Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Mnalazimisha afanye biashara nyie WaTz mnadhan kilamtu kazaliwa kufanya biashara, what I know biashara ni kipaji na exposure. From nowhere uanzishe biashara within a month umefilisika.

UTT ndio solution pekee
Halafu hakuna mtu asiye na malengo na pesa, kuna wakat unapata pesa na hukutarajia na huna muda wa kutosha kutimiza malengo, hapo lazima utafute pa kuziweka ili zizae faida hata kidogo.
 
Mkuu kwa sisi tunaojua kung'amua saikolojoa tushaelewa hapo mzee wako kastaafu kapokea pensheni yake umemshauri aimege kama nusu hivi kuiwekeza

Ni jambo zuri mpe hongera mzee, ila ikumbukwe riba ni haramu!
 
Wadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
Kimla, hizi milion 200 ulizimaliza vipi?
Au wewe hizi mada zako ni amsha amsha tu kwa wengine wapate pa kutokea?!
👇
Wadau, nina 200 million TZS, je niweke fixed account benk ipi yenye interest nzuri ya mwaka?
Asante
 
wewe mtoa ushauri unazo hizo 45m ngapi ..au ndo nawewe unamuita huko Pm ukamvune hio pesa kwa jina la consultancy fee .?
Sina njaa mkuu na wala sihitaji fee yoyote ila kwa ushauri wangu nitakaompa yeye mwenyewe akijisikia kunipa asante sawa. Mimi ni muwekezaji kitambo tu na nimesaidia wengi humu ndani kwa ushauri.
Tatizo wabongo wengi tuna roho mbaya sasa mtu hata ukitoa ushauri wanadhani unataka hela.
 
Wadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
UTT ndiyo mpango mzima. Achana na 9%. Peleka UTT Liquid au Bond Invest
 
Usalama wa pesa zako ni suala la msingi sana usiyumbishwe na hizo figure za interest rate, ni kweli benki nyingi sana sasa zina changamoto kubwa sana ya liquidity ratio hivyo zinahitaji deposit za kutosha ila trust me hakuna benki itakupa hiyo rate ya 13%. Nakushauri nenda Absa bank kwa hiyo pes wanaweza kukupa rate ya 7.5% lakini utakuwa eligible kupata over draft 80% ya FDR yako pia wanakupatia credit card facility kuanzia 1m hadi 15million na kubwa zaidi usalama wa pesa zako ni 100%.
 
Back
Top Bottom