped-for Allied victory at the end of the Second World War. An American farmer in Tanganyika, Freddie Smith, was in charge, and David Gordon Hines was the accountant responsible for the finances. The scheme had 50,000 acres (202 km[SUP]2[/SUP]) on the Ardai plains just outside Arusha;
25,000 acres (101 km[SUP]2[/SUP]) on Mount Kilimanjaro;
and 25,000 acres (101 km[SUP]2[/SUP]) towards Ngorongoro to the west. All the machinery was lend/lease from the USA, including 30 tractors, 30 ploughs, and 30 harrows. There were western agricultural and engineering managers. Most of the workers were Italian prisoners of war from Somalia and Ethiopia: excellent, skilled engineers and mechanics. The Ardai plains were too arid to be successful, but there were good crops in the Kilimanjaro and Ngorongoro areas.[SUP][12][/SUP]
Pia siwezi kubisha ila ushahidi mzuri ni ule wa Bashe alipomjibu Kigwangala kuwa Bibi yake (Msomali kwao ni Bomang'ombe0 licha ya kwamba walikimbilia Tabora na kwinginekowatu wa kware wengi wana asili ya sudani kusini
URAIA WA BASHE
Nimesema mara Nyingi na leo nasema Tena URAIA WANGU HAUNA MASHAKA hata kidogo,labda nitoe maelezo mafupi hapa, Mtanzania ambae anazaliwa Tanzania na ambae mzazi wake hasa wa kiume wakati mtoto huyo anazaliwa HAKUWA RAIA wa Tanzania,now Commenting on my setuation , BABU MZAA BABA alihamia Tanzania 1949,akiwa na baba yangu waliishi mkoa wa Tabora wilaya ya Tabora mjini,BABU MZAA MAMA aliahamia Tanzania 1902 akiwa na BABA yake aliishi maeneo ya SUMBAWANGA NA BAADAE ENEO LINALOITWA LAHELA NA ALIKUWA AKIJULIKANA KAMA MZEE ABDI ALI WAJINGA, BIBI MZAA MAMA ALIZALIWA BOMA NGOMBE MOSHI Mwaka 1920, mama yangu mzazi alizaliwa Tabora mjini mtaa wa Mwanza Road.
kwahiyo uchaga asili yake ni ukristo? Watu weusi tunasahau historia mapema sanaa.
Mdau amesahau kabisa kama wachaga walikuwa na imani yao kabla watu weupe hawajavamia.
asili ya wakristo Tanzania ni wamisionari na asili ya waislamu Tanzania ni wafanyabiashara wa kiarabu that's it.
hili wala halihitaji degree kulijuwa. wamisionari walijenga makanisa shule na hospital wakati wasrabu walijenga misikiti peke yake afya na elimu haikuwa kipaumbele chao.
results zake ndio zinareflect mpaka leo.
Kwa vile ni nje ya Mada naahidi nitalifuatilia kisa cha wao kuondoka maeneo hayo kwa Msomali mmoja aliyenielezea historia hiyo (aitwaye Abdulkadir Warsama) labda baridi au kutafuta maneo. Lakini walioa makabila ya hapo Mlimanina ndio waliotapakaa hadi leo
Wanubi wa Sudan ni kweli waliingia Tanzania lkn sio waliosambaza Dini maeneo ya Boma Ng'ombe
Tabora ni kimbilio la baadaye baada ya kulimishwa mashamba ya West Kilimanjaro hao mateka wa kivita wa Italia toka Somalia
History of Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
Pia siwezi kubisha ila ushahidi mzuri ni ule wa Bashe alipomjibu Kigwangala kuwa Bibi yake (Msomali kwao ni Bomang'ombe0 licha ya kwamba walikimbilia Tabora na kwingineko
huyo bwana Hasani ni wa muda wote? means Mangi na Hassan ndiyo walifanya hiyo biashara walipotoka ikawa akuna tena mwendelezo?
nimeuliza hivyo kwa sababu na wewe umespecify .
Hili Jukwaa lina watu wa hovyo sana! Yaani Mwislamu akiona Mwarabu anatajwa kwa mabaya anakuja juu utafikiri babake! Mkristo na yeye alivyo mtu wa hovyo, akitaka kuzungumzia biashara ya utumwa basi lazima amuhusishé Mwarabu na dini yake huku akisahau Trans-Antlantic Slave Trade ilifanywa na Wazungu Wakristo! Trust me, Christians and Moslems are the most insane communities ever happened in the world history! If I were God, I'd sink these two communities and start afresh!
Jiulize je waafrika wa kitanzania lini walianza kutumia karatasi na kalamu kuandika ? na nani aliwafundisha kuandika na kusoma ? kila kitu kina wakati wake, ni kweli walipokuja wakoloni wa ulaya walileta mambo yao lakini hawakuleta miujiza ila tu walkjua na uwezo zaidi kiuchumi mfano kujenga reli na mashule ya misheni. Zanzibar ambayo ndio ilikua ufunguo wa afrika mashariki na ya kati tayari kulikuwa na maendleo - umeme, maji ya mfereji, tram, telegraph, biashara za kimataifa, uhusiano wa kibalozi na nchi nying za ulaya na amerika
Biashara ya utumwa afrika mashariki imeanza 1861-1895 wakati Mwarabu kafika maeneo hayo mwaka 1330 kuna mtawala mwarabu.
Ushahidi wa Bashe unaweza kuwa wa kweli kwani kuna eneo pale Bomang'ombe linaitwa KwaWasomali. Wameishi pale miaka mingi. Pia lililokuwa Boma kubwa la ng'ombe lililoleta jina la mji, inaaminika lilikuwa la Wasomali
Si kweli,waarabu walipokuja walianza masomo ya kuandika na kusoma kwa kutumia herufi za kiarabu,alipokuja Mjerumani,alikuta watu wa Pwani tayari wanajuwa kusoma na kuandika kwa kutumia herufi za kiarabu.Na ndio wengi walifanyakazi katika ofisi za Kijerumani kwa kutumia herufi za kiarabu,alipokuja mgereza ndio akabadilisha akaleta mafunzo kwa herufi za Kilatini,maana muengereza hana alphabet(neno alphabet,linatokana na herufi za kiarabu Alfu,Be,te).Herufi za alphabet tunazotumia ni za kilatini.asili ya wakristo Tanzania ni wamisionari na asili ya waislamu Tanzania ni wafanyabiashara wa kiarabu that's it.
hili wala halihitaji degree kulijuwa. wamisionari walijenga makanisa shule na hospital wakati wasrabu walijenga misikiti peke yake afya na elimu haikuwa kipaumbele chao.
results zake ndio zinareflect mpaka leo.
Ushahidi wa Bashe unaweza kuwa wa kweli kwani kuna eneo pale Bomang'ombe linaitwa KwaWasomali. Wameishi pale miaka mingi. Pia lililokuwa Boma kubwa la ng'ombe lililoleta jina la mji, inaaminika lilikuwa la Wasomali
kwa wasomali ni kweli kupo ila sasa hivi ile lease ya miaka 99 imekwisha na wameuza ya mashamba kando ya mto sanya na kuondoka boma ngombe imetokana na ngombe waliokiwa wanaenda mnadani kutokea mikoani kulala pale
wapo wapi? kibosho sehemu gani yenye waislamu?
Kwa nini useme hao wa masama ni wa kuhamia?
Vipi na wale wengi waliopo pale Kwa Sadala?
nimekuuliza hivyo baada yakuona maelezo yako hapo juu.
ni kama unaijua Kilimanjaro.
wewe unachokonyowa sasa, nikwamba mangi marleale chief mangi wa wa wachaga wote alitakataka kuunnda jamhuri yake ila wamachame ndio wakamsaliti na kumpa taarifa nyerere.Nimemjibu huyo anayesema Sambalai, kibosho umbwe na lyamungo kuna waislam nikamwambia labda wa kuhamia karibuni, kule kwa Mangi wakae Muslim..??
Alafu naweza kukubaliana na baadhi ya wachangiaji kuwa Mangi aliuza watumwa wakipare kwa huyo muarabu Hassan ndio maana wapare wengi ni waislam...
Na wakasema kama mchaga muislam basi alikuwa hapatani na Mangi aliyewakumbatia wamissionari. It might be the reason Wamachame na wenyeji wa Hai wengi kuwa waislam maana Wakibosho na Wamachame walikuwa na uadui mkubwa sana, mpaka ikafikia wamachame wengi nyumba zao hazitazami upande wa Kibosho, hiyo hali kweli ipo hadi kule Massama nyumba nyingi zilizojengwa hazitazami upande wa Kibosho. Labda hilo beef lao lilipelekea Watu wa Upande ule wa Machame,Sadala,Masama,Sanya,Boma na upande ule wote kuchagua dini ambayo si sawa na ya Mangi kwakuwa walikuwa hawapatani nae.