Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimla, hizi milion 200 ulizimaliza vipi?Wadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
Wadau, nina 200 million TZS, je niweke fixed account benk ipi yenye interest nzuri ya mwaka?
Asante
Wenye hela hawana malenge, wenye malengo hatuna hela..
Yaaani nichukue 45M niziweke fixed??
Si chini ya ya 500k kingana na bei ya vipandehiyo UTT kwa mwezi pesa hii 45ml inaweza kuwa inatoa shingapi ya gawio???
Ni upuuzi kuweka 45m bank kwa hiyo 9%Naona CRDB hapa wanatambulisha Mzigo Flex, hii inakupa interest ya 9% per annum.
Sina njaa mkuu na wala sihitaji fee yoyote ila kwa ushauri wangu nitakaompa yeye mwenyewe akijisikia kunipa asante sawa. Mimi ni muwekezaji kitambo tu na nimesaidia wengi humu ndani kwa ushauri.wewe mtoa ushauri unazo hizo 45m ngapi ..au ndo nawewe unamuita huko Pm ukamvune hio pesa kwa jina la consultancy fee .?
Kwa business zenyewe hizi za kilimo cha nyanya[emoji28][emoji28].Bora ikae huko.Ni upuuzi kuweka 45m bank kwa hiyo 9%
unless you are an Idiot
Lkn bado kuna option nyingi za uwekezaji kuliko hiyo FDR ya 9%.Kwa business zenyewe hizi za kilimo cha nyanya[emoji28][emoji28].Bora ikae huko.
Mtaani Kwa Sasa kabichi ni 200 na unapewa na kitunguu kama zawadi[emoji1787][emoji1787].
Nisaidie hizo optionLkn bado kuna option nyingi za uwekezaji kuliko hiyo FDR ya 9%.
5.6/10×100%=56%NMB fixed 6%
CREB 5%
Hakuna kitu fixed
Niwekeza 10m
Mwakajuzi nlikija kupata 5,600,000 per annum
UTT ndiyo mpango mzima. Achana na 9%. Peleka UTT Liquid au Bond InvestWadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
Una pesa unataka kuwekeza?Nisaidie hizo option